Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.

Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako

Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Ukweli ni kwamba Mungu sio kama Mwalimu anayetembea na kiboko cha kuwaadhibu wanafunzi watukutu , Hapana , Mungu hana haraka na yeyote anayefanya makosa hata kama yangekuwa ni ya kikatili namna gani,
Kwa sababu Mungu anajua hakuna pa kujificha kwa muovu yeyote yule 😳
Siku yake itafika na atahukumiwa kwa mujibu wa makosa yake siku ile ngumu ya HUKUMU !👍
 
Matendno mema duniani pia ni sehemu ya ibada,huwezi ukaishi na watu vibaya duniani ukasema umeishika sheria ya mungu ni upotofu Seran
 
Sheria tunazozitumia leo duniani na serikali yetu chimbuko lake ni sheria ya Mungu mfano Mungu hapendezwi na kufanya mauaji na tumejifunza kuwa Mungu anachukia dhambi ya kumua mwenzako ,kwahiyo sheria zote duniani chimbuko lake ni sheria za Mungu
 
Mkiangalia kwenye simulizi ya kitabu kitakatifu kimeonyesha Mungu alipenda kuwe na dolla tunaona wafalme wengi Mungu aliwaandaa na aliwatumia kufanikisha agenda yake,mfano tunaona alimtumia Moses kuwatetea watu wake
 
Nataka kusikia maoni yako pia,ila ipo hivi ya Mungu ni ya Mungu na ya serikali ni ya serikali vyote vyatupaswa kutii,kauli ya yesu ilisema hivi

Mk 12:17​

Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana
Tiini mamlaka iliiyowekwa hata kama mtakufa sio?
 
Mkiangalia kwenye simulizi ya kitabu kitakatifu kimeonyesha Mungu alipenda kuwe na dolla tunaona wafalme wengi Mungu aliwaandaa na aliwatumia kufanikisha agenda yake,mfano tunaona alimtumia Moses kuwatetea watu wake
Hii Imebaki kwenye masimulizi Tu ktk nyakati zetu hatuoni Mungu tena akiwatumia watu kama kina Moses,, ndio maana tunasema we tii Tu, vinginevyo cha mtema kuni utakiona
 
Sheria tunazozitumia leo duniani na serikali yetu chimbuko lake ni sheria ya Mungu mfano Mungu hapendezwi na kufanya mauaji na tumejifunza kuwa Mungu anachukia dhambi ya kumua mwenzako ,kwahiyo sheria zote duniani chimbuko lake ni sheria za Mungu
Anaishia kuchukia Tu ? Mbona hachukui hatua? Hatuoni intervention?
 
Umeeleza Dola mbali mbali za kwenye Historia, Trudi sasa kwenye Dola za Leo Je Mungu ana Msaada wowote?
Zamani, leo na hata milele, Mungu amempa mwanadamu uwezo wa kuyamiliki maisha yake. Msaada wa Mungu ni akili alizotupa. Heading yako ndiyo ina utata. Unahimiza watu watii dola kwa sababu Mungu hasaidii kunapotokea matatizo. Badala ungehimiza watu wajipambanie kwa sababu Mungu hasaidii kupambana na dola.
 
Ukweli ni kwamba Mungu sio kama Mwalimu anayetembea na kiboko cha kuwaadhibu wanafunzi watukutu , Hapana , Mungu hana haraka na yeyote anayefanya makosa hata kama yangekuwa ni ya kikatili namna gani,
Kwa sababu Mungu anajua hakuna pa kujificha kwa muovu yeyote yule 😳
Siku yake itafika na atahukumiwa kwa mujibu wa makosa yake siku ile ngumu ya HUKUMU !👍
Kwa hiyo Mungu anasubiri Mtu mmoja kama Trump aue watu wake mamilioni kwa mamilioni huku yeye anaangalia Tu akisibiri siku ya mwisho kumhukum TRUMP? Anapoteza maelfu ya watu wake kwa sababu ya kuja ku enjoy akimuona Trump Motoni?
 
Mda mwingine yawezekana Kiranga Scars Infropreneur wapo sahihi, haiwezekani mauaji kama yale ya Gaza, Tigray, Nigeria, Dar es salaam na Iran yakafanyika na Mungu akawa kimya.
Mungu alishatuahindwa Binaadamu, akamtoa mwanamwe wa pekee afe msalabani kwa ajili ya wenye dhambi. Hana la zaidi la kufanya Mkuu. Wewe kama hutendi dhambi shauri yako.
 
Back
Top Bottom