Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ila dini ya Mungu ni ile inayopiganiwa na watu kama Al Shabab, Taleban na Boko Haram 😁😁😁Ukristo ni dini ya watu kwaio waachie watu wenyewe wajiongoze sio dini ya Mungu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila dini ya Mungu ni ile inayopiganiwa na watu kama Al Shabab, Taleban na Boko Haram 😁😁😁Ukristo ni dini ya watu kwaio waachie watu wenyewe wajiongoze sio dini ya Mungu hii
Mods mpigeni ban huyu mpuuzi ameunhanisha picha ya mdoli wa kuuzia nguo ili ionekane ni mtu, tumeona picha za makanisani hakuna anachokisema pia waumini nguo hawavalii makanisani, iweje mabarabarani zisionekane aone yeye tu kanisani hata mwenyeji wake hakuziona, huyu ana nia ovu dhidi ya wakristu.Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.
Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
- Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
- anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
- Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
- Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
- je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
- Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
- Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?
Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha
Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?
View attachment 2582156
Fungua lako sasaAcha uongo wewe hayo ni madanguro tu
Litakuwa kanisa la huyu mwambaLeo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.
Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
- Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
- anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
- Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
- Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
- je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
- Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
- Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?
Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha
Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?
View attachment 2582156
Wewe ni mpumbavu sana.Kwa hiyo ulishtuka alivyoingia kanisani?Mlipotoka huko uswekeni/nyumbani kwenu haukumuangalia?Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu.
misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya mbele, kiukweli nilistushwa kwa mavazi aliyovaa, suruali ilikuwa nyepesi imembana imechora umbo lote hips, makalio na mapaja. kishati cha juu nacho kimbana huku pakiwa nacho ni kifupi kilichombana huku kikiwa na uwazi kifuani, kwakweli sikuweza kuona utofauti wake na wale mabinti waliovaa maksudi kuvutia wateja wa kununua miili.
Nilidhani patatokea purukushani ama hata watu kuanza kulalamika atolewe lakini ibada iliendelea kama kawaida, nilikuwa na maswali kibao sikuweza kufatiia ibada vizuri ila nilipomuuliza rafiki akaniambia wao wanachoamini Mungu haangalii mavazi bali roho.
Nikawa najiuliza sasa ilikuwaje miaka ya nyuma ni hili kanisa walikuwa wakisifika kuwafukuza ama kuwafunga kanga wanawake wanaovaa nguo zisizowastiri lakini leo hii wala hakuna kuwakemea, nikafikia jibu kwamba kanisa hili linaenda kwa mabadiliko ya utandawazi.
Kwakweli wanaosema Mungu haangalii mavazi wanakosea,
- Kwamba huyu kaenda kanisani hajui kama mavazi hayo ni karaha kwa wengine ?
- anaweza kuvaa mavazi hayo msibani ?
- Kinachoangaliwa ni roho, waumini waanze kuingia na vimini na body taiti ?
- Hata kama asingekuwa anaenda kanisani bado kama binadamu anatakiwa kujiuliza tu mavazi haya yana stara ?
- je hawajiulizi ni wangapi wametenda dhambi ya kutamani kupitia hayo mavazi ya kikahaba?
- Kwamba kanisa halina muda na mavazi ya kikahaba kama hayo?
- Kwani padre akiwaambia wavae mavazi ya kujistiri atakuwa amevunja kanuni ipi ya kanisa?
Pindi tunavyotoka nikawa sambamba na rafiki yangu ila yeye naona alikuwa bize anasalimiana na wengine, yule binti alitupita nikaona wacha nichukue picha ya maajabu niliyokutana nayo, nilimuaga rafiki naenda chooni mara moja, sehem ile ilikuwa na watu wengi ilikuwa ngumu kupata picha, binti nikawa namfuata kwa nyuma, tukafika sehem haina watu wengi nae akasimama, nikaongeza mwendo nikaweza kumpiga picha, hebu jionee mwenyewe hio picha nimeicrop na kuiambatanisha
Hivi kweli makanisa makubwa yanashindwa suala la mavazi wanazidiwa hata na wenzao wa jumamosi ?
View attachment 2582156
Mnaichezea wenyewe kwa kukosa elimu ya dini yenu. Mimi nadhani ukristo ungekuwa unafuatwa kisawa sawa bila ya kuingizia uzungu mngeheshimika sana na dini yenu ingechukuliwa serious.Wakiristo tunakuwa watu wa hovyo kuruhusu dini ichezewe
Kwahiyo hii kaitoa kwenye bibilia au. Yani wakristo wakiamka wanakurupuka wanabwabwaja tu hata dini yenyewe sijui kama wanasoma hawaLitakuwa kanisa la huyu mwambaView attachment 2582506
Hapana. Dini ya mungu ni ile inayopigania ushoga na haki sawa.Ila dini ya Mungu ni ile inayopiganiwa na watu kama Al Shabab, Taleban na Boko Haram 😁😁😁
jinga weeUkijua makalio ni nyama zilizojaa tamaa itapungua,
Mungu anaangalia roho na SI mavazi
Haya mtembee na chupi sasa tujue kama mko serious na kauli zenu. Acha sisi tuendelee kujistiriUkijua makalio ni nyama zilizojaa tamaa itapungua,
Mungu anaangalia roho na SI mavazi
Wewe mbuzi,jinga wee
unaweza kuvaa hivyo ukaingia ibadani?