Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Isitoshe dawa nchi nyingi za kiafrika zinapewa bure lakini wao wanaziuza kwa sababu ya corrupt systems za uongozi tulionao na ndio maana hao waliofukuzwa wanaambiwa waka deal na viongozi wa nchi zao zilizocorrupt
 
Tanzania tukiuza ile mishangingi ya serikali nzima, na viongozi wakaishi kama wanavyoishi walimu, no free bima, no free transport, no free mafuta ya gari, no free taxes, hizo hela tutazokua nazo zinaendesha nchi. lakin kwa bajet za mishangingi kila siku, migari ya serikali full tank kila siku, posho nzito za wabunge kila siku... aah subutu tutaendela kutia huruma.
 
Nikiwa Muwajiriwa Serikalini. A Nisipokuwa muajiriwa Itabadilisha nini?
Sawa Ila mbona wenzenu hawalalamiki kuhusu hiyo misaasa ya Dawa za ukimwi?

Kama mnaweza fikirieni kutumia Elimu na utaalamu wenu katika Kuwa na kiwanda cha kuzalisha Dawa za ukimwi.
 
Sawa Ila mbona wenzenu hawalalamiki kuhusu hiyo misaasa ya Dawa za ukimwi?

Kama mnaweza fikirieni kutumia Elimu na utaalamu wenu katika Kuwa na kiwanda cha kuzalisha Dawa za ukimwi.
Unajua Kilichosimamishwa Sio dawa za Ukimwi peke yake?
Uzazi wa Mpango, Dawa za TB , chanjo ,Dawa za malaria na Baadhi ya Dawa za OIs..

Na Pili nani Halalamiki??
 

kwa hiyo shida Iko wapi., labda hana Mamlaka ya kuusitisha?
 
DR Mambo Jambo kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki?
 
Unajua Kilichosimamishwa Sio dawa za Ukimwi peke yake?
Uzazi wa Mpango, Dawa za TB , chanjo ,Dawa za malaria na Baadhi ya Dawa za OIs

Nikukosa vipaumbele Dawa za TB tunaweza kutengeneza na za Ols

Kuhusu uzazi wa mpango hii nikuji-control zaidi.


Kama mnaweza kuwa na uwezo wa kufanya anasa za kila siku kutembelea Magari ya gharama mnashindwa vipi kuwa na bajeti ya Afya nzuri.


Mimi ninachoumia ni hizo Ajira Ila kuhusu sisi kujitegemea we need to think out of box Nigger✌.
 
DR Mambo Jambo kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki?
Upumbavu Uko wapi Makonde plateu
Nimesema hali halisi iliyopo..

Mkuu Just imagine Ukija Hospitali Ukaambiwa Amoxicilne au Paracetamol bei yake Tsh 2000 Kwa Kidonge utajisikiaje..

Kuna wakati tuweke Siasa Pembeni Kifupi ni Kuwa Tanzania Bila Utegemezi hatutobi hata Kidogo maan Hata Bajeti ya Madawa yote hayo kwa Mwaka Inazidi Bajeti ya Tanzania Kwa Ujumla
 
Acheni kupenda kitonga, nilijua utamlalamikia rais wako aache kutapanya rasimali na kununua mavi 8 ili awaboreshee wananchi wake maisha..!!

Yani Trump aache kuwapambania raia wake kodi zipunguzwe, awaendekeze wanaokula tunda kimasihara kwa kujua kuna PEP na EIARAVII 😹😹😹
Trump kanyaga baba.!! Nilisahau kumbe hanisikii..!! 🤣
 
Mkuu jitahidi kuondoa fikra hii kichwani mwako.
 
Mpaka Naandika I thought na Nimeona Hakuna Njia Nyingine..

Hatukufundishwa Ujima Baada ya Kutoka kwenye Ujamaa Pengine ndiyo tatizo letu kubwa
 
Una-post utumbo na haujala mboga mboga. 🎺🥁Ooh disconnect 🥁🎺 disconnect 🥁🎺ooh disconnect 🥁🎺

mboga mboga hata akiwa ni chura kiziwi au chura anayesikia, eat that frog.
 
Mimi nafikiri uhuru kasema vyema,ni muda wa kutowategemea tena ngozi nyeupe,
Hawa wataalamu wetu wanafanyaga nini mbona wamekaa kaa tu kama hawajui wanakoelekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…