Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

Haha Asante
 
Kwahiyo unampendaje mtu hata hujawahi kumuona, hata sauti yake tu huijui. Tabia zake huzijui.

Halafu siku ukipigwa tukio huko unasema wanawake hawafai.

Ajabu Sana.
 
Kwahiyo unampendaje mtu hata hujawahi kumuona, hata sauti yake tu huijui. Tabia zake huzijui.

Ajabu Sana.
upendo ni complex sana it's more biological, chemical..., physical

baadae ndo social status tabia zake kumuona na sauti yake ina matter

n.b najua ephen_ nae ananikubali lakini anaogopa kuniambia.
 
Pole .... Anampenda makonda
 
upendo ni complex sana it's more biological, chemical..., physical

baadae ndo social status tabia zake kumuona na sauti yake ina matter

n.b najua ephen_ nae ananikubali lakini anaogopa kuniambia.
Hakuna cha upendo ni biological sijui chemical wala nini.

Ni nyege tu hizo Chief.
 
M nakuogopa huku 2012 niliona jina la kike nkatongoza nkarusha na anauli njoo sinza alikuwa mstaatabu kakayule akaja kupigaa anapoke me wee ikabidi tujuane tu hamna jinsi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…