Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Hizi data zinazokupa hii conclusion ya kumhakikishia mtu mtoto wake atakua zigo na atajuta umetoa wapi ewe msomi uliyetukuka?
Sasa nimekubali ni kweli huna akili kama unavyodai.Nimekuuliza swali ila umejibu mambo mengine ambayo hayahusiani!Sitakusingizia tena kuwa una akili.
 
Oohh halleluyaah nami ni muhanga wa jinsia nina watatu wa kiume nawish Mungu asikie kilio changu wa4 awe dada wa vijana wangu
Mungu nikumbuke nami kama ulivyomkumbuka kaka huyu [emoji120]
😄😄😄😄! Amen
 
Kuna Mtu yupo Amejaamiiana mara moja kwa Kificho na mimba ikaja na ni mtoto wa kiume; Kukuelewa kwamba uliomba Mungu akakupa inakuwa ngumu sana. All in all Hongera sana.
 
Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!
.................Kama wewe ulivyo mzigo kwa wazazi wako,halafu nashangaa kwa post ya kipuuzi kama hii wapo members ninaowaheshimu sana humu wamei-like,like buttons sijui zinatumikaje humu najiuliza au ni kikundi cha watu kinaamua tu kumkubali mtu hata kwa ujinga wake basi wanaona japo kaandika ujinga ngoja ni-like aone nimekubaliana naye huku moyoni wakipinga?

Rubbish!!!
 
Hii ni Tz nzima, nina sista wangu anafundisha shule ya sekondari huko Singida anasema watoto huko ni amsha popo kila siku kesi tu mara huyu kakutwa na yule huyu sijui kafumaniwa wapi huko huyu mara ana mimba mpk hivi juzi kati kuna mtoto wa form 2 aliwatamkia kabisa walimu wake kwamba yeye huo mchezo kaanz tokea la saba na mpk sasa hawezi tena kukaa bila kuufanya, tena hawa watoto ni waongo balaaa kama hujui kuwahoji kwa technic watakupiga chenga ya mwili mzima mana sista anakwambia jinsi wanvyowahoji mpk waje kukubali hizo kesi zao inabidi tu usiwe na kichwa chepesi ndio utawaweza lasivyo utadanganyika tu na utaona kama kweli wanasingiziwa. Au kama vip ww jaribu kwenda shule yoyote Tz hii yenye wasichana ukaongee na mwalimu wa nidhamu ili akuhadithie mabalaa ya wanafunzi kama hujajishika kichwa basi utakua na robo ngumu. Mkuu hii dunia siku hzi imevaa kaptula

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
Oooh watu wa singida ni special case katika hili

Anyway mtoto ni mtoto kwa kweli sina muda wa kuchagua gender, kuna watu hawana watoto
 
.................Kama wewe ulivyo mzigo kwa wazazi wako,halafu nashangaa kwa post ya kipuuzi kama hii wapo members ninaowaheshimu sana humu wamei-like,like buttons sijui zinatumikaje humu najiuliza au ni kikundi cha watu kinaamua tu kumkubali mtu hata kwa ujinga wake basi wanaona japo kaandika ujinga ngoja ni-like aone nimekubaliana naye huku moyoni wakipinga?

Rubbish!!!
Like wakati mwingine ni kuonyesha umeona post
Kwahiyo ukiandika pumba unaambiwa tumeona pumba zako

Haijawahi kukutokea umeandika ujinga aki-like mtu mnayeheshimiana unaogopa sana?
 
Sasa nimekubali ni kweli huna akili kama unavyodai.Nimekuuliza swali ila umejibu mambo mengine ambayo hayahusiani!Sitakusingizia tena kuwa una akili.
😂 Sawa nguli wa kukusanya data
 
Hivi mpaka leo kuna wazazi wana mambo ya kuchagua gender mtoto gani Mungu awabariki? Ni ufala wa kiwango cha juu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa angepata nafasi ya juu kama aliyowahi kuipitia Obama, naamini asingekubali kubakia na wale watoto wawili wa kike!

Lazima angefanya tu mambo ya Robert Mugabe kwa yule Sekretari na baadae mke wake Grace Mugabe. Ukienda maeneo yenye mfumo dume kwa wingi kama Iringa, Usambaani, nk hii kitu bado ina nguvu sana mpaka leo.
 
Back
Top Bottom