Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hata sijui chochote
Basi hoja yako haina mashiko kama umeshindwa kuitetea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sijui chochote
China ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani, anamfuatia Mmarekani. Marekani ilikuwa inatoa usd.bilioni 65 kwa mwaka katika kutoa misaada ikifuatiwa na EU bilioni 38, tulitarajia China izibe gap la Mmarekani katika kipindi hikiUnaweza kutuelezea hilo la Marekani kujitoa kwenye misaada linahusianaje na China?
Lakini serikali yenu inaendeleza Matumizi ya Anasa kila uchao.Nchi za Afrika Zote haziwezi kutoboa kwa Disease Burden Iliyopo Ngoja Twende statistically..
Hakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
- Riport ya mwaka jana Tanzania Kwa sasa Ina WAVIU- 1.7Milion na waviu wanaotumia ARV ni 1.4 Milion
- Waliokuwa wana Ugonjwa wa Malaria walikuwa ni zaidi ya Milion 1
- Watoto waliopatiwa Chanjo ni zaidi ya Milion 1
- Watu waliotumia Njia za Uzazi wa Mpango ni zaidi ya Milions
- Wagonjwa wa TB kwa mwaka Jana walikuwa zaidi ya Laki mbili
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
Kiongozi kinachoongelewa hapa ni nchi za China na Russia kuziba gap ya misaada ambayo Mmarekani amesitisha kutoa katika jamii zenye uhitaji. Hii ni kwa kuzingatia position zao kiuchumi. Haina maana ya kuishinikiza Marekani in any way.Kwani wao wanahusikaje kwenye hilo hayo ni masula ya ndani ya taifa la Marekani sasa China na Russia yanawahusuje?
Unataka Russia na China waingile internal affairs na policies za sovereign state Marekani?
Always China never meddles in other countries’ domestic affairs. Hiyo nii miongoni mwa foreign policies zao
mkuu hizi mbegu ndio tunazotumia saivi sehem nyingi wanazolima mahindi mbegu izo ndio zinazotumika tumeshaachana na mbegu asiliKama tunacheza ngoma ya chizi na sisi akina nani? Tukubali ,tukatae nchi zetu za Afrika zimejisahau sàna. Na kuna mtego wa GMO, tukiuingia ndio tumekwisha. Tahadhari nyingi zimetolewa lkn mwisho wa siku viongozi wetu watajaa na kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO. kumbuka ukivuna mhindi wa GMO huwezi kupukuchua ukapanda uote ni lazima ununue mbegu kutoka kwao.
Tatizo litaisha tutazoea. Anapambania nchi yake iweje sie tuwe na makasiriko?Shida Ni kwamba Kuna tatizo kubwa litatengenezwa kwa Kufanya Hivyo
Basi ni swala la muda tu.mkuu hizi mbegu ndio tunazotumia saivi sehem nyingi wanazolima mahindi mbegu izo ndio zinazotumika tumeshaachana na mbegu asili
China ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani, anamfuatia Mmarekani. Marekani ilikuwa inatoa usd.bilioni 65 kwa mwaka katika kutoa misaada ikifuatiwa na EU bilioni 38, tulitarajia China izibe gap la Mmarekani katika kipindi hiki
Kiongozi kinachoongelewa hapa ni nchi za China na Russia kuziba gap ya misaada ambayo Mmarekani amesitisha kutoa katika jamii zenye uhitaji. Hii ni kwa kuzingatia position zao kiuchumi. Haina maana ya kuishinikiza Marekani in any way.
Sema wewe mkuu,acha awanyooshe kkenge hawaTuliwaambia Trump mwehu mkabisha.
Mtaelewa tu.
For 60+ years hatujajifunza? Sasa tunataka nani atufundishe? Wenda mabeberu yanatulazimisha kujifunza baada ya kusitisha misaada!Sasa Point Yako nimeielewa Tatizo linakuja kuwa tangu tuingie kwenye capitalist kutoka kwenye Ujamaa Hatukwahi kufundishea jinsi ya Kuishi kama Capitalist country..
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
_____________________________________
Waafrika Tujitegemee:
Uhuru kenyata
View: https://youtu.be/wYpSNxTxXE0
Kuna wengine walimpigia kura, sasa hivi anawa deport ndugu zao.Sema wewe mkuu,acha awanyooshe kkenge hawa

Walishauza technology ya kutengeneza kila kinachohusiana na arv.. Kenya Wana kiwanda cha kutengeneza Arv,,India wanacho pia,,ni Hii Tanzania imechelewa kutengeneza ama Kwa kusudi ama Kwa kupuuza au kutokana na akili finyu ya utegemezi...unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja?
Kutokana na side effects za uzazi WA mpango WA sindano ama vidonge nadhani kila anaependa afya nzuri Kwa mabint na wanawake wote wa kitanzania angemshukuru Sana Sir Donald J Trump.Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
Siku ya Januari 20, 2025, Rais wa Marekani Donald Trump alisaini agizo la rais (executive order) lililosimamisha kwa muda wa siku 90 utoaji wa misaada nje ya Nchi, ikiwemo programu muhimu za afya kama Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kupambana na UKIMWI. "President's Emergency Plan for AIDS Relief " (PEPFAR).
Kusitisha Huku Progran Hizo kutaathiti Dawa za Virusi vya UKIMWI (ARV), Dawa za kifua kikuu (TB), na Dawa za malaria na Dawa za Uzazi wa Mpango..
Ukiachana na Kuathiri Upatikanaji wa Dawa Taarifa ya USAID kuhusu Kupunguza kusitisha Misaada ya Viti hivyo Kumeanza Kuleta Effect kwa Baadhi ya NGOs Mashirika Mengi..
Yanayohusika na Utoaji wa Dawa za ARV,Kifua kukuu na Ukoma,Uzazi wa Mpango,na malaria yameanza Kuyumba na wote wameanza Kutoa Notice kwa wafanyakazi wao kusubiri na Kuangalia kama Marekani itarudisha Panga kwenye ala bhasi watarudi kazini...
Takribani Wafanyakazi wa Mashirika Tanzania 2900s Wanaenda Kupoteza Kazi kutokana Na upuuzi na Ego ya Trump..
Poleni Afya, Poleni Wafanyakazj wenzangu na Mostly Poleni wagonjwa ambao mnaenda Kuathiriki kwa Order hii Isiyo na Mashiko..
_____________________________________
Waafrika Tujitegemee:
Uhuru kenyata
View: https://youtu.be/wYpSNxTxXE0
Cheki thread na video # 136Walishauza technology ya kutengeneza kila kinachohusiana na arv.. Kenya Wana kiwanda cha kutengeneza Arv,,India wanacho pia,,ni Hii Tanzania imechelewa kutengeneza ama Kwa kusudi ama Kwa kupuuza au kutokana na akili finyu ya utegemezi...
Kutokana na side effects za uzazi WA mpango WA sindano ama vidonge nadhani kila anaependa afya nzuri Kwa mabint na wanawake wote wa kitanzania angemshukuru Sana Sir Donald J Trump.
Kiongozi naona unaongelea issue tofauti. Takwimu zako niza mchango katika UN na tunachoongelea hapq ni Trump ku free mchango wa Marekani katika kutoa foreign aid ambapo Us inatoa takribani usd.68bilion a year, EU usd.38billion na China 4.5billion.Hivi huwa mnafikiri Marekani ndiyo donor pekee wa U.N?
Katika bajeti ya mashirika ya U.N baada ya Marekani inayofuata ni China kwa kuchangia bajeti kubwa
Kwenye kila msaada unaopata kupitia mashirika ya U.N ujue kuwa China ameshakuchangia
Top 10 UN budget contributors:
🇺🇲USA (22.89%)
🇨🇳China (17.21%)
🇯🇵Japan (8.56%)
🇩🇪Germany (6.09%)
🇬🇧UK (5.79%)
🇫🇷France (5.61%)
🇮🇹Italy (3.30%)
🇷🇺Russian (3.04%)
🇨🇦Canada (2.73%)
🇰🇷South Korea (2.26%)
Halafu unataka kuifananisha China na hao E.U
Yaani Marekani hata ijitoe U.N hakuna kitakachosimama duniani
Duh!! Nadhani inatakiwa tuongee lugha moja. Unaujua utajiri wa viongozi wa nchi yangu? Unajua ufisadi wanaofanya?Nchi za Afrika Zote haziwezi kutoboa kwa Disease Burden Iliyopo Ngoja Twende statistically..
Hakuna Nchi narudia tena Hakuna nchi wala Chama Kinachoweza Kubeba Hiyo burden Bila Kuhitaji Msaada..
- Riport ya mwaka jana Tanzania Kwa sasa Ina WAVIU- 1.7Milion na waviu wanaotumia ARV ni 1.4 Milion
- Waliokuwa wana Ugonjwa wa Malaria walikuwa ni zaidi ya Milion 1
- Watoto waliopatiwa Chanjo ni zaidi ya Milion 1
- Watu waliotumia Njia za Uzazi wa Mpango ni zaidi ya Milions
- Wagonjwa wa TB kwa mwaka Jana walikuwa zaidi ya Laki mbili
unajua Chanjo moja ni Bei gani? Unajua ARV Drugs Ni Tsh ngapi Kopo Moja? Unajua Uzazi wa Mpango Hata Kidonge tu Circle mpja Ni Tsh ngapi??
#136Nikukosa vipaumbele Dawa za TB tunaweza kutengeneza na za Ols
Kuhusu uzazi wa mpango hii nikuji-control zaidi.
Kama mnaweza kuwa na uwezo wa kufanya anasa za kila siku kutembelea Magari ya gharama mnashindwa vipi kuwa na bajeti ya Afya nzuri.
Mimi ninachoumia ni hizo Ajira Ila kuhusu sisi kujitegemea we need to think out of box Nigger✌.