Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Nahitaji kuwa kwenye kundi la kupata hizi mil 7.
Nazihitaji hizo mil 7, sitaki hii laki 7

#YNWA
 
Kimsingi kuajiriwa ni kutengeneza umasikini, ni basi tu watu tunakosaga pa kuanzia inabidi utafute chanzo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini usijiajiri mkuu? Naamini mishahara kwa watumishi wa umma imepishana kidogo kwa kada husika,labda uwe mwanasiasa ndio utapiga pesa.

Lakini katika ajira za kutumikia umma wote tupo katika mtumbwi mmoja
Halmashauri hakuna michongo kama taasisi nyingine za serikali. Wafanyakazi wengi wa serikali hawategemei mishahara.
 
Alikuwa kitengo gani na katika cheo kipi??
 

Soma hii comment ya mdau.
Hiki ndicho namaanisha.

""Maisha yako ni leo, ukilipwa vizuri utajiwekeza kwa haraka, na mwisho wa siku utakuwa CEO kwenye kampuni yako.""

#YNWA
 
Mfano mtu anapata laki 7 kwa mwezi hii inawezaje kua chachu ya utajiri?
 
Mfano mtu anapata laki 7 kwa mwezi hii inawezaje kua chachu ya utajiri?
Kinacho kupa utajiri ni uwekezaji. Save at least 10% and invest. Kama laki 7 akiweza kuwekeza asilimia 10 au zaidi utakuwa mbali kuliko mtu aliyeingiza milion 7 kwenye matumizi.
 
Soma hii comment ya mdau.
Hiki ndicho namaanisha.

""Maisha yako ni leo, ukilipwa vizuri utajiwekeza kwa haraka, na mwisho wa siku utakuwa CEO kwenye kampuni yako.""

#YNWA
Nasema hivi kwenye kutafuta maendeleo hakuna pesa kubwa na ndogo. Chochote ulicho nancho unaweza ukaanza na ukavuka.

Mimi ni shahidi wa hilo na siyo kwamba nimesimuliwa bali nimefanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…