Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

Ni ujinga kutoka na mwanaume asiye wako na kukubali kufanya Mambo kwa jina lake, mume wa mtu ni wa kuchuna kwa kwenda mbele na kuji establish vizuri hasa ukiwa umezaa naye na kuandaa investment kwa majina yako, ka alimuacha mkewe wa ujana na wewe jiandae tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nipe mimi
 
Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani.

Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta visingizio na baadaye yule dada akaja jua kuwa yule baba anahawara mwingine .

Wakapigana weee mpaka huyo bwana akaamua kumwambia hawara yake amtumie wife part 2 picha za uchi .
Huyu mama akamfuata mke part 1 akamwelezea huyo part 1 akamcheka nakumwambia mkuki kwanguruwe kwa binadamu ni mchungu.
Uliona kuwa nirahisi mimi nilie niteseke kuhusu wewe halafu sasa hivi nije nikakusaidie kila mtu afe na maisha yake.

Muda ukaenda akiwa anapigwa anateswa nakunyanyaswa kama nini .
Akaona amtumie picha za utupu za yule bwana na mke part3 huyo mke part2 ndio kamtumia mke part 1 .

Mke part1 akamforwadia mume wao basi yule baba akaja kwa yule mke part 2 akampigia na kumtaka atoke .
Akakataa halafu yule mke part 2 akaletewa maskari polisi ili wamtoe kwa lazima sasa yule mwanamke kwa sababu hati sio kwa jina lake ikambidi atolewe kweli .

Mpaka na sasa mke part 2 yupo home kwako.

In take kula kunywa na mume wamtu ila usiomweke kwenye malengo .
Good afternoon people .
Hivi ni mimi sina akili? Au wewe umeshindwa kuandika vizuri?
 
Rudia kusoma ulichoandika kama kinaeleweka, mara mke part1, part2 & part3.. ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nipe mimi
Njoo uichukue ila watakapoita aliekutia mimba aje apime ukimwi waambie mie nishatoa huduma yangu nao wafanye huduma yao tusifatiliane sawa..??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati unasemaaaaa sikusikiii
 
Kwa Vyovyote Vile wewe ni Form 4 yake maswali ya Part I unayo kichwani
 
Back
Top Bottom