Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea tena maisha yetu.
unasoma kisha hupati kazi. ukipata kazi unalipwa kidogo. unakaa na watu wanaongea ujinga tu mambo ya wanawake na mpira na beting. siku nikikanyaga ulaya sijui kama nitarudiNilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Solution ilitakiwa itolewe na serikali yako ya CCM,miaka 60 ya uhuru hata urban planning imewashinda,ndio maana wananchi wanatamani kwenda kuishi nchi zenye ustaarabuNaona wengi mnatoa lawama tu lkn hamji na suluhisho nini kifanyike ?? Tayari mmekuwa watumwa kutamani vya ulaya .
Mkuu hii ya kelele ni dhahiri sana, yaani tz kuna kelele sana. Raia hawawezi kufahamu mpaka siku wakisafiri.
Pia kule Uswisi thamani ya maisha ya mtu ni kubwa sana. Kuna siku niko zangu ule mtaa wa zytglogge nimejisahau kumbe natembea kwenye njia ya tram halafu imekuja ipo nyuma yangu na hairuhusiwi kupiga honi hivyo dereva akanisubiria mpaka nishtuke mwenyewe.
Anachokifanya Lema ni ulimbukeni wa kuishi nje ya nchi. Anaonekana hakuwahi kuvuka boda kwenda ng'ambo before.
Tangu arudi kutoka Canada anaona Bongo Kama tupo motoni/jehanamu. Kila kitu kwake ni uchafu na umasikini.
DahNilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Inasikitisha inatiauchungu ila huu ndio ukweli,unakuwa na hamu ya nyumbani ukifika unatamani lonely life ulioiacha kwa wenye akili.Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Wampigie mbuzi gitaa kwa miaka mingapi?Naona wengi mnatoa lawama tu lkn hamji na suluhisho nini kifanyike ?? Tayari mmekuwa watumwa kutamani vya ulaya .
Hujatembea wewe!!!hivi unaweza Kaa London ukakumbuka bongo!?tunatofautiana sana, mimi bwana hata niende wapi huwa napamiss sana Bongo..
Kwangu hata iwe wapi, bora niwe naenda narudi zangu bongo kwingine najioneaga shida tu..
Ukiona matusi jua umegushwa!Kama vipi rudi tu Uswisi, na kwa ujumla hata wewe ni mchafu tu, maana ni zao la wachafu.
Wanajitahidi sana mjini kati mji ni msafi na mji haujazidiwa na watu.Nenda Moshi,the city is amazingly clean,sijaweza kufananisha na miji mingine ya Tanzania,nimepita kama mara mbili,Moshi ni pasafi sana pale mjini...
Ni yamechakaa kweli gari asilimia 95 bongo ni used.Mtoa mada umeongea Kitu sahihi kabisa, kama mtu hajatoka bongo kwenda hizo nchi inaweza kuwa ngumu kukuelewa, exposure ni kitu cha muhimu sana, acha tu uchafu hata magari unaona yote kama yamechakaa.
Inshort bado tuna upumbavu mwingi na hatujastaarabika hiki tunachokiona kwa viongozi ndio kinareflect hali halisi ya maisha hadi kwenye ngazi za familia.Suala la usafi na Tanzania halijawahi kuwa na umuhimu.
Sheria ndogo za Halmashauri zinatungwa, pesa za taka zinakusanywa zikifika kwenye FUKO La Halmashauri zinafanya matumizi mengine YA KULIPANA POSHO MADIWNI na Wakurugenzi, siyo TAKA TENA.
NI mwendo wa mihemko tu, mwanasiasa, mtu au taasisi wakiamka anajifanya kufanya usafi. Taka zinakusanywa zinakaa hapo mpaka zinasambaa Tena Hali inarudi zero.
Kwa mfumo huo usitegemee MIUJIZA miji kuwa Safi.