Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Mkuu mbona naona kabisa kama unampango kabambe wa kumla huyu choko?
Bahati mbaya fursa ya kutotaja majina yetu halisi na wapi tunatoka kwa maana ya kazi ndio yanakupa weye uhuru wa kuyasema haya.

Sitaki kuhukumu wala sitakasirika ,ila jitahidi kuwa upande wa yule ambaye unajipa uhuru wa kumsema vibaya kama ambavo umeandika hapa.

Jiulize kama ningekupa shutuma hizi ungejisikiaje?

Jitahidi sana kujiheshimu.
 
Asante sana mungu anisaidie kwa kweli
 
Pole sana kijana.

Kama ni Muislam sali sala zako tano kwa siku na ufanye subra. Tafuta mke muoane.
 
Ndio nafika mshindo
Nikikaa na vijana wenzangu huwa najiamini kabisa huwa siogopi
 
Kati ya watu hupaswi kuwaonea hofu ni madaktari wale ni watu na nusu tena narudia ni watu na nusu
Sasa fanya hivi nenda hospital muone daktari wa ushauri kwanza hasa pale amana au muhimbili Kisha baada ya hapo Kuna matibabu utapewa na utakuwa sawa
Kuhusu kumwaga mapema hiyo nadhani Kila mwanaume amekutana nayo kwenye Rika Hilo tena Bora wewe unamwaga mapema Kuna wengine ilikataa kabisa kuinuka hii hutokana na high expectations towards your partner and sex in general
Kitu kingine jitahidi sana usiangalie kabisa picha au video za x hope uta recover
 
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…