Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

Kati ya kitu nilichojifunza usioe mwanamke kwa kumhurumia utajuta, wala usitegemee fadhila ukimpa msaada yaan Fanya ni sadaka (some time hata akikupa pussy usile) hawajua cha Kesho ndo walivyoumbwa lakin wala usiwalaumu
 
Mimi nilihemea miaka kama 4 na nilikuwa sipokelewi....

Wanawake type hiyo na hii yangu hawajui maana ya ndoa, na hawajui mke anapaswa kuwa na attitude gani kwa mumewe.

Mume anaporudi na chochote mke ni wajibu wako kumpokea, hata kama ni begi lake la kazini, sembuse mazaga ya nyumbani?

Kuna wanawake u-single mama upo damuni mwao, ni kama fate kwao.
 
Huyo sio mbishi,ila kuna wanawake ukishaoa anaanza ligi na wewe,kila kitu mnashindana,kila kitu kizuri unachojaribu kumfanyia lazima inakua kinyume kwake,lakini all in all,wanawake wengi sana wanasumbuliwa na nguvu za giza,fuatilia sana kwenye makanisa, wanaoongoza kupandisha mapepo wakiwa kwenye maombi ni wao,kuna kitu hakiko sawa kwenye hii dunia kwa sasa,hali ni mbaya sana kwa wenzetu hawa,na asipokuwa na ukaribu na Mungu hali inakuwa mbaya zaidi.Asikudanganye mtu,ndoa kwa sasa hivi ni mwiba...
 
Yaani ukisimuliwa au kuyaona haya kwa mwenzio unaweza sema jamaa ni mkatili saana ila kuishi na mwanamke jamani yataka moyo.
Nilijua miongoni mwa viumbe ambao walitakiwa wawe na huruma na sisi ni wanawake tumeanza kuwatendea wema na kuwasamehe tangia historia ya kuumbwa kwetu lakini malipo Yao kwetu yamekuwa yakuumiza sana.
Yaani katika hii Dunia kiumbe ambacho kipo karibu saana na shetani ni mwanamke.
Wanaume ni lazima tuchukue tafadhari katika kuishi nao, mwanamke ndio mlango mkubwa wa shetani.
Ukikaa na mwanamke shetani hawez kuingia kwako we mwanaume Moja kwa Moja lazima aanze kwa mwanamke.
Nakusihi kijana usirudie Tena kumtandika vibao huyo mwanamke, shetani ana roho ya mauti anataka kuweka kwa huyo mwanamke usije jilaum, akizidisha mrudishe kwao
 
Tukusaidieje?
 
......Wewe cha kwanza rudi nyumbani mpigie magoti muombe msamaha........😂😂😂
 
Huyo siyo wa mwaka 2000 kweli,maana ni majipu balaa!
 
Mwanaume nguvu yako kubwa kwa mwanamke ni uvumilivu. Tatizo kubwa kwa akinamama ni pale ambapo msaada wanauona ni haki, anaweza kuomba pesa, ukamtumia na si ndogo, akipokea, hata sms ku acknowledge kuwa Imefika, hutaiona. Isipofika, makelele hayo, utaomba Ardhi ipasuke.

Shida ya pili ni pale ambapo ni wabinafsi. Yeye anataka umtunze, lakini kujua wajibu wake ni kukuletea, hilo si muhimu. Tunaishi nao kiugumu ugumu ugumu tu.
 
Kumbe ni mchaga! 😲

Kimbia hapo kabla bomu halijalipuka hilo kabila halifai hata kidogo.

Afu ukute ni mlevi ndo kabisa utazikwa huku unajiona
Kiufupi ukiwa pong'o usioe Binti mchaga!
Hapo tafuta Hela vyakula vijae nyumbani ukikosa unga waugali Kuna Mchele,ungangano,viazi,ndizi nk.
usisahau frijini vi wine,maziwa,juice nk.
Usipige mwanamke kisa umefeli wewe kumtunza. Tafuta helaaa mwanamke akisumbua unaenda mchepukoni unakula maraha unarudi unacheua masamaki alafu mwepesiii wala huwazi shoo mwenyewe mbona atakaa sawa.
Skuizi hatuwapigi vibao tunawapiga matukio tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…