Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.

Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako

Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Don't know
 
Msaada wa Mungu upo ndani yako na viumbe wengine usisubiri Mungu aje akusaidie moja kwa moja siku ukimuona ndio siku ya kiama chako your dead au uwe mjumbe wake
 
Kanyoka kadogo TANU mmekalisha na kukanenepesha limekuwa kubwa CCM linawameza mnakuja hapa kumlaumu Mungu kwani wakati mnakanenepesha hamkujua kuwa kakikua katawameza shupavu kabisa nyie!!
 
Tatizo kuu lipo hapa

Kiongozi wa uma kama Rais au yoyote ambaye ndio yupo juu kwa zaidi ya wengine!!!

uwa hapati usingizi sababu ya kuwaza namna ya kutatua matatizo ya wananchi wake !
usiku unakuwa mkubwa kwake

yote kuona changamoto wanazopitia raia wake zinapungua!!

Apo apo kuna raia nawao wanamuomba Mungu wao
uyo kiongozi apate majanga yoyote ikibidi afe tu
Na vile sio chaguo kao!!!

Sasa Mungu ndio anajua nani yupo sahihi wakusaidiwa mana anajua ukweli ya kweli!!

uyu Rais wao ambaye anamuona anavyoteseka usiku na mchana hashibi chakula kwakuwaza wananchi wake !!

Kiasi kupishana na wasaidizi wapendwa yote kwaajili ya wananchi wake!!

Ktk ali kama iyo tunaimani lazima Mungu atakuwa upande wa uyo Rais.au kiongozi wao mkuu!

Sababu mungu hadanganyiki Kipropaganda kama wananchi ✍️
 
Mana wewe unakesha kumuombea mabaya kiongozi wako!!!!!

wkt nayeye anakesha kutatua matatizo yako pamoja na familia yako kijijini ya Afya shule maji barabara mikopo nauri usitozwe kubwa,

unategemea Mungu atasimama nanani apo ???
 
Fidel Castro alipingana na serikali akafungwa, akatoka akashika silaha akaishinda akawa raisi.
Hizi kauli za kuwatisha au kuwatia ujinga watu ili muendelee kuwakandamiza na kuwatawala watu kikatili. Dini zinatumika kupumbaza watu wajinga na waoga.
Nashawishika kuamini kwamba watu hawa wanaoleta mada za aina hii, ni kama wapo chumba kimoja na wanapeana zamu za kuweka hizi mada zinazofanana.

Angalia mada ya anayejiita Dr? Adam; halafu sasa na huyu Dr. wa Bush.

Kuna 'coordination'' ya aina fulani

This cannot be by mere coincidence!
 
Well, Ndugu unieleze ni kwanini hiyo mifano yako imeendelea kuwa masimulizi Tu zaidi ya miaka 2000 sasa, lakini kwa nyakati zetu haujawahi shuhudia tukioo hata moja la Mwenyezi Mungu ku intervene? Yaani matendo ya Mungu ni ya kuhadithiwa Tu
Kwa mbinguni hizo ni sawa na siku 2 tu. Kwa mujibu wa biblia na korani.
Hivyo muda bado, siku yeyote itatokea hiyo intervention ya Mungu.
Hii kwa waamini tu.

"Kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja." — 2 Petro 3:8. Hii inamaanisha kuwa kipindi kirefu duniani ni kifupi sana mbele za Mungu.

Zaburi 90:4 inasisitiza hili ikisema kuwa miaka elfu machoni pa Mungu ni kama siku ya jana iliyokwisha pita.

"Hakika siku moja kwa Mola wako ni kama miaka elfu mnayoihisabu nyinyi." — Surah Al-Hajj 22:47.
 
Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu.

Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako

Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
Poa, si na watanganyika watengeneze chao kisichohusisha wazenj ili ngoma iwe droo. Tuwatimue wazenj wote kuanzia samuya warudi kwao wakauane wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom