GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #141
Huo muda mfupi nilioubakisha Kuishi utatangulia Wewe Kuganda katika Friji za Mochwari kabla yangu sawa?Nachukua nafasi hii kutangaza KUKUDHARAU MOJA KWA MOJA KATIKA KIPINDI CHAKO CHOTE KIFUPI ulichobakiwa nacho hapa duniani .
Kwakuwa mmeshaona dalili zote za Mwamba wenu kwenda Kuozea Jela ndiyo mnajifanya kumtaja na kumkumbuka Yesu Kristo kwahiyo Kipindi kile nawashauri na mkawa mnanitukana hapa mlikuwa na Shetani Mkuu Lucifa Mioyoni mwenu au?Hukushambuliwa, bali ulielezwa ukweli...
Kwamba, kesi hii Jaji au hakimu yeyote hahitaji kuwa amebobea kisheria kujua kuwa ni ya kutunga, ni baseless kisheria...
Mpaka sasa ukweli unabaki kuwa huu hata kama watampeleka jela...
Kwani kesi hii ina tofauti gani na ile ya Yesu Kristo miaka 2021 iliyopita...?
Honestly, haina tofauti kwa sababu zote ni za kutunga kwa kutumia ushahidi wa uongo...
Kwa kuwa walidhamiria kuwa iwe kwa jua au kwa mvua, Yesu Kristo lazima ahukumiwe kifo. Na kweli ilikawa vile. Lakini haikuondoa ukweli kuwa Yesu alishitakiwa kwa uongo na kwa hiyo hata hukumu yake ikawa ni ya kukomoa tu, haikuwa ya haki...
Vivyo kwa huyu jamaa (Mbowe) mfanano wa kesi take umejengwa ktk msingi wa uongo. Likely, watamhumkumu kifungo jela. Lakini watakuwa wamehukumu mtu asiye na hatia...
Porojo zangu na za Mawakili wenu kwa Mwamba zina tofauti yoyote? Wanaacha Kumpigani kwa Hoja zenye Mashiko wao wanakazania tu Upuuzi wa PGO haya sasa Mteja wao ataenda Kukutana na PGO ndani ya Gereza la Segerea.Ujinga mtupu ..japo sipendelei akili za kushikiwa lkn sio kwa maamuzi ya jaji kutupa shauri kwa kutumia maelezo badala ya vifungu vya sheria...wewe Gentanin ningekuona wa maana km ungeleta facts za kisheria zaidi ya porojo tu....
Hivi bongo ukipatwa na hatia ukitoka unaruhusiwa kugombea kweli?Hukumu ya Mandela nayo ilikuwa ni ya Kimkakati na 'Political Oriented' kama ya huyu 'Mwamba' wenu?
Endeleeni tu kujipa Moyo ila hachomoki.
Ndiyo Mimi Mkuu na leo nawakera zaidi.Genta bwana
Mpaka hapo ameshapoteza baadhi ya Sifa.Hivi bongo ukipatwa na hatia ukitoka unaruhusiwa kugombea kweli?
Mkuu unaweza tu Kunielekeza uliponunua Bangi / Bange uliyoivuta leo ili nami pia nikainunue kwani kwa ulichokiandika hapa inaonyesha ilikomaa vyema huko Shambani.Eti nini? Mimi nimeenda shule boss! Ndo maana English inapanda than any of your interpreted dream. French pia niliipata mikononi mwa waalimu Pas proche de votre compréhension. Naijua Sayansi na laws of universe. Nawakumbuka akina De broglie.
Twende polepole. Wewe unakumbuka nini kuonesha umekwenda shule?
Kamanda leo unaandika Kihuruma na Kilokole sana Kulikoni? Leo Matusi yako ( yenu ) hayako Viganjani Kwenu ili muendelee Kunitukana kama mlivyonifanyia huko nyuma?
Kwa tulioishi Ziwani au katika Mito mikubwa ukiwa ndani ya Maji na ukaona Samaki wadogo wadogo wengi wanakuja Kwako jua Mamba hayuko mbali Kukukamata na Kukuua vibaya kabisa hivyo Jihadhari.Kwani hukumu ya mbowe tayari? Au ilikuwa ni case ndogo tu
Kwahiyo ni ya 'Kiutamaduni' tu zaidi au?Kesi hii siya kisheria hata
Sababu za majaji kujitoa zinajulikana.Genta hamna ushauri wowote ambao ungetoa wenye kusaidia maana hiyo kesi haijali sheria, bali ni kesi ya hila na siasa chafu. Na kutaka kujua kwamba hilo jambo liko nje ya mipaka ya kisheria, majaji wanajitoa maana wanalazimishwa kutoa hukumu isiyoendana na ushahidi unaotolewa. Tuna uwezo wa kujua hizo kesi za kihuni maana ni marudio tu hakuna jipya hapo.
Ushauri wa bure, baki na ushauri wako maana hauna msaada wowote, kwani huko mahakamani kinachoendelea ni mabishano ya kisheria kwenye jambo la kutunga.
Uhuni Tu unatumika. Wakienda nayo kisheria watafeli tu na kutafuta huruma.Kwahiyo ni ya Kiutamaduni tu zaidi au?
Ndo wanakuja mdogo mdogo.Je wangefanya nini ili kumuokoa mwamba,saidia katika kuonyesha njia.Kilichotokea leo hakimhusu Mbowe bali wale washirika wengine na unapokazania kuwa mwamba ataozea jela kwa kipi hasa ambacho mpaka sasa kimemguza Mbowe?
Nishakuambia , endelea kukufuruHuo muda mfupi nilioubakisha Kuishi utatangulia Wewe Kuganda katika Friji za Mochwari kabla yangu sawa?
Na leo nawakera Makusudi hadi mpasuke.
Sabaya akifungwa ,mahakama huru.Mechi ikiwa ngumu kwa Mbowe,mahakama sio huru.Hakuna Mahakama huru nchi hii.
Hii kesi ilistahili kufuwa siku nyingi tu.
Lengo ni kumuweka ndani wakiamini chama kitayumba na hii ni kwasababu akil zao ni fupi.
Hahaha, "Matusi" hayaui Mkuu, leo jamaa wamevurugwa, and kama jambo dogo hivi linawavuruga namna hii itakuwaje siku wakipewa kuwaongoza hawa watu mil 60? Hii hukumu ya leo haikuwa na sababu kupaniki kwa jinsi walivyopanikiMkuu ni matumaini yangu umeshajiandaa kwa 'Matusi' yao kwani hicho ndicho wanakiweza ila siyo kutumia Akili vizuri Kufikiri kama ulivyofanya hapa.
Na sijui kwanini leo hawanitukani tena.
ila mnakuwaga wabishi sana nyieHakuna Mahakama huru nchi hii.
Hii kesi ilistahili kufuwa siku nyingi tu.
Lengo ni kumuweka ndani wakiamini chama kitayumba na hii ni kwasababu akil zao ni fupi.