Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,557
- 1,540
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea ,je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavaziUliwauliza wakakwambia Mungu anangalia roho?
Ni kweli Mungu anangalia roho, ila matokeo ya roho nzuri ndani ya mtu yenye matendo yenye kibali cha Mungu haiwezi vaa hivo.
Kwamba huyu kaenda huku hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine?Kanisa sio kwa watukufu pekee lipo kuwaokoa hao unao waona.
Wakielimishwa wakaelimika wanabadilika.
Si ajabu mtukufu kuishia motoni Malaya akaona pepo.
Am out.
Huyu kaibana nguo ili mkia uonekane
Hivi unajua ni wangapi wameingia kwenye dhambi ya uzinzi kwa kuwatamani wanaovaa hovyo ?Baadhi ya Watanzania ni washamba sna,mentality za kijima zimetutawala tulio wengi,Ushamba,Lucky of exposure nk
Wewe alivyovaa hvyo amevunja amri ya ngapi? Amevunja kifungu gani cha sheria za kanisa?
Lengo Lako wewe ni kwenda kusali au kuangalia makalio,Nenda club,,Hiyo sio shule au jeshini,
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ndo avae hivyo?Usihukumu wewe hata mmoja coz kipimo upimacho na wewe utapimiwa.Sioni ajabu huyo muumini kuvaa hivyo kama alikwenda kutafuta maslahi yake yakuhusu Nini wewe .
Mbona wewe Nia Yako ya kwenda kanisani ilikuwa ni kumpa rafiki yako kampani na sio kwenda kula chakula Cha kiroho?
Hapo hawezi kukupa jibu la moja kwa moja.Sawa tusubiri waanze kwenda uchi watakuwa wanaelimishwa huko huko.
Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?Baadhi ya Watanzania ni washamba sna,mentality za kijima zimetutawala tulio wengi,Ushamba,Lucky of exposure nk
Wewe alivyovaa hvyo amevunja amri ya ngapi? Amevunja kifungu gani cha sheria za kanisa?
Lengo Lako wewe ni kwenda kusali au kuangalia makalio,Nenda club,,Hiyo sio shule au jeshini,
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Duh..unaongea na Mimi au mleta mada mkuu.Sio Kila linalokukera wewe litakera watu wengine.Unadhani Mimi na hilo kanisa aliloenda nani anafanya ukristo uonekane ni ushenzi.Huko kanisani hakuna viongozi,Baraza la Wazee na waumini wenzake.Ndo avae hivyo?
Yaani nyie ndo mnaofanya ukristo uonekane dini ya kishenz na ya kuangalia maslahi pekee.
Unaonekana na wewe ndo uvaaji wako ndo maana huoneshi kukerwa na ujinga huo.
Unapoona ujinga kemea kama unavyotakiwa kukemea ujinga ndani ya familia yako.
Kwani mchungaji akiwaambia live kwamba wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?Kanisa ni sehemu inagoma mtu mafundisho ya kiroho,
Leo akienda hivyo,Mafundisho ya kiroho ya kimuingia taratibu atabadilika mwenyewe bila kulazimishwa,
Ni kama wew tu kipindi ulipokuwa mtoto ulikuwa unavaa nguo ina mamichuzi ya maharage,nyama matongotongo Nk,Baada ya kujitambua sidhani kama unavaa hvyo tena.
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Walianza kufanya hivyo basi jua mafundisho wanayotoa hayana mchango katika fikra zao za ukombozi,kanisani lisiwe sehemu y kuwatumikisha watu,ila watu wenyewe kutokana na mafundisho wanayoyapata wabadilike,acha visingizio vya kipumbavu, watu wanaruhusiwa kunywa pombe kanisani, watu wanatuhusiwa kufanya ngono kanisani, watu wanaruhusiwa kuiba kanisani...
Kanisani ni sehemu takatifu, fanya ujinga wako nje ya kanisa ila kanisani fika ukionyesha nia ya kuwa katika njia inayompendeza Mungu.
Mnataka watu waanze kuingia na vichupi ?
Tamaa zipo akilini kwa mtu tu,Watu wanawatamani wanafunzi na manguo yao sembuse hizoHivi unajua ni wangapi wameingia kwenye dhambi ya uzinzi kwa kuwatamani wanaovaa hovyo ?
Watoa kampani wanaruhisiwa hata kwenda uchi?Hata huyo aliyevaa hivyo unajuaje kama alimpa mtu kampani na hakwenda kuabudu.
Huyu naye alikuwa msikitini hapo?
Acha kukashfu Imani za watuNdo hivyo ukiristo ni ubabaishaji tu na ukafiri
Inaangaliwa sadaka yake mkuu sio mavazi wala ibada.Duh..unaongea na Mimi au mleta mada mkuu.Sio Kila linalokukera wewe litakera watu wengine.Unadhani Mimi na hilo kanisa aliloenda nani anafanya ukristo uonekane ni ushenzi.Huko kanisani hakuna viongozi,Baraza la Wazee na waumini wenzake.
Kama wapo mbona wao wanachukulia ni jambo la kawaida mkuu Kwa muumini mwenzao kuvaa hivyo
Wewe unaona hiyo picha ni ya ndani ya kanisa ?Amempa kampani akabakia njeWatoa kampani wanaruhisiwa hata kwenda uchi?