Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Njoo unisaidie kumshikiliaa maana dah ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kweli wanaume akili sawa tu
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kila nikijaribu kupata picha naona chenga jamani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
Inabidi mtafute Lodge ambayo Haina Ngazi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Na uwe na nguvu ya kumnyanyua kumuweka kitandani.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Kila nikijaribu kupata picha naona chenga jamani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
Inabidi mtafute Lodge ambayo Haina Ngazi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.
Na uwe na nguvu ya kumnyanyua kumuweka kitandani.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Acha ungese basi na ww bana...
Kajamaa konyo Sana haka
 
Huyo ni mlemavu wa miguu na sio Dushe,nae ana hisia pia kama binadamu wengine,

Mlemavu muda si mrefu anaenda kula tunda kimasihara,akomae kidogo tu coz hapo alipofikia ni kama amesha fanikiwa tayari.
Kashafanikiwa naye mjanja hataki utapeli. Kama pesa aende akapigwe ndio apewe biashara iishe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mpee tu nae ateleze, ni binadamu kama wewe, wana hisia pia !!!!
Ukiamua kumpa mpe, ila usipokee hela yake...

Experience kwa watu wa hivo ? Wanapeleka moto fresh tu, angalia porn za disabled people utapata uzoefu kiasi chake.... kila la kheri
Hata Kama ni upwiru asee hapana....kazi yangu inanikutanisha na watu wengi Sana bora nipee mmoja huko sio kubaka maana ule ni ubakaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ