Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Kwani mentality yao inatofauti gani nanyangu? Ata wao sii wanatafuta pesa ili wapate kukojolea mbususu za pisi kali.
Acha kuangaloa mbwembwe wewe angalia core reason
 

Ni kawaida sana kuwa na mawazo kama hayo ukitembelea kwa mara ya kwanza nchi hizo. Hata mimi zamani nakumbuka nilivyoenda huko kuishi kwa mara ya kwanza, nilivyorudi huku nikaona ni ardhi na mbingu. Halafu nikawa naona watu wanapita kwenye hatari. Pale Ubungo Ubungo hapakuwa na barabara ya juu. Palikuwa na mataa. Namna umati wa watu ulivyokuwa unavuka. Nilikuwa naogopa kama watagongwa na kufa. Hapo hujataja mambo wakati mnatua Airport JNIA usiku jinsi taa zinavyokuwa shaghala baghala ukilinganisha na kule ambako ziko kwenye mpangilio mzuri nk.
 
Chama kimeshika hatamu sasa tufanyeje sisi walala hoi
 
Alikuwa sahihi sana.
 
Acha kunifananisha na watoto....
Alafu mi nimestaarabika sio kama huyo mzabzab mkuu...

Huyo jamaa kwanza ana historia chafu hapa jf na anasemaga kabisa kuwa yeye ni mtu wa dampo
 
Acha kunifananisha na watoto....
Alafu mi nimestaarabika sio kama huyo mzabzab mkuu...

Huyo jamaa kwanza ana historia chafu hapa jf na anasemaga kabisa kuwa yeye ni mtu wa dampo
Nakujua mzee wangu, Wewe ni Action oriented, maneno machache!!

Uliwahi kuisaidia ile pisi, ukaipeleka home, ilivyopona ukaiambia iwahi home chap. Kwanza wewe Mamitungi, mabangi no!

Na hapo mfukoni najua Tissue za kutosha, kuwekea kikombe cha coffee restaurant.

Wewe ni kazi kazi! πŸ™Œ
 
Alafu yule demu sikumlamba japo alikua anatamani anipe nyapu ila nikamwambia "" am like your father "" πŸ˜€
 
Kwa Tanzania hii kweli brother? Kama ningekuwa sijawahi yashuhudia mambo mengi kama usemavyo ningekubali ila hata mimi ningeumia tu.

Watu wanarudi toka sehemu kwenye mafunzo Technician anajaribu kutoa maoni yake nini kifanyike kwasababu pia kaenda nje na kajifunza katathimini kwa sisi inabidi tufanyaje alafu DG anauliza kwanza wewe una elimu gani? Kwa dharau then baada ya jibu alivyojua elimu ikasikika kaa chini. Hadi hao Engineers waliumizwa na hicho kitendo we unaacha experts vichwa unachukua watu kiundugu kwenye projects makini kabisa kwenye nchi.

Hapana bro acha watu waumie wanachoona kwa wenzetu.
 
Miaka 100 naona karibu sana tumedumaa karibu miaka 400 huko ndio wenzetu waliishi haya maisha ya kuhamaisishana mambo ya nyumba ni choo..
Mkuu 400 mbona ndogo tumedumaa miaka kama 100000000000000000000000000000000000 sijui nayo ni midogooo, ukiangalia miji kama New York, shaghai, Tokyo Seoul,los Angeles, San Diego, hamburger etc unasema kweli sisi tunaishi kwenye ujima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…