Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Sawa

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu,miye sihami huku Tanganyika,nishaweka mifumo na mambo yanaenda pouwaaa

Upo idara Gani mkuu tukutengenezee koneksheni
 
Aahaaaa,mkuu umegonga mule mule
 
Umeandika Kwa hasira Sana, hata hueleweki, kifupi umepagawa.
 
Pia ndugu mtoa mada jiongeze kutumia fursa zilizo katika halmashauri yako .Nina mtu mmoja namfahamu yuko halmashauri mmoja sidhani kama mshahara wake unamwezesha kufanya vitu anavyofanya maana ni vikubwa hata hao wa TRA hawatii mguu kipesa . Maana kuishi kwake huko halmashauri mikoani ana miradi mingi sana ya kumwingizia pesa since amenza kazi miaka ya mwanzoni 2000 leo 2023 yuko mbali sana...JIONGEZE NA USIJILINGANISHE NA MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…