Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Hapa ni kwa mitume?
Uchangu kanisani umejaa sana
 
Niombee namba yake ya simu unitumie nimkataze
 
Kwamba huyu kaenda huku hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine?

Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara kwenye macho ya wengine?
Usiongelee ulimwengu wa mtu mwengine kwa Fikra zako.
Huyo Yesu mwenyewe aliambatana na watu waliofahamika kuwa wa hovyo ili mradi awe Kati Yao na kuwa badili awe sehemu Yao.

Muelimishe mbadili namna ya kufikiri.
 
Makanisa yana tofaoti gani na madanguro kidogo waloma wamama wanavaa nguo ndefu walokole wanaenda kujiuza makanisani
 
Kanisa sio kwa watukufu pekee lipo kuwaokoa hao unao waona.
Wakielimishwa wakaelimika wanabadilika.
Si ajabu mtukufu kuishia motoni Malaya akaona pepo.
Am out.
Acha uongo wewe hayo ni madanguro tu
 
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri

36 Mtu mmoja katika Mafarisayo alimwalika ale chakula kwake; akaingia katika nyumba yake yule Farisayo, akaketi chakulani.
37 Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya marimari yenye marhamu.
38 Akasimama nyuma karibu na miguu yake, akilia, akaanza kumdondoshea miguu machozi yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kuipaka yale marhamu.
39 Basi, yule Farisayo aliyemwalika alipoona vile, alisema moyoni mwake, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angemtambua mwanamke huyu amgusaye, ni nani, naye ni wa namna gani, ya kwamba ni mwenye dhambi.
40 Yesu akajibu akamwambia, Simoni, nina neno nitakalo kukuambia. Akasema, Mwalimu, nena.
41 Akasema, Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili; mmoja amwia dinari mia tano, na wa pili hamsini.
42 Nao walipokuwa hawana cha kumlipa, aliwasamehe wote wawili. Katika hao wawili ni yupi atakayempenda zaidi?
43 Simoni akajibu akasema, Nadhani ni yule ambaye alimsamehe nyingi. Akamwambia, Umeamua haki.
44 Akamgeukia yule mwanamke, akamwambia Simoni, Wamwona mwanamke huyu? Niliingia nyumbani kwako, hukunipa maji kwa miguu yangu; bali huyu amenidondoshea machozi miguu yangu, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake.
45 Wewe hukunibusu; lakini huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu yangu.
46 Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu.
47 Kwa ajili ya hayo nakuambia, Amesamehewa dhambi zake ambazo ni nyingi, kwa kuwa amependa sana; lakini asamehewaye kidogo, huyo hupenda kidogo.
48 Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako.
 
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri
Ukapata kabisa na muda wa kuwasha simu na kupiga picha!
 
Ukristo ni dini ya watu kwaio waachie watu wenyewe wajiongoze sio dini ya Mungu hii
 
Wengine wanaenda makanisani kufanya biashara zao. Kuna ile nyimbo ya Shaggy inaitwa Church Heathen, ipo youtube kaicheki utafute na lyrics zake. Anyways waislaam tuna akili sana tuliposema wanaume na wanawake watenganishwe kwenye vyumba vya ibada. Kwa hali ya kibinaadam ni ngumu sana hawa viumbe wawili kukaa pamoja bila shetani kuwa kati yao.
 
Makanisa ni biashara na hao wanaovaa nusu uchi wapo kazini.
 
"Every Sunday is a competition
Mi si nuff a dem a gwaan like dem inna name brand
All di sitten weh she wear come out ah some drum battam
Wid di camphor ball smell
Dat ah nuh new fashion
Den she proceed fi talk 'bout di man dem
Who only come ah service fi look church woman
But mi couldn't seh nutten
'Cause mi know mi ah one" ~Shaggy
 
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea ,je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi
Wewe ndio wale ambao wakifunga hawataki kuona wengine wanakula mchana. Kufunga ufunge wewe, mwingine akila uchukie wewe.
 
Wewe unaona hiyo picha ni ya ndani ya kanisa ?Amempa kampani akabakia nje
Kama kweli hapo ilikuwa Kanisani angepiga na picha ya hapo nje kanisani. Otherwise ni UZUSHI wa Kisengerema.
 
Hatari hiyo hiyo nundu lazima utamani
 
Makanisa ni biashara na hao wanaovaa nusu uchi wapo kazini.
Unaumia watu wakiwa tofauti na imani yako!? Wewe hangaika na dini yako, ya mwingine achana nayo kwani hujalazimishwa kuifuata. Unahukumu imani ya mwingine ili iweje!? Ni UWENDAWAZIMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…