Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

Umejizungusha sana mkuu hii story iko kwa Iddi makengo instagram ni mpuuzi mmoja yuko njia panda.
 
Huh!? Hiki ni Kichina umeandika? 😳

Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani.

Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta visingizio na baadaye yule dada akaja jua kuwa yule baba anahawara mwingine .

Wakapigana weee mpaka huyo bwana akaamua kumwambia hawara yake amtumie wife part 2 picha za uchi .
Huyu mama akamfuata mke part 1 akamwelezea huyo part 1 akamcheka nakumwambia mkuki kwanguruwe kwa binadamu ni mchungu.
Uliona kuwa nirahisi mimi nilie niteseke kuhusu wewe halafu sasa hivi nije nikakusaidie kila mtu afe na maisha yake.

Muda ukaenda akiwa anapigwa anateswa nakunyanyaswa kama nini .
Akaona amtumie picha za utupu za yule bwana na mke part3 huyo mke part2 ndio kamtumia mke part 1 .

Mke part1 akamforwadia mume wao basi yule baba akaja kwa yule mke part 2 akampigia na kumtaka atoke .
Akakataa halafu yule mke part 2 akaletewa maskari polisi ili wamtoe kwa lazima sasa yule mwanamke kwa sababu hati sio kwa jina lake ikambidi atolewe kweli .

Mpaka na sasa mke part 2 yupo home kwako.

In take kula kunywa na mume wamtu ila usiomweke kwenye malengo .
Good afternoon people .
 
Usituzibie riziki sisi waume wa watu.
 
Daaah hii nchi ngumu sana, naomba mleta mada atulie kidogo ili alete hiki kisa kwa uzuri ili wengine tuelewe
 
Sasa Part 4 yupo wapi?[emoji1787][emoji23]
 
Hii ni equation gani tena jamani? Au ni logarithm?
 
Ndio mjue mnapochukua waume za watu mnawakwaza sana wake zao so na ninyi siku mahawara zenu wakienda kwa mahawara wengine msiwalalamikie, kwani ninyi ni mahawara tu!
Hapo umeongea ukweli acheni ndoa za watu
 
Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani.

Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta visingizio na baadaye yule dada akaja jua kuwa yule baba anahawara mwingine .

Wakapigana weee mpaka huyo bwana akaamua kumwambia hawara yake amtumie wife wa wa pili ambaye kazaa watoto wawili naye picha za uchi .
Huyu mama akamfuata mke wa 1 akamwelezea huyo mke 1 kilomchomsibu mke wa kwanza akamcheka nakumwambia mkuki kwanguruwe kwa binadamu ni mchungu.
Uliona kuwa nirahisi mimi nilie niteseke kuhusu wewe halafu sasa hivi nije nikakusaidie kila mtu afe na maisha yake.

Muda ukaenda akiwa anapigwa anateswa nakunyanyaswa kama nini . Huyo ni mke wapili anateswa sasa kisa mke watatu.

Hawara mpya akamtumia mke wa pili picha za uchi mke wapili akaona anyamaze ila baada ya mke wapili kuona mke wa kwanza hamumsikilizi .
Akaona amtumie picha za utupu za yule bwana na hawara mpya huyo mke wa pili ndio kamtumia mke mke 1 .

Mke wakwanza akamforwadia mume wao basi yule baba akaja kwa yule mke wa 2 akampigia na kumtaka atoke .
Akakataa halafu yule mke wa pili akaletewa maskari polisi ili atoke kwa lazima kwenye nyumba aliojengewa na yule baba sasa yule mwanamke kwa sababu hati sio kwa jina lake ikambidi atolewe kweli .

Mpaka na sasa mke wa 2 yupo home kwako.

In take kula kunywa na mume wamtu ila usiomweke kwenye malengo yako ya baadaye
Good afternoon people .
Umeandika Kama HAWARA
 
Back
Top Bottom