Nilichojifunza Uchaguzi wa Kenya: Tuwape nafasi Matajiri na Watafutaji

Nilichojifunza Uchaguzi wa Kenya: Tuwape nafasi Matajiri na Watafutaji

Kwa kenya wote aliowataja utajiri wao wameupata kwenye uongozi serikalini!!
kwani hawa matajiri wa tz ukwasi wao hautokani na kuji associate na siasa/wanasiasa?.

gsm bila kujiweka karibu na kikwete, nani angemjua?, bakhresa bila kuwa loyal kwa mfumo wa chama dola ccm,nani angemjua?.
 
Hata huku ifike mahala kuanzia ngazi ya Ubunge, either uwe na account inasoma 5bil ambazo umezipata nje ya siasa au uwe na elimu kuanzia degree na uwe umeshafanya kazi kwa hata miaka 10 kwenye level za utendaji na uongozi.
hapo kwenye degree umekosea, degree zote zilizojaa pale bungeni dodoma na kwenye nafasi mbalimbali za kuteuliwa huko serikalini, zimetufikisha wapi?.
 
Umesema suleiman hakuwa Tajiri alafu unasema alikuwa mtoto wa Mfalme Daudi!

Kuna mfalme mwenye mtoto maskini?

Alafu kwa nini Mungu alipompa ufalme alimuongezea na utajiri? Hujifunzi kitu hapo kuwa huwezi kuwa kiongozi mzuri kama sio tajiri?
Kwahyo watoto wa Nyerere ni mabilionea, ni matajiri?

Utajiri wa mfalme ni WATU wake kulipa KODI, mbona una uelewa finyu?

Pesa za mgombea za mfukoni haziwezi kusaidia Nchi kutajirika.

Wananchi ndio wenye UTAJIRI na ndio wenye kuwaajiri viongozi.

Hoja Yako DHAIFU sana.
 
Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia

Wakenya sio waumini sana wa ngonjera za sijui nichagueni mimi sio mwizi, mimi sio fisadi kwa sababu wanajua watu wanaopenda kujivika hizo sifa sio watu wenye akili za kimaendeleo na hawawezi kuhimiza vizuri maendeleo yao!

Kutoka kwa Jomo Kenyata mpaka kwa Daniel Arap Moi, kuja kwa Kibaki mpaka kwa Uhuru Kenyata na sasa naona Hustler William Ruto anaenda kubeba ndoo.

Wote ni watu wenye ukwasi ambao wako proud na ukwasi wao na wanatumia ukwasi wao kama njia ya ku motivate watu wengine kuwa na ukwasi.

Tanzania tujifunze hili kutoka Kenya mambo ya mtu kujisifia umaskini na kujiona ndo ticket k ya kuwa kiongozi tuachane nayo.

Kuanzia saivi tuanze kuangalia maisha ya mtu kama anajiweza kiuchumi vizuri, ana mali anazoziendesha vizuri, ana nyumba nzuri na ya kisasa na ana biashara nzuri ambayo ana imanage vizuri kama kigezo cha kumpa mtu uongozi.

Suala la kuteua sijui mtu hohehae asiye na mbele wala nyuma huku tukitegemea apandishe uchumi wetu liwe mwisho kuanzia leo.
Matajiri wa hapa kwetu unaowaongelea ni walitakiwa kuwa GEREZANI Hadi sasa.
 
Kwahyo watoto wa Nyerere ni mabilionea, ni matajiri?

Utajiri wa mfalme ni WATU wake kulipa KODI, mbona una uelewa finyu?

Pesa za mgombea za mfukoni haziwezi kusaidia Nchi kutajirika.

Wananchi ndio wenye UTAJIRI na ndio wenye

kuwaajiri viongozi.

Hoja Yako DHAIFU sana.
Watoto wa Nyerere wangekuwa na akili ya kutafuta leo wangekuwa matajiri

Kwa iyo Mungu alimpa dhahabu Suleiman na majumba na mifugo kutokana na watu kulipa kodi? umesoma Quran au biblia ya wapi?
 
Watoto wa Nyerere wangekuwa na a"kili ya kutafuta leo wangekuwa matajiri

Kwa iyo Mungu alimpa dhahabu Suleiman na majumba na mifugo kutokana na watu kulipa kodi? umesoma Quran au biblia ya wapi?
Biblia huijui, unajua maana ya "RABBON"?

Suleiman alietajirika Kwa kuweka mifumo mizuri ya nchi kuzalisha Mali na wakamletea Kodi!!!

Alitumia HEKIMA ya kiongozi aliyopewa kusaidia viongozi wa Nchi zingine kutatua changamoto zao nao wakamlipa PESA na dhahabu nyingi sana.

In short, utajiri aliupata BAADA ya kuwa mfalme.

Na utajiri haukuwa wake binafsi, Nchi nzima ilitajirika na wananchi pia.

Hujui kuhusu maandiko.
 
Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia

Wakenya sio waumini sana wa ngonjera za sijui nichagueni mimi sio mwizi, mimi sio fisadi kwa sababu wanajua watu wanaopenda kujivika hizo sifa sio watu wenye akili za kimaendeleo na hawawezi kuhimiza vizuri maendeleo yao!

Kutoka kwa Jomo Kenyata mpaka kwa Daniel Arap Moi, kuja kwa Kibaki mpaka kwa Uhuru Kenyata na sasa naona Hustler William Ruto anaenda kubeba ndoo.

Wote ni watu wenye ukwasi ambao wako proud na ukwasi wao na wanatumia ukwasi wao kama njia ya ku motivate watu wengine kuwa na ukwasi.

Tanzania tujifunze hili kutoka Kenya mambo ya mtu kujisifia umaskini na kujiona ndo ticket k ya kuwa kiongozi tuachane nayo.

Kuanzia saivi tuanze kuangalia maisha ya mtu kama anajiweza kiuchumi vizuri, ana mali anazoziendesha vizuri, ana nyumba nzuri na ya kisasa na ana biashara nzuri ambayo ana imanage vizuri kama kigezo cha kumpa mtu uongozi.

Suala la kuteua sijui mtu hohehae asiye na mbele wala nyuma huku tukitegemea apandishe uchumi wetu liwe mwisho kuanzia leo.

Tatizo sio mtu kuwa na mali, bali ni namna alivyoipata hiyo mali. Mtu ambaye adult life yake yote amekuwa mtumishi wa umma hana namna halali ya kuwa billionaire. Labda ashinde bahati nasibu.

Watanzania wanawachukia watu waliotajirika kwa kutumia utumishi wao wa umma kujinufaisha wao na familia zao, which is a betrayal of public trust!
 
Hujui Caspian ndo wamejenga kile kituo pamoja na nyumba za Polisi za Mikocheni Tanesco na Kunduchi? Unajua Caspian ni kampuni ya nani?

Basi nikusaidie maana inaonekana unapenda kupayuka tu bila kujua vitu! Caspian ni kampuni ya Rostam Aziz

Embu punguza kujianika uzumbukuku wako hapa
Wewe ndio maana nikakuita mpumbavu.
Caspian ni contractor Kama walivyo wengine. Kumsifia mmiliki wake kuwa kajenga ni upumbavu.

Kwanza unapaswa ufahamu Majengo yote mapya ya Sasa hujengwa na kuwa na muonekano mzuri. Hata soko la magomeni, kisutu ni mazuri kulinganisha na masoko mengine ya zamani. Mbona hujawasifia wamiliki wa kampuni zilizojenga?? Ni mara mia kusifia serikali iliyokuja na huo mpango wa kujenga kuliko aliyepewa tender akajenga. Kila siku tunasema hapa mama kajenga madarasa mazuri vizuri vijijini, mbona huwasifii mafundi waliojenga?

Majengo ya Dodoma ya serikali yote mapya na Ni mazuri kuliko Majengo ya Dar ya zamani. Mbona hujasema wamiliki wa hizo kampuni za contractors?

Wewe ni zaidi ya mpumbavu
 
Naamua kukudharau

kwa taarifa yako Caspian waliingia mkataba na Jeshi la Polisi kuhusiana na kiwanja chao cha Oysterbay Polisi. Kwenye mkataba wao moja ya makubaliano yao ilikuwa kampuni ya Caspian kuwajengea polisi kituo kikubwa pale Oysterbay na kujenga nyumba Kunduchi na Mikocheni

Kama hujui chutama
 
Tatizo sio mtu kuwa na mali, bali ni namna alivyoipata hiyo mali. Mtu ambaye adult life yake yote amekuwa mtumishi wa umma hana namna halali ya kuwa billionaire. Labda ashinde bahati nasibu.

Watanzania wanawachukia watu waliotajirika kwa kutumia utumishi wao wa umma kujinufaisha wao na familia zao, which is a betrayal of public trust!
Kuna shida gani mtumishi akitajirika kama anatajirika kihalali ? Hiyo mentality ya mtumishi lazima awe masikini umeitoa wapi?
 
Nikupe ushahidi sio, nikupe ushahidi we kama nani?

Nitajie matajiri 10 tu ambao wamepata utajiri kihalali Tz, wasio na DOA TRA wenye Nia na sifa ya kuwa viongozi.
Kwa hiyo wewe huna ushahidi alafu unataka mimi nikujibu swali lako?

Muombe Mungu akuondolee roho ya chuki dhidi ya waliofanikiwa
 
Suleiman mfalme hakuwa TAJIRI aliingia kuwa mfalme akiwa kijana mdogo tena mtoto wa Suria au nyumba ndogo. Hakuna aliye mjua.

Utajiri wake ulikuja baada kuomba HEKIMA na maarifa Kutoka Kwa Mungu. AKAPEWA ndo Dunia nzima AKAITAWALA.

Daudi babaye Suleiman alikuwa MCHUNGAKONDOO, alipakwa mafuta alitokea mbugani akaacha mifugo, alitokea familia ya Yese maskini kabisa.

We usitetee wezi, wauza dawa za kulevya wanayotaka kutakatisha fedha kuukwaa urais watuuze.

Nasisitiza TAJIRI au MASKINI haitoshi kuwa Qualification kuwa KIONGOZI.

Ni zaidi ya hapo.

Ameeeen.
Umenena !
 
Back
Top Bottom