Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Uliwauliza wakakwambia Mungu anangalia roho?

Ni kweli Mungu anangalia roho, ila matokeo ya roho nzuri ndani ya mtu yenye matendo yenye kibali cha Mungu haiwezi vaa hivo.
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea ,je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi
 
Kanisa sio kwa watukufu pekee lipo kuwaokoa hao unao waona.
Wakielimishwa wakaelimika wanabadilika.
Si ajabu mtukufu kuishia motoni Malaya akaona pepo.
Am out.
Kwamba huyu kaenda huku hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine?

Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara kwenye macho ya wengine?
 
Baadhi ya Watanzania ni washamba sna,mentality za kijima zimetutawala tulio wengi,Ushamba,Lucky of exposure nk

Wewe alivyovaa hvyo amevunja amri ya ngapi? Amevunja kifungu gani cha sheria za kanisa?

Lengo Lako wewe ni kwenda kusali au kuangalia makalio,Nenda club,,Hiyo sio shule au jeshini,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Hivi unajua ni wangapi wameingia kwenye dhambi ya uzinzi kwa kuwatamani wanaovaa hovyo ?
 
Usihukumu wewe hata mmoja coz kipimo upimacho na wewe utapimiwa.Sioni ajabu huyo muumini kuvaa hivyo kama alikwenda kutafuta maslahi yake yakuhusu Nini wewe .

Mbona wewe Nia Yako ya kwenda kanisani ilikuwa ni kumpa rafiki yako kampani na sio kwenda kula chakula Cha kiroho?
Ndo avae hivyo?

Yaani nyie ndo mnaofanya ukristo uonekane dini ya kishenz na ya kuangalia maslahi pekee.

Unaonekana na wewe ndo uvaaji wako ndo maana huoneshi kukerwa na ujinga huo.

Unapoona ujinga kemea kama unavyotakiwa kukemea ujinga ndani ya familia yako.
 
Mtoa mada lengo lake ni kuchafua Imani za watu na sio uhalisia aliokutana nao yeye.
 
Lakini sadaka yake ilipokelewa na kanisa au sio?

Cha muhimu sadaka yake mavazi atajua na mungu wake.

Ndivyo wasemavyo.
 
Baadhi ya Watanzania ni washamba sna,mentality za kijima zimetutawala tulio wengi,Ushamba,Lucky of exposure nk

Wewe alivyovaa hvyo amevunja amri ya ngapi? Amevunja kifungu gani cha sheria za kanisa?

Lengo Lako wewe ni kwenda kusali au kuangalia makalio,Nenda club,,Hiyo sio shule au jeshini,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?

Kweli haya makanisa ni kwa ajili ya biashara wala sio huduma ya kiroho.

Hapo mchungaji anaogopa kuwaeleza waumini wake juu ya uvaaji wa mavazi ya stara kwasababu watamkimbia na biashara itakuwa imeisha.
 
Ndo avae hivyo?

Yaani nyie ndo mnaofanya ukristo uonekane dini ya kishenz na ya kuangalia maslahi pekee.

Unaonekana na wewe ndo uvaaji wako ndo maana huoneshi kukerwa na ujinga huo.

Unapoona ujinga kemea kama unavyotakiwa kukemea ujinga ndani ya familia yako.
Duh..unaongea na Mimi au mleta mada mkuu.Sio Kila linalokukera wewe litakera watu wengine.Unadhani Mimi na hilo kanisa aliloenda nani anafanya ukristo uonekane ni ushenzi.Huko kanisani hakuna viongozi,Baraza la Wazee na waumini wenzake.

Kama wapo mbona wao wanachukulia ni jambo la kawaida mkuu Kwa muumini mwenzao kuvaa hivyo
 
Kanisa ni sehemu inagoma mtu mafundisho ya kiroho,

Leo akienda hivyo,Mafundisho ya kiroho ya kimuingia taratibu atabadilika mwenyewe bila kulazimishwa,

Ni kama wew tu kipindi ulipokuwa mtoto ulikuwa unavaa nguo ina mamichuzi ya maharage,nyama matongotongo Nk,Baada ya kujitambua sidhani kama unavaa hvyo tena.

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Kwani mchungaji akiwaambia live kwamba wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?

Au ndo anaogopa waumini anaowakamua pesa watamkimbia waende kwingine ambapo hawaelezwi ukweli?
 
acha visingizio vya kipumbavu, watu wanaruhusiwa kunywa pombe kanisani, watu wanatuhusiwa kufanya ngono kanisani, watu wanaruhusiwa kuiba kanisani...

Kanisani ni sehemu takatifu, fanya ujinga wako nje ya kanisa ila kanisani fika ukionyesha nia ya kuwa katika njia inayompendeza Mungu.

Mnataka watu waanze kuingia na vichupi ?
Walianza kufanya hivyo basi jua mafundisho wanayotoa hayana mchango katika fikra zao za ukombozi,kanisani lisiwe sehemu y kuwatumikisha watu,ila watu wenyewe kutokana na mafundisho wanayoyapata wabadilike,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Ndo hivyo ukiristo ni ubabaishaji tu na ukafiri
Acha kukashfu Imani za watu
Je tukisema akili za muhamadi ni sawa na za zumalidi utainjoy moyon mwako
Na hii dhambi ikuangukie wewe uliesababisha
 
Duh..unaongea na Mimi au mleta mada mkuu.Sio Kila linalokukera wewe litakera watu wengine.Unadhani Mimi na hilo kanisa aliloenda nani anafanya ukristo uonekane ni ushenzi.Huko kanisani hakuna viongozi,Baraza la Wazee na waumini wenzake.

Kama wapo mbona wao wanachukulia ni jambo la kawaida mkuu Kwa muumini mwenzao kuvaa hivyo
Inaangaliwa sadaka yake mkuu sio mavazi wala ibada.
 
Back
Top Bottom