Nilichojifunza Uchaguzi wa Kenya: Tuwape nafasi Matajiri na Watafutaji

Niliongea hili kitambo sana ni kweli tuwape uongozi watu waliokwisha kufanikiwa katiba business kama tunataka maendeleo la sivyo tusilaumiane.
 
Niliongea hili kitambo sana ni kweli tuwape uongozi watu waliokwisha kufanikiwa katiba business kama tunataka maendeleo la sivyo tusilaumiane.
Ingawa nimechelewa sana kuliona hili sasa naliunga mkono kwa asilimia 100
 
Nchi zilizoendelea hawahitaji Viongozi Maskini.Wameshaona madhara yake
 
Nchi zilizoendelea hawahitaji Viongozi Maskini.Wameshaona madhara yake
Nchini kwetu MATAJIRI ni asilimia ngapi ktk umma wa Watanzania?

Nitajie matajiri 10 tu hapa kwetu wenye uwezo wa kugombea urais, ambao UTAJIRI wao hautiliwi shaka.
Ameen.
 
Kwani vigezo vya mtu kugombea urais Kenya ni vipi hivyo?
 
Hakuna umaskini mbaya Kama umasikini wa mawazo . Wewe mtoa mada na wote walio kuunga mkono kwenye hili ulilo andika mna umasikini mkubwa sana wa mawazo.
 
Acha kudhalilisha jina la Den Xiaoping

Kama mtu kashindwa kujiletea maendeleo binafsi atawezaje kukuletea maendeleo wewe?
Wewe ni mpumbavu na wote walio kuunga mkono ni wapumbavu Kama wewe.
-Wakati comrade Deng Xiaoping anafanya economic reform China yeye alikuwa na utajiri gani? Wakati Jiang zimen anachukua hatamu baada ya Deng kuongoza yeye alikuwa na utajiri gani? Wakati Hu Jintao anachukua urais baada ya comrade Jiang zimen kumaliza muda wake na yeye Hu Jintao kuifanya China kuwa taifa namba mbili kiuchumi Duniani yeye alikuwa na utajiri gani? Wakati Xi Jinping anachukua urais na kuendelea kuufanya uchumi wa china kukua kwa kasi zaidi ana utajiri gani?
 


Polisi Makao Makuu jengo lao la muda lina mwonekano bora sana kuliko "msaada" wa fedha za ma-deal za huyo anaesemwa kujenga Oyesterbay.


Soko la kisutu lilisimamiwa na Watanzania lina mwonekano mzuri kwa hadhi kuliko kilichojengwa Oyesterbay.


Makazi waliyojengewa makabwela kwa kodi zetu yana mwonekano mzuri unaovutia kuliko tajiri mpiga deal.

Sio kila tajiri ana nia njema na Watanzania kama inavyodhaniwa.

Kupanga ni kuchagua, sio kila tajiri ana akili na uwezo wa uongozi kwa maslahi mapana ya Taifa.
 
Ili kuongeza uwajibikaji na utendaji uliotukuka napendekeza iwe hivi
1.Sifa ya mtu kuchaguliwa kuwa m/KITI wa mtaa/Kijiji awe ameishi hapa angalau MIAKA mitano na akaunti yake iwe inasoma laki 5+
2.Kuchaguliwa kuwa diwani mtu huyo awe ameishi kwa mika7+ katika kata husika na awe amewahi kushika madaraja ya m/kiti wa mtaa/Kijiji na akaunti isome ml 2+
3.Kuchaguliwa ubunge mtu awe ameishi Jimbo husika kwa MIAKA 10+ na awe amewahi kushika madaraka ya udiwani wa kuchaguliwa kwa awamu angalau 1 na akaunti isome ml 10+
Wabunge wetu huishi huko kipindi Cha kuchukua fomu watu hutoka mjini na kuja kugombea hata wanacho kugombea hawakijui
 
Den Xiaoping alipelekwa kusoma ulaya akakaa na matajiri akajifunza kwa matajiri wanavyoenenda na kufanya. Ndo mana aliporudi China alirudi na mindset ya kitajiri kuwa it doesn't matter if a cat is white or black as long as it catches a mice it's a good cat!

Tanzania hakunq maskini mwenye akili za kitajiri
 
Jengo la UVCCM liliejengwa kwa influence ya Lowassa tajiri. Soko la kisutu like chini ya halmashauri ya Jiji la Dar tena diwani wake wa mjini pale kisutu nadhani unamfahamu anavyojiweza kiuchumi

Hilo jengo la Makao Makuu ya Polisi na Kituo cha Oysterbay lipi jengo zuri?
 
Huyu jamaa ni kilaza ila anapost mada nyingi sana hivyo zinaonekana zina tija kumbe ni empty set.
Huwezi kuelewa mada zilizokuzidi uwezo! We endelea na mambo ya Chato na Gambosh ndo saizi yako
 
Lowasa ndie aliyeleta wazo na kujenga shule za kata angalau na kayumba wapate shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…