Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

So wewe utakubali tukuzalishe tuu?
 
Moira pasi ndugu!
 
Pamoja na changamoto za ndoa na mapungufu yake yote, ndoa itabaki kuwa taasisi muhimu na yenye manufaa kwa jamii. Bila ndoa hakuna taifa imara. Mifano miwili-mitatu ya waliofeli haileti uhalali kuwa ndoa ni usanii. Mtakosana na kuumizana ila mtayajenga na kuishi tena.

Kuwekana hovyo, kila mwaka unabadilisha mwanamke/mwanaume kisa huna ndoa nayo ni adhabu tu, sema hatujui au tunadharau mapungufu yetu.

Say NO to life without marriage!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…