Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Unaweza kutuelezea hilo la Marekani kujitoa kwenye misaada linahusianaje na China?

China ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani, anamfuatia Mmarekani. Marekani ilikuwa inatoa usd.bilioni 65 kwa mwaka katika kutoa misaada ikifuatiwa na EU bilioni 38, tulitarajia China izibe gap la Mmarekani katika kipindi hiki
 
Lakini serikali yenu inaendeleza Matumizi ya Anasa kila uchao.
 
Kiongozi kinachoongelewa hapa ni nchi za China na Russia kuziba gap ya misaada ambayo Mmarekani amesitisha kutoa katika jamii zenye uhitaji. Hii ni kwa kuzingatia position zao kiuchumi. Haina maana ya kuishinikiza Marekani in any way.
 
mkuu hizi mbegu ndio tunazotumia saivi sehem nyingi wanazolima mahindi mbegu izo ndio zinazotumika tumeshaachana na mbegu asili
 
China ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani, anamfuatia Mmarekani. Marekani ilikuwa inatoa usd.bilioni 65 kwa mwaka katika kutoa misaada ikifuatiwa na EU bilioni 38, tulitarajia China izibe gap la Mmarekani katika kipindi hiki
Kiongozi kinachoongelewa hapa ni nchi za China na Russia kuziba gap ya misaada ambayo Mmarekani amesitisha kutoa katika jamii zenye uhitaji. Hii ni kwa kuzingatia position zao kiuchumi. Haina maana ya kuishinikiza Marekani in any way.
Hivi huwa mnafikiri Marekani ndiyo donor pekee wa U.N?

Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa

Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia

Top 10 UN budget contributors:

🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%)

Halafu unataka kuifananisha China na hao E.U

Yaani Marekani hata ijitoe U.N hakuna kitakachosimama duniani
 
Sasa Point Yako nimeielewa Tatizo linakuja kuwa tangu tuingie kwenye capitalist kutoka kwenye Ujamaa Hatukwahi kufundishea jinsi ya Kuishi kama Capitalist country..
For 60+ years hatujajifunza? Sasa tunataka nani atufundishe? Wenda mabeberu yanatulazimisha kujifunza baada ya kusitisha misaada!
 
Tusaidie basi uchukue nafasi ya USG
 
Sema wewe mkuu,acha awanyooshe kkenge hawa
Kuna wengine walimpigia kura, sasa hivi anawa deport ndugu zao.

Mimi nasema "served them right".

Nyerere alisema ukiushika moto utaungua tu, hiyo ni kanuni ya asili.
 
Umeongea utumbo tupu we jamaa.

Chakupewa hakidumu.
 
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja?
Walishauza technology ya kutengeneza kila kinachohusiana na arv.. Kenya Wana kiwanda cha kutengeneza Arv,,India wanacho pia,,ni Hii Tanzania imechelewa kutengeneza ama Kwa kusudi ama Kwa kupuuza au kutokana na akili finyu ya utegemezi...

Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
Kutokana na side effects za uzazi WA mpango WA sindano ama vidonge nadhani kila anaependa afya nzuri Kwa mabint na wanawake wote wa kitanzania angemshukuru Sana Sir Donald J Trump.
 
Dr mm niwe out of mada.

Kama tungesanuka mapema tungekuwa na watu special wa utaftit na kutafta cure sio kutibu magonjwa kwa kwa maelekezo kutoka wHO n stg

Daktar kama ww unatakiw mpk sahv angalau ushagundua dawa ya ugonjw flan ila sio kufuata msaafu (stg) unavyosema lazima kujiuliza kwan hzo dawa ndo only option zinzo tibu tu , hakuna nyingine? Au ni mpango wa viwanda ( Big Pham) kutuweka kwenye Matrix tusiwaze out of the box.

Ushawahi mtibu mmasai hospitalin? Kama jibu ni No basi kuna dawa zao wanazotumia pia ni effctive au wame develop natural immnity ambayo ina nguvu kisa life style wanayoishi

Kuna wale watalaam wa kuunga mifupa
kwa njia ya kienyeji nao njia ya ipo effective kwa asilimia zake ila tu ni vichwa vimefungwa tuamini kua njia walizo andika wazungu kwenye vitabu ndo only option.

Mtaala mzima wa afya kauandaa Rockefeller na alihakikisha dawa zte ziwe zinatoka kwenye kiwanda chake na kupiga vita kubwa natural plant herbs kama mitishamba kutumika katika kutibu.

Usikute hio HIV inatibika na mimea/ herbs ila tumefunga vichwa kuwa ni dawa zinazotoka nje ndo zinauwezo wa kutibu kama walivyo andika kweny vitabu vyao

Tatizo dunia inakosa watu wavumbuzi wanaoweza kuleta innovation kwani watu wengi wanaishi ndani ya Matrix na uwezo wa ku think beyond umeshuka.

Yangu ni hayo. Tujaribu ku think out of the box, ku question vitu ili tuweze ku escape matrix.
DR Mambo Jambo


View: https://www.instagram.com/reel/DEeZ4l6pasC/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==

View: https://www.instagram.com/reel/DFZnGfYIvO9/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
 
Cheki thread na video # 136
Watalaam wetu wamefungw vichwa wasifikili. Kila wanacholetewa kwao ni sawa hawawezi kuuliza na kutengeneza vya kwao
 
Kiongozi naona unaongelea issue tofauti. Takwimu zako niza mchango katika UN na tunachoongelea hapq ni Trump ku free mchango wa Marekani katika kutoa foreign aid ambapo Us inatoa takribani usd.68bilion a year, EU usd.38billion na China 4.5billion.
 
Duh!! Nadhani inatakiwa tuongee lugha moja. Unaujua utajiri wa viongozi wa nchi yangu? Unajua ufisadi wanaofanya?

Laiti kama rasilimali za nchi hii zingesimamiwa vema, basi hata walipa kodi wangelipa kwa moyo mmoja maana wangeona matokeo chanya ya nguvu zao.

Amini nakuambia, Tanzania na Afrika kwa ujumla, hatupasa kubadirika. Tuanze kusimama kwa miguu yetu wenyewe
 
#136
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…