Nilichojifunza Uchaguzi wa Kenya: Tuwape nafasi Matajiri na Watafutaji

Mtumishi hawezi kufanya savings from sources zake za income? hawezi kukopa bank na kuanzisha biashara?

Hivi tunazungumzia billionaire au mtu wa namna gani? Eti savings from sources za income! Zipi hizo, zaidi ya employment income? Mshahara wa juu kabisa wa mtumishi wa umma ni kiasi gani? Propensity to save inaweza kufikia asilimia ngapi?

Kwa taarifa yako, hakuna bank inayoweza kukupa mkopo unaozidi uwezo wako wa kulipa deni. Labda ufanye udanganyifu!
 
Kwa iyo alitafutajwe?

Unajua modality yq uwekezaji kwenye Gesi ikoje? Unadhani wale wawekezaji walikujaje?
Ndio maana nakuambia wewe ni mpumbavu mkubwa.

Unataka tuongee kama watoto hapa? Alafu mm ni pro government kuanzia utawala wa mkapa, jk, Magufuli na sasa samia. Usitake nianze kusema nn kilitokea kwa waziri wa mambo ya ndani, katibu, na huyo mwekezaji.
Au nikuulize DP world kapatikanaje kuchukua nafasi ya ticts pale bandarini?
 
Acha maneno jibu swali
 
Yani Umeandika kiupumbafu sana. Umeichukua marekani ukaipeleka kenya na kuona mazingira yao wote Sawa. Ni UJINGA MKUBWA. Kenya ukabila kwanza. Mengine ardhi kwa wachache. Uwe unatembea kidogo kuweza kuappriciate ulichonacho.
Nimetembea na kukaa nchi 16 duniani. Hakuna aliyesema kuhusu mazingira thread inazungumzia uwezo wa kiuchumi wa watu wanaopewa nafasi za kuongoza
 
Uku ata usijue kusoma na kuandika wanachotaka diwan awe wa ccm tu.
 
Kwa hiyo saizi hamutaki wanyonge si ndio?

Tanzania Kuna viongozi,Kenya kuna Watawala.
 
Katiba mpya na tume huru ndio jambo la msingi zaidi
 
Upo sahihi,siyo unanipa mi kiokote then naanza kuwachukia wenye mafanikio nihakikishe wanaishi kama mashetan.....aisee....ajabu sana🤦
 

Igakunya kwa tembo uchane tak*** ufe
 
Kwa hiyo saizi hamutaki wanyonge si ndio?

Tanzania Kuna viongozi,Kenya kuna Watawala.
Mnyonge atakufikisha wapi wewe?

Ukianza kumuelezea namna ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na biashara atakuona muhujumu uchumi tu maana anakuwa hajawai hata kufanya biashara au kuwekeza mtaji sehemu na kutengeneza faida
 
Igakunya kwa tembo uchane tak*** ufe
Mazuri yanaigwa! kuanzia sasa tunaanzisha kampeni masikini tafuteni kwanza pesa tujue mnawezaje kutumia vipawa vyenu katika kujitafutia pesa na kutengeneza maendeleo yenu ikiwemo kuanzisha strong business zinazolipa kodi na kwenda vizuri

Tunaanza kuchunguza hadi kama mna nyumba nzuri na za kisasa maana ndo mana kila leo nchi yetu inazidi kujaa squatters na ujenzi holela wa hovyo maana tunawapa uongozi watu ambao hawana hata nyumba nzuri na bora zilizojengwa maeneo mazuri yaliyopimwa hivyo hawaoni hata umuhimu wa ujenzi wa mpangilio na wa kisasa

It's simple and clear mtu asiye na maendeleo binafsi hawezi kukuletea wewe maendeleo
 
Wewe ndio maana tunakuita mpumbavu. Hebu taja kiongozi ambaye ni maskini hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…