Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

Wanaume tunapitia mengi lakini.
Nina mshkaji wangu alimpa mimba binti wa kichaga, wakapata mtoto wa kike jamaa akataka kumtema kisa jeuri . Wazazi wa binti wakamdai lazima amuoe kwa vile kaishi nae mkoani hapo Dar kwa miaka 2 la sivyo watamfanya kitu kibay, jamaa kamuoa mpaka leo wnaishi pamoja.

iIa wapo sahihi kamchezea sana binti wa watu .
 
Ukiweza kujifanyia yote hayo sasa mke wa kazi gani?

Kinachobakia hapo si kuwa na mkataba na mwanamke ambaye anaishi kwake na wewe unaishi kwako?

Ukichelewa kurudi hakuna wa kukuuliza na ukiamuwa usirudi kabisa Halelujah.
 
Wanaume wote naomba msichukue kabisa huu ushauri wa Dr. Leo mkuu umechemka bora ungemshauri aachane naye maana amekosa tena sababu ya kuwa naye
 
Ni kweli inaumiza pale mke anaposhindwa kuheshimu na kutambua umuhimu wa kuwa na mume,hukupaswa kumpiga Wala kumtishia ungetumia nafasi Yako kama mwanaume kuzungumza naye kiurafiki kabisa huenda angekupa sababu ya yeye kufanya vile huku ukiendelea kutafakari na kufanya maamuzi yaliyosahihi baada ya kupata majawabu kutoka kwake.
 
Ukiweza kujifanyia yote hayo sasa mke wa kazi gani?

Kinachobakia hapo si kuwa na mkataba na mwanamke ambaye anaishi kwake na wewe unaishi kwako?

Ukichelewa kurudi hakuna wa kukuuliza na ukiamuwa usirudi kabisa Halelujah.




Kweli mkuu , haya mambo yanahitaji hekima ya juu Sana.
 
Huu uzi umenikumbusha mstari wa Mboso ule anaimba "imeniponza huruma Kirungi, Kujitia kumsaidia... Penzi limevuja tenaaa🎶🎶🎶🎶"
 
Bonge la ushauri

Kataa 50/50 andaa kizazi bora
 
Wanawake wa kichaga hawafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…