Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.

Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako

Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Msaada wa Mungu hauji mara moja. Angalia Israelites, jinsi walivyokuwa wakiteswa na kuchukuliwa mateka, kuua lakini baadaye wakashinda. Serikali inatakiwa ipingwe na pia watu wapambane kuiondoa serikali dhalimu ya bi Kizimkazi.
 
Mda mwingine yawezekana Kiranga Scars Infropreneur wapo sahihi, haiwezekani mauaji kama yale ya Gaza, Tigray, Nigeria, Dar es salaam na Iran yakafanyika na Mungu akawa kimya.

Mungu hahusiki na mambo ya wanadamum hasa wanadamu wasiomtegemea na kumjua. Wasio na mahusiano naye.

Swali utakalo ulizwa, MUNGU YUPI? Usije ingia mtego wa Mungu ni Mmoja.
 
Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.

Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako

Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Tatizo la wabongo ni kwamba tumelelewa kwenye utamaduni wa kudhani binadamu huwezi kufanya kitu bila kusaidiwa. Sasa wewe tangu ukiwa mdogo ulidhani changamoto za binadamu vs dola zihahita msaada kutatuliwa ndiyo maana unasema kuwa ''ndiyo unagundua sasa''. Ni hivi: ''ugunduzi wako hauna ukweli wowote. Mwananchi hatakiwi kutii dola na serikali hata pale inapokosea bali anatakiwa kuipinga.... na siyo kwa kutegemea msaada wa Mungu/ au mataifa mengine bali kwa kutegemea umoja wao (dola/serikali huwekwa na wananchi). Kuna mifano mingi kabisa ya wananchi kukataa kuheshimu dola na serikali pale ilipofanya kinyume na malengo chao na walifanikiwa i.e. wangekuwa na mawazo kama yako wangeishia mwisho mbaya. Jaribu kusoma historia ya dola mbali mbali.
 
Hicho kipande kilichomekwa na watawala wakirumi ili kuzuia uasi Kwa serikali, LAKINI wayahudi walikikataa wakapigana na kupigwa wakamua kuondoka kutoka maeneo ya Dora ya warumi
 
Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.

Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako

Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Labda atakusaidia akioenda lakini ku mess up na Dola wakati unajua fika kwamba ni kosa jiandae Kwa matokeo.

Wote Kwa namna Moja au nyingine Huwa tuna mess up inakuwa tuu ni hujaingia 18 za Dola.
 
Ndiyo maana Quran Iko flexible,ukiwa weak watu/wenye nguvu wanakulazimisha basi Quran inakuruhusu ukufuru,ukitoka hapo unaendelea na imani kama kawaida
 
Labda atakusaidia akioenda lakini ku mess up na Dola wakati unajua fika kwamba ni kosa jiandae Kwa matokeo.

Wote Kwa namna Moja au nyingine Huwa tuna mess up inakuwa tuu ni hujaingia 18 za Dola.
Uwe umekosea au hujakosea hakikisha haumess up na Dola maana Mungu hatakuwa na Msaada na wewe
 
Tatizo la wabongo ni kwamba tumelelewa kwenye utamaduni wa kudhani binadamu huwezi kufanya kitu bila kusaidiwa. Sasa wewe tangu ukiwa mdogo ulidhani changamoto za binadamu vs dola zihahita msaada kutatuliwa ndiyo maana unasema kuwa ''ndiyo unagundua sasa''. Ni hivi: ''ugunduzi wako hauna ukweli wowote. Mwananchi hatakiwi kutii dola na serikali hata pale inapokosea bali anatakiwa kuipinga.... na siyo kwa kutegemea msaada wa Mungu/ au mataifa mengine bali kwa kutegemea umoja wao (dola/serikali huwekwa na wananchi). Kuna mifano mingi kabisa ya wananchi kukataa kuheshimu dola na serikali pale ilipofanya kinyume na malengo chao na walifanikiwa i.e. wangekuwa na mawazo kama yako wangeishia mwisho mbaya. Jaribu kusoma historia ya dola mbali mbali.
Umeeleza Dola mbali mbali za kwenye Historia, Trudi sasa kwenye Dola za Leo Je Mungu ana Msaada wowote?
 
Shatani wapo😅😅
Wewe ukimshawishi mtu mkaibe,basi wewe unakua shetani,usichanganye jinni na shetani,kama ilivyo katika binadam kuna wema na mashetani na majinni hivyo hivyo,nakukumbusha kuwa neno shetani ni la kiarabu
 
Dunia si sehem salama.

Na hakuna msaada utaupata kwa mataifa jirani, ukiwa na bifu na EAGLE EMPIRE
 
Nataka kusikia maoni yako pia,ila ipo hivi ya Mungu ni ya Mungu na ya serikali ni ya serikali vyote vyatupaswa kutii,kauli ya yesu ilisema hivi

Mk 12:17​

Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana
 
Back
Top Bottom