Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Ukristo ni dini ya watu kwaio waachie watu wenyewe wajiongoze sio dini ya Mungu hii
Ila dini ya Mungu ni ile inayopiganiwa na watu kama Al Shabab, Taleban na Boko Haram 😁😁😁
 
Yalaah,kashaniharibia funga yangu,mawazo yamenijia nimemkunja chuma mboga.
 
Mods
Mods mpigeni ban huyu mpuuzi ameunhanisha picha ya mdoli wa kuuzia nguo ili ionekane ni mtu, tumeona picha za makanisani hakuna anachokisema pia waumini nguo hawavalii makanisani, iweje mabarabarani zisionekane aone yeye tu kanisani hata mwenyeji wake hakuziona, huyu ana nia ovu dhidi ya wakristu.
 
Litakuwa kanisa la huyu mwamba
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe ni mpumbavu sana.Kwa hiyo ulishtuka alivyoingia kanisani?Mlipotoka huko uswekeni/nyumbani kwenu haukumuangalia?
 
Wakiristo tunakuwa watu wa hovyo kuruhusu dini ichezewe
Mnaichezea wenyewe kwa kukosa elimu ya dini yenu. Mimi nadhani ukristo ungekuwa unafuatwa kisawa sawa bila ya kuingizia uzungu mngeheshimika sana na dini yenu ingechukuliwa serious.
 
Dr.namugari in the air, nimeielewa DP hakika utakuwa Dr. Wa upasuaji😎
 
Ukijua makalio ni nyama zilizojaa tamaa itapungua,
Mungu anaangalia roho na SI mavazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…