The best_of _me
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 560
- 979
Inawezekana na wewe ni moja ya wale mnaowafanya wanawake kinyume na maumbile ila mtaani mnawapigia kelele mashoga.Acheni uchoko, kumbe kuwasapoti hao machoko ndio ustaarabu? Mkishajifunza mila za waingereza basi nanyi mnajiona sawa na wao, yaani issues za kufuga machoko mnaita ustaarabu?.
Na wewe ni shoga tuTofautisha mwaname kuingia mtaro wa mwanamke na kuingia mtaro wa mwanaume mwenzake, Kuna dhambi halafu Kuna dhambi promax!😎
Hauendelezi kizazi.Mafanikio yenu hayaonekani maana sasa hivi ndo tunawaona waziwazi kuliko zanani. Dunia inaendelea kutambua haki zao.
Inawezekana ushoga ukawa hauna faida lakini hebu nitajie hasara zake.
Hahaha yaani wasiwe na Marinda halafu watuzae? Ina wezakanaje? Jamani kuna mambo tuache ya pite tu wala sio ufahali kutetea huo ujinga.😂😂😂😂😂 kwanza nichekeee!!!
Baba zetu wangeweza kuwa mashoga na sisi pia tungekuwepo,
Faida ya ushoga, hii hoja ina matter zaidi kwa muhusika, yeye anajua au kupata faida yake, kwa uchache, tulizo la hisia za kimwili, upendo na furaha kati yao wahusianao.
Vipi una jingine?
Ni asilimia ndogo sana ya mashoga iliyopa. Na watu wanaongezeka kila sikuHauendelezi kizazi.
Huyo hajatulia na labda Elimu inachangiaHuyo ni mnyanyasaji wa wanawake, anaona ni sawa mwanamke kufumuliwa marinda ila yeye mwanaume hapana.
Hebu fikiria katika scenario hiyo; Mwathirika (vijana 2 waliovuliwa nguo hadharani)wakatoa ripoti au malalamiko Polisi na Polisi wakatekeleza vyema wajibu wao; hatua ya kwanza itakuwa Hao wadhalilishaji watawekwa chini ya ulinzi(Rumande au vinginevyo), watafikishwa mahakamani kujibu Kosa la Udhalilishaji na endapo mahakama itampa Haki Mwathirika, basi Mwathirika (Vijana 2 waliovuliwa nguo K/koo)wataweza kuweka kiwango chochote cha malipo e.g. Tzs mill 400(milioni mia nne) au zaidi.Hilo tukio halijaaffect muda wowote wa mtu maana mwisho wa siku kila aliefanya vile aliona muda wake unaruhusu… Haikufanya vile Kariakoo Nzima
Nasoma unayoandika naona unaandika hisia tupu wala sio logic anyways siwezi jua labda kuna jinsi unanufaika na ushoga maana ipo wazi unaelewa utamaduni na maadili yetu ni yapiTatizo la wee pia ni huna uelewa au ufahamu,
Unazungumzia maadili na utamaduni? Hebu tufafanulie hapa huo utamaduni na maadili yapi hayo?
Sasa ishu ya mtoto/watoto wako/wenu kutotaka kutumbukia ktk uwanda wa ushoga, unahusu nn na ambao wako tayari ktk uwanda huo? Wanakuja majumbani kwenu kuwafunda watoto? Au nn?
Mtu asiwe huru uraiani eti kisa watoto wa watu wataona, kwanini nyie Wazazi msiwazuie wasione? Majukumu ya malezi ya watoto wenu mnataka kumpa nani?
Khaaah.
Unanipa wasiwasi ukiita kitendo cha kutoa nishai mashoga ushenzi… Who are you kwanza!!? Are you one of them or??Hebu fikiria katika scenario hiyo; Mwathirika (vijana 2 waliovuliwa nguo hadharani)wakatoa ripoti au malalamiko Polisi na Polisi wakatekeleza vyema wajibu wao; hatua ya kwanza itakuwa Hao wadhalilishaji watawekwa chini ya ulinzi(Rumande au vinginevyo), watafikishwa mahakamani kujibu Kosa la Udhalilishaji na endapo mahakama itampa Haki Mwathirika, basi Mwathirika (Vijana 2 waliovuliwa nguo K/koo)wataweza kuweka kiwango chochote cha malipo e.g. Tzs mill 400(milioni mia nne) au zaidi.
1. Je, Wanyanyasaji waliotumia muda wao wa nusu saa (dk 30) kijinga kabisa kutekeleza USHENZI huo watakuwa nazo??
2. Kuhudhuria au kushughulika na Kesi tena kwa lazima itachukua siku ngapi hadi kesi/Hukumu ikamilike? Huo utakuwa ni msiba wa kujitakia.
Swali zuri sana, akijibu niite atuwekee na bei kabisaHii video umechukua kwa camera gani
Kwanini video mbovu au?Swali zuri sana, akijibu niite atuwekee na bei kabisa
Duh! Mbona umekasirika kana kwamba ni kitu kipya sana kwako? Akili imekuvurugika na unachanganya siasa, mambo ya kijamii, sheria, mambo ya Kiserikali n.k. n.k. imekuwa ni mseto si mseto, mchanyato si mchanyato vurugu tupu. Pole.Wamarekani weusi na baadhi ya watetezi wa haki za kichoko wameshafika na uzi umeshachafuka.
Kumgundua anayesapoti huo ushenzi ni rahisi sana, wapo wanaojificha ktk kivuli cha haki za binadamu, wanasahau kuwa suala mojawapo la kulinda binadamu ni kuzuia viashiria vyovyote vile vinavyoharibu uzazi au kuharibu maadili ya vizazi vijavyo.
Na bahati mbaya wanawake ndio wanaongoza kusapoti huu ushenzi, marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake, hakuna mwanaume mwenye akili timamu ambaye si *****, anaweza kujenga urafiki na *****.
Wanawake mnaowatetea machoko na mnashinda nao ktk vijiwe vyenu, niwaulize je mnapenda watoto wenu wawe kama hao machoko mnaowasapoti? Kama sivyo kwanini mnaumia wakipingwa?.
Naninyi mnaojiona watetezi wa haki za binadamu mbona hamkemei maovu yaserikali dhidi ya raia?, mbona hamkemei maonevu ya askari kwa raia?, mbona hamkemei maonevu ya CCM ila mashoga na machoko wakiguswa mnawaka kama nini.
***** YEYOTE HAFAI KUKAA NA JAMII, ADHABU YAKE NI KUMDHALILISHA AMA KUMMALIZA ILI KUOKOA KIZAZI KIJACHO.
mababu zetu wangefuga huu uchoko baadhi ya machoko humu yanayotetea uchoko yasingekuwepo.
Acheni uchoko ninyi wafuasi wa haki feki za kishoga.
Ipo poa sana..tujuzane tuwapige akina junia picha kali na post za kurusha roho instgramKwanini video mbovu au?
Usiwe na wasiwasi - Ondoa wasiwasi. Tunaenda kwa hoja. Ushenzi by definition ni kukosa Ustaarabu. Kukosa Ustaarabu ni kutenda mambo bila kuzingatia Taratibu na Sheria/Miiko/Makatazo ziliopo.Unanipa wasiwasi ukiita kitendo cha kutoa nishai mashoga ushenzi… Who are you kwanza!!? Are you one of them or??
Punda wanavaa nguo, ni wewe tu huijui dunia bado.Siku tukiona punda amevaa nguo tuta shangaa sana kwasababu sio kawaida.
Nimekwambia kuna mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu ambazo ni pamoja na haki za binadamu kuwa mashoga nchi imesaini, na wewe hujaona hilo umeona nilipoandika shanga tu?Kwahiyo kwenye shanga ndo umepaona tu kwenye scenario nzima!!? Unahisi wewe unavyovaa ukipita pale na mambo yako kuna mtu atakuwa na muda na wewe issue usilete mijongeo ya kike maana huwezi kuacha kuleta gumzo na katika gumzo uwe mpole maana ukijifanya kupanic ndo unajiletea mwenyewe nzi.
Hiyo mikataba sisi raia hatuijui tunachojua mila zetu ni mwiko mwanaume kuwa na mambo kidem dem
Ushoga ni haki ya kibinadamu ya mtu binafsi, haki haihojiwi.Au sio,
Hebu fikiria wanaume wote tuwe mashoga ni nini kitatokea? Maslahi ya ushoga ni nini?
Namefikia mahali pa kuamini kwamba "huku tuliko" tumeridhika na pengine tunaogopa au hatuthubutu kutoka nje ya huku tuliko kwa sababu huko nje tukienda kuna changamoto ya Lugha na Desturi. May be sitaeleweka labda niweke mfano hapa:
Kuna kitu ni Necessity (Necessary) na kitu ni a Want (Wish). Kitu necessary ni kile ambacho bila hicho maisha hayaendi e.g. maji, chakula, nguo n.k. Lakini a wish ni kile kitu ambacho ni matamanio yako e.g. Maji ya Kilimanjoro, Ndizi na kiti moto, Suti nyeusi n.k. Ni vitu ambavy ukivikosa sio shida kwako maisha yataendelea.Ushoga ni haki ya kibinadamu ya mtu binafsi, haki haihojiwi.
Yani kama wewe unavyoamua kupaka rangi nyumba yako, ukaamua kupaka rangi nyeupe au bluu, mtu akija kukuuliza "maslahi ya kupaka hii rangi ni nini" tutamuona kichaa.
Kwa sababu hata kama rangi haina maslahi yoyote, ni rangi uliyoiopenda tu nwenyewe, hiyo ni haki yako.
Sasa unaulizaje maslahi ya ushoga kwenye jambo ambalo ni human right?
Unaelewa human right ni nini?