Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #281
Halafu ukute umesoma chuo cha kata UDOM.Mwl. hizi ndio product mnazozitoa? [emoji3][emoji3]
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukute umesoma chuo cha kata UDOM.Mwl. hizi ndio product mnazozitoa? [emoji3][emoji3]
Nahitaji kuwa kwenye kundi la kupata hizi mil 7.Kwa upeo wako ni kwamba utajiri ni kuwa na mshahara mkubwa.
Hili kiuchumi siyo kweli. Mbinu za usimamizi wa fedha ndiyo chimbuko la utajiri.
Hao waliolala hotel ulizohisi ni ghali inawezekana pia wakawa hawana maisha mazuri kiasi ulichowakadiria.
Usijilinganishe. Laki saba yako inaweza ikafanya makubwa kuliko milioni saba ya mwingine.
Kimsingi kuajiriwa ni kutengeneza umasikini, ni basi tu watu tunakosaga pa kuanzia inabidi utafute chanzoINTRODUCTION:
Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini.
Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa.
SCENARIO
Tokea nifike Nanenane 01/08 Mbeya nimekuwa nikitembelea mabanda ya ofisi nyengine kujifunza.
Nilichojifunza kufanya Kazi Halmashauri iwe Manispaa, Wilaya, Mji mdogo au ""What so ever"" ni kupoteza muda tuu.
Kuna utofauti mkubwa sanaa kati ya Taasisi na Halmashauri.
Japo wote tupo serikali moja ila Taasisi ni watoto pendwa wa serikali.
Nimetembelea mabanda ya Taasisi kama
1. BOT
2. EWURA
3. TRA
4. Zile za kilimo kama PASSS na TANTRADE
5. BRELA
6. N.k
Lakini pia nimetembelea mabanda ya Halmashauri kama
1. Mlele
2. Tanganyika
3. Mbalari
4. Ileje
5. Songwe
6. Mafinga
7. Momba
8. Kalambo
9. Nsimbo
10. Kilolo
11. N.k
Ila nimeona utofauti mkubwa sanaa.....
THE PROBLEM
1. Sehemu za kulalia (Hotel na Lodge)
Kuanzia njia ya Uyole mpaka Kabwe Hadi Mbalizi kuna hoteli nyingi tu, ila kwa posho za Halmashauri huwezi lala hizo Hotel, mule hotelini kumejaa gari za ST... na SU tu. Hakuna SM kabisaaa.
Kuna mshikaji wangu yupo PASS kalala kwenye hoteli ya Laki per night huku Mimi nimelala lodge ya 20,000 per night (kila mtu kala kulingana na urefu wa per diem yake).
2. Muonekano wa mabanda
Hebu tembelea banda la H/W Mlele, Nsimbo, Sumbawanga au Mafinga halafu nenda BRELA, TRA au BOT ndio Utanielewa.
3. Hali wa watumishi
Ukitembelea mabanda ya Taasisi utakuta raia wako charming sanaa, nyuso za furaha na kukukaribisha vizurii.
Ila Halmashauri sasa, Mungu atusaidie, maana raia wamepoteza hope kabisa.
Kwanza wengine posho wamekopwa na wakurugenzi wao..!!!
4. Magari
Hebu angalia ndinga za SU na SM.
Hebu cheki tu external appearance UTANIELEWA.
Hebu chukua V8 ya BOT au Wizara ya Fedha halafu pembeni weka V8 ya Njombe au Kalambo, Utanielewa tu.
CONCLUSION
Halmashauri hakuna maisha na hasa hizi DC ndio Umasikini fullll.
Kijana mtafuta ajira, ukipata ajira SM aisee cha kwanza fikiria kuhama na pambana kuhama.
Kijana mtafuta ajira, njoo SM chukua "cheki namba" halafu sepaa kale maisha Taasisi.
Note:- Kuhama SM sio rahisi ila Inawezekana.
Mimi ni mmoja wapo lazima nihame huku SM, siioni kesho yangu nikiwa hii DC iliyo kijijini hivi.
Yaani Mimi ya Masters yangu siwezi staafia huku kijijini halafu Kuna raia wapo DSM, Mwanza, Mbeya, kifupi wapo mjini wanakula maisha ya Taasisi.
Aisee siwezi kukubali, KUHAMA KWENDA TAASISI NI LAZIMA.
Iwe hata kwa hela ila NITAHAMA TU..!!
NOTE
Mbele ya macho ya serikali ya CCM sisi watumishi ""We are all equal, but some people are more equal""
YNWA
Nahitaji kuwa kwenye kundi la kupata hizi mil 7.
Nazihitaji hizo mil 7, sitaki hii laki 7
#YNWA
Wasalimie sana nawakumbuka walimu wa Musoma sekondaryWanakaza sana mikanda bila sababu View attachment 2716359
Na peni kwenye mfuko wa shat
Yap; ajira huwa ni chanzo cha mtajiKimsingi kuajiriwa ni kutengeneza umasikini, ni basi tu watu tunakosaga pa kuanzia inabidi utafute chanzo
Weka keyboard pembeni na utie juhudi. No pain no gainNahitaji kuwa kwenye kundi la kupata hizi mil 7.
Nazihitaji hizo mil 7, sitaki hii laki 7
#YNWA
Click 'youtube jobs'; kama una vigezo omba, hawahitaji vyeti, wanahitaji u-smart wako kichwaniNahitaji kuwa kwenye kundi la kupata hizi mil 7.
Nazihitaji hizo mil 7, sitaki hii laki 7
#YNWA
Hakuna asiyetaka maisha mazuri.
Juzi nimelalia Mbeya pazuri.
Nikiwa Niko full na Castle lite zangu kichwani nikamropokea mkurugenzi wangu ""Uchaguzi wa 2025 hauwezi kunikuta kwenye halmashauri yako" yaani Mimi na li-masters langu nifie kijijini. HAIWEZEKANIII
Aliniangaliaaa akanijibu "Pombe hizo" [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
#YNWA
Halmashauri hakuna michongo kama taasisi nyingine za serikali. Wafanyakazi wengi wa serikali hawategemei mishahara.Kwanini usijiajiri mkuu? Naamini mishahara kwa watumishi wa umma imepishana kidogo kwa kada husika,labda uwe mwanasiasa ndio utapiga pesa.
Lakini katika ajira za kutumikia umma wote tupo katika mtumbwi mmoja
Alikuwa kitengo gani na katika cheo kipi??Ukiwa kwenye halmashauri soma ramani ujue nini ni dili hapo. Kuna watu wameajiriwa halmashauri wakatoboa mpaka wakashangaza watu.
Nina ndugu yangu aliajiriwa wilayani mkoa wa tabora lakini alifanya makubwa mpaka akanunua V8 na kujenga Ghorofa kijijini kwao kilimanjaro.
Kuna jamaa zangu wapo bodi ya nyama aisee wamenona kama nyama kila mmoja
Wizara, TRA, BoT, NSSSF, RITA wanazalisha nini??Halmashauri mnazalisha nini? Wenzenu wanazalisha nyie ni watoa huduma unatakiwa ujuwe hilo.
Kwa upeo wako ni kwamba utajiri ni kuwa na mshahara mkubwa.
Hili kiuchumi siyo kweli. Mbinu za usimamizi wa fedha ndiyo chimbuko la utajiri.
Hao waliolala hotel ulizohisi ni ghali inawezekana pia wakawa hawana maisha mazuri kiasi ulichowakadiria.
Usijilinganishe. Laki saba yako inaweza ikafanya makubwa kuliko milioni saba ya mwingine.
Amen.Tuma maombi hata taasisi za nje, mambo ya cheki namba ndio nini? Maisha yako ni leo, ukilipwa vizuri utajiwekeza kwa haraka, na mwisho wa siku utakuwa CEO kwenye kampuni yako.
Mbona nimeyafahamu mapema sanaaa, sasa ndio napambana.Ulipaswa kuyafahamu haya mapema sana.
Mfano mtu anapata laki 7 kwa mwezi hii inawezaje kua chachu ya utajiri?Kwa upeo wako ni kwamba utajiri ni kuwa na mshahara mkubwa.
Hili kiuchumi siyo kweli. Mbinu za usimamizi wa fedha ndiyo chimbuko la utajiri.
Hao waliolala hotel ulizohisi ni ghali inawezekana pia wakawa hawana maisha mazuri kiasi ulichowakadiria.
Usijilinganishe. Laki saba yako inaweza ikafanya makubwa kuliko milioni saba ya mwingine.
Kinacho kupa utajiri ni uwekezaji. Save at least 10% and invest. Kama laki 7 akiweza kuwekeza asilimia 10 au zaidi utakuwa mbali kuliko mtu aliyeingiza milion 7 kwenye matumizi.Mfano mtu anapata laki 7 kwa mwezi hii inawezaje kua chachu ya utajiri?
Nasema hivi kwenye kutafuta maendeleo hakuna pesa kubwa na ndogo. Chochote ulicho nancho unaweza ukaanza na ukavuka.Soma hii comment ya mdau.
Hiki ndicho namaanisha.
""Maisha yako ni leo, ukilipwa vizuri utajiwekeza kwa haraka, na mwisho wa siku utakuwa CEO kwenye kampuni yako.""
#YNWA