Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Leo asubuhi niliweza kwenda kanisani kumpa kampani rafiki yangu,

Nikiwa ndani ya kanisa mojawapo maarufu hata kwa hapa duniani kuna binti aliingia kiukweli nilistushwa kwa namna ya vazi alilovaa lilivyomchora maumbile yake mithiri ya binti anaeenda kujiuza bar kwa kuonesha shepu yake kwa nguo za kumbana.

Ila ibada iliendelea kama kawaida ndipo nikakumbuka kuwa kwao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho tofauti na kwa wengine wanavyoamini maandiko hata ya biblia kwamba Mungu alishaweka sheria za mavazi yawe kuwasittiri na wanawake wasivae suruali,

Miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wanafukuza ama wanawafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, itoshe kusema kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi,

Hata mimi binafsi nilienda kumpa kampani rafiki lakini nyumba yoyote ya ibada ni lazima ni iheshimu kwa mavazi ya heshima, niliva suruali yangu ya kitambaa yenye marinda na kuchomekea shati, siwezi kuvaa kimodo ama cheni wala mlegezo sehemu takatifu, ni vitu naweza vaa mtaani lakini chonde chonde sehemu inayowakilisha utukufu siwezi.

Pindi tunavyotoka nikasema huyu lazima nimpige picha na kweli nikaweza kuipata picha tukiwa nje japo kwa manati.

Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi hata na wale wengine wa jumamosi ?

View attachment 2582156
Hapa ni kwa mitume?
Uchangu kanisani umejaa sana
 
Niombee namba yake ya simu unitumie nimkataze
 
Kwamba huyu kaenda huku hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine?

Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara kwenye macho ya wengine?
Usiongelee ulimwengu wa mtu mwengine kwa Fikra zako.
Huyo Yesu mwenyewe aliambatana na watu waliofahamika kuwa wa hovyo ili mradi awe Kati Yao na kuwa badili awe sehemu Yao.

Muelimishe mbadili namna ya kufikiri.
 
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.

Ibada ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.

Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.

Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.

Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
  • Kwamba huyu kaenda huku hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine?
  • anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
  • Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vichupi, hivyo vichupi si mavazi ?
  • Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara kweny nyumba takatifu?
  • je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
  • Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
  • Kwani mchungaji akiwaambia live kwamba wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?

Pindi tunavyotoka nikasema huyu lazima nimpige picha na kweli nikaweza kuipata picha tukiwa nje japo kwa manati.

Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na hawa wachache wa jumamosi ?

View attachment 2582156
Makanisa yana tofaoti gani na madanguro kidogo waloma wamama wanavaa nguo ndefu walokole wanaenda kujiuza makanisani
 
Kanisa sio kwa watukufu pekee lipo kuwaokoa hao unao waona.
Wakielimishwa wakaelimika wanabadilika.
Si ajabu mtukufu kuishia motoni Malaya akaona pepo.
Am out.
Acha uongo wewe hayo ni madanguro tu
 
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri

36 Mtu mmoja katika Mafarisayo alimwalika ale chakula kwake; akaingia katika nyumba yake yule Farisayo, akaketi chakulani.
37 Na tazama, mwanamke mmoja wa mji ule, aliyekuwa mwenye dhambi, alipopata habari ya kuwa ameketi chakulani katika nyumba ya yule Farisayo, alileta chupa ya marimari yenye marhamu.
38 Akasimama nyuma karibu na miguu yake, akilia, akaanza kumdondoshea miguu machozi yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kuipaka yale marhamu.
39 Basi, yule Farisayo aliyemwalika alipoona vile, alisema moyoni mwake, Mtu huyu kama angekuwa nabii, angemtambua mwanamke huyu amgusaye, ni nani, naye ni wa namna gani, ya kwamba ni mwenye dhambi.
40 Yesu akajibu akamwambia, Simoni, nina neno nitakalo kukuambia. Akasema, Mwalimu, nena.
41 Akasema, Mtu mmoja mkopeshaji alikuwa na wadeni wawili; mmoja amwia dinari mia tano, na wa pili hamsini.
42 Nao walipokuwa hawana cha kumlipa, aliwasamehe wote wawili. Katika hao wawili ni yupi atakayempenda zaidi?
43 Simoni akajibu akasema, Nadhani ni yule ambaye alimsamehe nyingi. Akamwambia, Umeamua haki.
44 Akamgeukia yule mwanamke, akamwambia Simoni, Wamwona mwanamke huyu? Niliingia nyumbani kwako, hukunipa maji kwa miguu yangu; bali huyu amenidondoshea machozi miguu yangu, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake.
45 Wewe hukunibusu; lakini huyu tangu nilipoingia hakuacha kunibusu sana miguu yangu.
46 Hukunipaka kichwa changu mafuta; bali huyu amenipaka miguu yangu marhamu.
47 Kwa ajili ya hayo nakuambia, Amesamehewa dhambi zake ambazo ni nyingi, kwa kuwa amependa sana; lakini asamehewaye kidogo, huyo hupenda kidogo.
48 Kisha alimwambia mwanamke, Umesamehewa dhambi zako.
 
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri
Ukapata kabisa na muda wa kuwasha simu na kupiga picha!
 
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.

Ibada ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.

Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.

Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.

Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
  • Kwamba huyu kaenda huku hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine?
  • anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
  • Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vichupi, hivyo vichupi si mavazi ?
  • Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara kweny nyumba takatifu?
  • je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
  • Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
  • Kwani mchungaji akiwaambia live kwamba wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?

Pindi tunavyotoka nikasema huyu lazima nimpige picha na kweli nikaweza kuipata picha tukiwa nje japo kwa manati.

Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na hawa wachache wa jumamosi ?

View attachment 2582156
Ukristo ni dini ya watu kwaio waachie watu wenyewe wajiongoze sio dini ya Mungu hii
 
Wengine wanaenda makanisani kufanya biashara zao. Kuna ile nyimbo ya Shaggy inaitwa Church Heathen, ipo youtube kaicheki utafute na lyrics zake. Anyways waislaam tuna akili sana tuliposema wanaume na wanawake watenganishwe kwenye vyumba vya ibada. Kwa hali ya kibinaadam ni ngumu sana hawa viumbe wawili kukaa pamoja bila shetani kuwa kati yao.
 
Makanisa ni biashara na hao wanaovaa nusu uchi wapo kazini.
 
"Every Sunday is a competition
Mi si nuff a dem a gwaan like dem inna name brand
All di sitten weh she wear come out ah some drum battam
Wid di camphor ball smell
Dat ah nuh new fashion
Den she proceed fi talk 'bout di man dem
Who only come ah service fi look church woman
But mi couldn't seh nutten
'Cause mi know mi ah one" ~Shaggy
 
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea ,je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi
Wewe ndio wale ambao wakifunga hawataki kuona wengine wanakula mchana. Kufunga ufunge wewe, mwingine akila uchukie wewe.
 
Wewe unaona hiyo picha ni ya ndani ya kanisa ?Amempa kampani akabakia nje
Kama kweli hapo ilikuwa Kanisani angepiga na picha ya hapo nje kanisani. Otherwise ni UZUSHI wa Kisengerema.
 
Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.

Ibada ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.

Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.

Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.

Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
  • Kwamba huyu kaenda huku hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine?
  • anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
  • Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vichupi, hivyo vichupi si mavazi ?
  • Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara kweny nyumba takatifu?
  • je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
  • Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
  • Kwani mchungaji akiwaambia live kwamba wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?

Pindi tunavyotoka nikasema huyu lazima nimpige picha na kweli nikaweza kuipata picha tukiwa nje japo kwa manati.

Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na hawa wachache wa jumamosi ?

View attachment 2582156
Hatari hiyo hiyo nundu lazima utamani
 
Makanisa ni biashara na hao wanaovaa nusu uchi wapo kazini.
Unaumia watu wakiwa tofauti na imani yako!? Wewe hangaika na dini yako, ya mwingine achana nayo kwani hujalazimishwa kuifuata. Unahukumu imani ya mwingine ili iweje!? Ni UWENDAWAZIMU.
 
Back
Top Bottom