Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Kabadili mboga huyo usiumize kichwa...kama ni muislam mwambie aongeze mke ili aache zinaa
 

Asante gariba kwa darasa. Tatizo hamjauliza alikuta uchafu gani. Kuna mambo mengi hapo yamefichwa,ingekuwa shahaw sidhani kama angeziona kwani zingepotelea kwenye chupi ama boxer mwezenu kakuta kinyesi ndo sababu anapiga yowe hapa JF.
 
Kwani we uliolewa ukiwa bikra. Unajua kesi kama hizi Yesu alipelekewa akajibu, asiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia huyu mtu mawe... Sina maaana ya kuhalalisha ushenzi wa mumeo lakini ninajaribu kukujengea stamina ya ku over come hayo yaliyotokea. Pole sana...
 
Wanaume toweni zalau. Moja kwa moja inaonesha jamaa hakwenda hotel maana angeoga kule sasa mambo gani ya kuegeshana nyuma ya gari kama malaya? Afu punguzeni kuchepuka na mabinti wachafu maana mpaka binti anakubali popote ni mchafu by nature. Ishiiiii sio lazima mkichekupa wake zenu wajue
 
Kabla hujampekua mumeo, muwe mnajiuliza unachokitafuta hasa ni nini? na unampekua mumeo ili iweje? Maana mwisho wa siku, Mwisho wa kupekua huwa sio mzuri.Acha tabia ya kumpekua mumeo.Si ulimpenda Mwenyewe? Penda na Tabia zake
 
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun

Watu wana raha jamani, unamvua nguo na kumpeleka bafuni? Aisee natamani ningekuwa mimi. Pole sana dada ila jamani huyu mwanaume atakuwa mchafu sana, hakwenda guest? Alifanyia kwenye gari?
 
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun

mumeo ni mlemavu wa viungo au?.kama sio basi we ni baby zuzu kama jina lako
 
Dah! Kumbe ndo ulikua uchafu wenyewe huo,msii aache lasivyo atapata magonjwa maake wanaotoa huko maranyingi hawaaminiki
 

Ungekuta mavi ndo ungeleta uzi hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…