Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.
1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.
2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika ardhi yetu.
3. Upende usipende, Wazungu wametuzidi akili na maarifa ukitaka kujua hilo, tembelea mgodi wa GGM tu uone trailer, sasa Australia kuna migodi niliingia nikaishia kusema tu aaaah kmmk walai.
4. Mwisho kabisa naamini haikuwa sahihi kwa mwajiri kutupeleka Australia kujifunza, pale alipoteza gharama zake bure, sisi hatujafikia wala sioni tukifikia huko ila asanteni kwa exposure.
5. Operators wa mitambo ya migodini tembeleeni seek.com.au tafuteni deals japo si rahisi ila ukipata unaenda kuishi dunia nyingine kabisa kmmk.
6. NYERERE ASINGEWAFUKUZA WAZUNGU TUNGEKUWA MBALI SANA, KISWAHILI KIKATUZIKA KABISA.
kwa hiyo unafikiri wazungu wasingeondoka ndo tungekuwa kama australia au new zealand? mbona jamaika siyo kama australia mpaka leo hii haijadai uhuru na mkuu wa jamaika ni king charles wa uingereza, mbona bado ni masikini tu kama tanzagiza ? jamaika hakuna kiswahili wanaongea english wote lkn mbona bado masikini tu kama tanzagiza?