happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
- Thread starter
- #81
Yeye anaona sawa tu tens Siku hizi baada ya kuona namshaur sana kuhusu maendeleo kanificha kipato chake so anaona Mimi ni aduiSwali la kwanza yeye mwenyewe anatambua tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye anaona sawa tu tens Siku hizi baada ya kuona namshaur sana kuhusu maendeleo kanificha kipato chake so anaona Mimi ni aduiSwali la kwanza yeye mwenyewe anatambua tatizo?
AHAKIKISHE WAZAZI WAKE WANAPATA CHAKULA NA MAVAZI. NA PIA WALIOKUWA WANAMPA MSAADA WAKATI WA MAsomo. Wazazi nguvu za kufanya kazi zinaendelea kupunguaSiku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma
Iko hivi mi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu mwaka Jana mwaka huu wazazi wakaamua wakamilishe taratibu zote ikabaki ndoa tu sasa katika maisha na mwenzangu wajibu wake ndani umekua mdogo maendeleo hakuna hafanyi
Nimeenda kwao likizo nimechoka mwili na roho nimepoteza ndoto za kua na maisha mazuri kabisa jamaa ukoo mzima iwe shangazi, mjomba,Dada zake hata walioolewa yeye ndio anawahudumia
Nimemuonea huruma maana sio ombi nilazima familia ile dada zake wavae aanunulie nguo kila siku ikifika mwisho wa mwezi hela zote zinaenda kwao ikifika tarehe 10 mshahara umeisha nilikua nachukia namuona hana akili za maendeleo lakini kwa hali nilivyoiona hata yeye hana jinsi
Jamani nishauri nifanyeje tue na maendeleo na sisi? sababu kipato changu ni lak 3 binafsi mwenzangu yeye anapokea mil 1.4_5 lakini majukumu ni mengi kwao hawezi kufanya
Nifanyeje jamani?
Tatizo kubwa zaidi la huyu mumeo mtarajiwa sio ndugu ni kujitambua na yeye mwenyewe kujua anachokitaka kwenye maishaNilichogundua jamaa hana jinsi hata ya kujitetea kila kitu anakubali,,, kuna dada zake wametoka kwa wame zao wamekuja kusalimia wakamwambia hatuna nauli ya kurudi wala hatuna cm za mawasiliano jamaa katoa hela kawapa......na nguo kawaliwanunulia. , jamaa hana cha kujitetea
Unaeza kuta dada zake waliacha shule au kutopelekwa shule kabisa ili baba yake aweze kumsomesha yeye. Pengine dada zake ndio waliamua kuacha kwenda shule wakaenda shamba ili wamlipie ada kaka yao.
Usilolijua liache lipite
Basi hapa ndiyo tatizo lilipo. Tatizo sio ndugu zake. Nafikiri watu wajikite kwenye kukushauri namna ya kumuwezesha huyu bwana kujitambua na kujua umuhimu wa maendeleo yenu na watoto wenu watarajiwa.Yeye anaona sawa tu tens Siku hizi baada ya kuona namshaur sana kuhusu maendeleo kanificha kipato chake so anaona Mimi ni adui
Huyo inawezekana aliweka maagano na ukoo sasa anza kwanza kuvunja hizo kamba za maagano Ndiyo salama la sivyo madhabahu ya ukoo inamwita muda wote.Siku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma
Iko hivi mi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu mwaka Jana mwaka huu wazazi wakaamua wakamilishe taratibu zote ikabaki ndoa tu sasa katika maisha na mwenzangu wajibu wake ndani umekua mdogo maendeleo hakuna hafanyi
Nimeenda kwao likizo nimechoka mwili na roho nimepoteza ndoto za kua na maisha mazuri kabisa jamaa ukoo mzima iwe shangazi, mjomba,Dada zake hata walioolewa yeye ndio anawahudumia
Nimemuonea huruma maana sio ombi nilazima familia ile dada zake wavae aanunulie nguo kila siku ikifika mwisho wa mwezi hela zote zinaenda kwao ikifika tarehe 10 mshahara umeisha nilikua nachukia namuona hana akili za maendeleo lakini kwa hali nilivyoiona hata yeye hana jinsi
Jamani nishauri nifanyeje tue na maendeleo na sisi? sababu kipato changu ni lak 3 binafsi mwenzangu yeye anapokea mil 1.4_5 lakini majukumu ni mengi kwao hawezi kufanya chochote
Nifanyeje jamani?
Inakuhusu hiyo.View attachment VID-20181006-WA0016.mp4Siku zote nimekua nikilalamika humu mme/mwenzangu kutohudumia nyumbani na kuhamishia nguvu kwao ila nilichokiona mpaka nimemuonea huruma
Iko hivi mi na mwenzangu tulikua tunaishi pamoja tangu mwaka Jana mwaka huu wazazi wakaamua wakamilishe taratibu zote ikabaki ndoa tu sasa katika maisha na mwenzangu wajibu wake ndani umekua mdogo maendeleo hakuna hafanyi
Nimeenda kwao likizo nimechoka mwili na roho nimepoteza ndoto za kua na maisha mazuri kabisa jamaa ukoo mzima iwe shangazi, mjomba,Dada zake hata walioolewa yeye ndio anawahudumia
Nimemuonea huruma maana sio ombi nilazima familia ile dada zake wavae aanunulie nguo kila siku ikifika mwisho wa mwezi hela zote zinaenda kwao ikifika tarehe 10 mshahara umeisha nilikua nachukia namuona hana akili za maendeleo lakini kwa hali nilivyoiona hata yeye hana jinsi
Jamani nishauri nifanyeje tue na maendeleo na sisi? sababu kipato changu ni lak 3 binafsi mwenzangu yeye anapokea mil 1.4_5 lakini majukumu ni mengi kwao hawezi kufanya chochote
Nifanyeje jamani?
Mkuu tunafananaKupanga ni kuchagua hata sisi hatujatoka kwny familia nzuri ila unafanya kitu kutokana na uwezo wako...mm huwa natoa msaada kwa watt ambao wazazi wao wamefariki haswa linapokuja suala la ada huwa kama ndugu tunachangia kwa anayeweza.
Issue ya kumnunulia shangazi mpk chupi sitikuja kufanya mpk nakufa kila mtu apambane na maisha yake tu
Hii ni kweli kabisa mkuu.Undugu Afrika unachangia umasikini kwa asilimia 75!
Labda familia iliuza shamba ili jamaa asome [emoji23] [emoji23]Dhaaa........huo nao ni upofu, yaani mtu umesota kusoma umepata kazi kisha unaanza kununulia nguo dada zako, hii ndio akili gani sasa. Jambo analopaswa kufanya ni moja tu. Aachanr na familia na ashughulike kwa kiasi tu na baba na mama yake pekee kwa kiwasaidia makazi bora chakula wapambane wenyewe. Hao ndugu wapambane na hali zao tu. Hiyo lazima kuwasaidia imewekwa na nani. Otherwise mtayumba sana na huyo mwanaume asiye na msimamo