Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani.

Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta visingizio na baadaye yule dada akaja jua kuwa yule baba anahawara mwingine .

Wakapigana weee mpaka huyo bwana akaamua kumwambia hawara yake amtumie wife wa wa pili ambaye kazaa watoto wawili naye picha za uchi .
Huyu mama akamfuata mke wa 1 akamwelezea huyo mke 1 kilomchomsibu mke wa kwanza akamcheka nakumwambia mkuki kwanguruwe kwa binadamu ni mchungu.
Uliona kuwa nirahisi mimi nilie niteseke kuhusu wewe halafu sasa hivi nije nikakusaidie kila mtu afe na maisha yake.

Muda ukaenda akiwa anapigwa anateswa nakunyanyaswa kama nini . Huyo ni mke wapili anateswa sasa kisa mke watatu.

Hawara mpya akamtumia mke wa pili picha za uchi mke wapili akaona anyamaze ila baada ya mke wapili kuona mke wa kwanza hamumsikilizi .
Akaona amtumie picha za utupu za yule bwana na hawara mpya huyo mke wa pili ndio kamtumia mke mke 1 .

Mke wakwanza akamforwadia mume wao basi yule baba akaja kwa yule mke wa 2 akampigia na kumtaka atoke .
Akakataa halafu yule mke wa pili akaletewa maskari polisi ili atoke kwa lazima kwenye nyumba aliojengewa na yule baba sasa yule mwanamke kwa sababu hati sio kwa jina lake ikambidi atolewe kweli .

Mpaka na sasa mke wa 2 yupo home kwako.

In take kula kunywa na mume wamtu ila usiomweke kwenye malengo yako ya baadaye
Good afternoon people .
mwambie aende ustawi wa jamii tu hapo atakuwa anaambulia vijisentsent vya kutunzia watoto nae anachomokea humohumo maisha yanaenda
 
Hiyo inabidi uwe umesoma hesabu za algebra 🤣

Yaani:
Let X = Mke Part 1 = Mke wa kwanza
Let Y = Mke Part 2 = Nyumba ndogo
Let Z = Mke Part 3 = Hawara
Let M = Mume wa mtu
Let N = Message ya utupu kati ya (Z na M)

Now,
Y -> Ameishi na M kwa miaka 10, ana watoto wawili (Y1 & Y2)

Y -> Amemnyanyasa X, mpaka kujengewa nyumba.

M-> Akapata Z akaanza kumnyanyasa Y.

M ->Akamwambia Z atume N kwa Y.

Y->Akamfuata X na kumwambia anavyonyanyaswa ila hakupata msaada alichekwa na X.

Y-> Akatuma N kwenda kwa X.

X-> Akaforward N kwenda kwa M.

M-> Akamfukuza Y kwenye nyumba aliyomjengea kwa sababu hati haikuwa na jina la Y.

Therefore,
M->Amebaki na X na Z

Hence solved
Baadae atakuja W, kisha Z ataambiwa atoke.watabaki x na w..teh teh teh
 
Ndio mjue mnapochukua waume za watu mnawakwaza sana wake zao so na ninyi siku mahawara zenu wakienda kwa mahawara wengine msiwalalamikie, kwani ninyi ni mahawara tu!
Mwenzetu umeelewa kumbe
 
Back
Top Bottom