Hiyo hali ndiyo anayopitia Godbless Lema kwa sasa.
Men! Siyo siri Bongo ni kuchafu! Harufu mbaya manoise kibao, majungu na kufuatilia mambo yasiyowahusu.
Men! siku moja nimeenda bush kumuona babu, kukawa namsiba kwa jirani. Tumeenda kwenye msiba tukakuta wanachimba kaburi.
Naona watu wananyang'anyana tools za kuchimbia, nikadhani wamelipwa kuchimba kumbe ni kazi ya kijamii.
Kumbe wameninote, jioni baada ya kuzika nikawekewa kikao kwamba nimedharau wazee sikuchimba kaburi, na hata kuzika maana hata kwenye mazishi bado watu walikuwa wananyang'anyana tools kuzika.
Wakanilipisha gallon 10 za pombe na kilo 10 za sukari, nikaleta gallon 20 za pombe na sukari kilo 20, bado wakawaka tena eti nimewadharau.
Hizi ndio mentality za watu maskinimida hii hapa nimefinya zangu Ugali na king fish wa mchuzi akiwa amewekwa bamia na ngogwe mambo murua kabisa hata 30k haijaisha.
Last week nilipita Tanga pale maeneo ya Tanga beach nikapata toto moja la kidigo kwa price ndogo kabisa, nanyonywa pipe, massage, maromance mpaka mwisho..
Hakafu eti uniambie nikaishi NYC, K zenyewe zakutafuta nahakuna burudani, unaishi unajifungia ndani na starehe artificials.
Hiyo hali ndiyo anayopitia Godbless Lema kwa sasa.
Hizi ndio mentality za watu maskini
Kweli mkuu, jijini uchafu mwingi msongamano watu,fukuto hewa nzito joto kali sana, kidogo ukisogea kibaha unaanza hisi haueni hewa inanza kuwa nyepesihasa daressalaam ni ovyo sana makelele muuza maji ya kunywa anatumia kipaaza sauti, mwenye stationary anatumia kipaaza sauti , muuza mitumba anatumia kipaza sauti bado bodaboda kupiga mziki kwa kelele bado daladala miziki yao kelele bado waimbaji wa nyimbo za kwaya maspika makubwa NEMC wako wapi? ukiwa unasafiri kuelekea mikoani ukianza kufika kibaha tu unaanza kusikia raha na hali ya hewa tofauti kabisa, hivi mbona wahindi biashara zao hawatumii kipaza sauti na wanapata wateja
Tuanzie Soko la kilombero ni chafu, Soko la samunge ni chafu, Soko la mbauda ni chafu,.Cheki hii takataka. Em acha ushamba brotheru
Nisafishe mara ngapi, mimi nimeishi huko zaidi ya miaka mitano na nachukulia kawaida tu.......ushamba mzigo.Nakuombea uchumi wako uimarike ili upate fursa ya kusafisha macho.
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Masikini akipata husahau hata kwao
[emoji38][emoji38][emoji38]Usafi nao ni function unit ya HIGH IQ watu walivyovurugwa na maisha DAR alafu uwalazimishe wawe wasafi
Labda uliishi Buza kwa mplangeNisafishe mara ngapi, mimi nimeishi huko zaidi ya miaka mitano na nachukulia kawaida tu.......ushamba mzigo.
Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
[emoji38][emoji38][emoji38]Manzese pananuka sana wakuu yaani utafikiri watu huwa wanajisaidia nje hadharani