Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Dooh umesikia kwa muislamu gani ? maana kuna sura ktk Quran inaeleza Allah hafananishwi na chochote sasa unavyoniambia miguu mikono nashangaa sana na hayo mambo ya mke pia utakuwa Umesikia nilidhani umesoma mahali kwenye vitabu vyetu
  • Anajihoji mwenyewe atakuwaje awe na mwana na hana mke? yani uwezo wake hawezi kuwa na mwana bila mke, yani angepata mke angekuwa na mwana kwa logic yake!
    • Koran 6:101. .... Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke?
  • Anajijibu kama angetaka mke basi angechukuwa wa jamii yake allah anatumia neno sisi, Hapa kuna cha kujiuliza Allah wako wangapi mpaka achukue jamii yake? anajijibu jamii yake ni malaika na houris wenye macho makubwa
    • Koran 21:17 Tafsir al-Jalalayn Had We desired ... partner or a child We would have found it with Ourselves from among the beautiful-eyed houris or angels were We to do so
  • Anajijibu mwenyewe kwamba kama angetaka kuwa na mwana basi angeteua amtakae
    • Koran39:4. Lau kuwa Allah angeli taka kuwa na mwana, basi bila ya shaka angeli teua amtakaye katika alio waumba....
 
Hadithi iko wazi huyu alikuwa Mkristo kisha akaingia Uislamu. Maana yake aliandika wahayh akiwa Muislamu.

Nataka andiko yaani ushahidi unao onyesha Mkristo aliandika Wahayh. Usiwe mjinga kiasi hiki, mambo yako wazi haya.
Uliona jamaa anasema Muhammad hajui kitu kilicho andikwa
...Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
 
AISE AFADHALI UMETUMA LOTE HUYU JAMAAA ANATAKA KULISHA WATU MATANGO

ANACHUKUA MAANDIKO YA KATIKATI AFU ANAYALETA HAPA YAANI HADI KWENYE MIHADHARA YAO NDIVYO WANAVYOFANYAA WANANYOFOANYOFOa maandiko
Ni wajanja wajanja tu wa kijinga jinga kama waganga wa jadi au wale wachezesha karata tatu.
Ukiwabana kwenye angle wanaanza kurukaruka kama maharage yameinjikwa jikoni yanaiva.


Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 

NDO UMEANDIKA NINI MBONA KAMA UNAJITEKENYA MWENYEWE HUKU UNACHEKA
 
Wewe kafiri hebu muache Binti wa ki-islamu huyo, unataka kumlisha nguruwe ama??
Kwako wewe kosa kubwa ni kumlisha muislamu kitimoto? Huna tofauti na watu ambao mafundisho yao yanataja kuwa, dhambi kubwa ni kunywa pombe.
 
Aaah aaaah nimecheka sana aisee hii naipiga picha naitengenezea tafsiri lugha tofauti tofauti naiweka kama token kwenye NFT ili idumu huko online.

Nimecheka sana aisee kuwa jamaa mtaani wakimzingua anaweka verse ya kuwachamba....duh

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Anaweka verse hazina vina beat linachanganyikiwa

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Aisee umefungwa wewe YESU ALIANZA KUTABILIWA KABLA HAJAZALIWA YESU NI MUNGU 100% na ni mwanadamu 100%.

Kuzaliwa kuishi kusulubiwa mpk kufa kwake kulishatabiliwa tangu agano la kale tangu wakina Mussa

Mwanaume mbishi kama fupaa eboo
Sasa si ndiyo unatuonyesha na mtuambie hayo maandiko yenu kwanini yanapingana...?

Kingine hapa sijaleta ubishi ningekuwa mbishi ingekuwa ni kinyume chake.
 
Naona unasoma maandiko nusu nusu kwanini basi usisome lilipoanziaa unasoma hitimisho

HAKIKA WEWE NI KIPOFU
Nimefanya hivy sababu mwanzo wake haubadilishi hitimisho lake, na hapo si katika hitimisho kadhalika.
 
Yaani UKRISTO hauwezi kufa na hautokuja kufa milele mpk YESU atakapokuja kulinyakua kanisa na wewe ukimshangilia kwa shangwe kwa maana utakuwa umeshamkubali na kuokoka
Sasa mambo ya kufa ukristo yametoks wapi, wewe huoni hata uyahudi bado upo mpaka leo na ni uovu. Sisi tunaongelea ukweli na matendo mema.
 
Yesu sio nabii Isa
Binafsi nimemjua Yesu kupitia Biblia na ww umemjua Mtume Mohamed kupitia Quran
Sasa utaniamishaje jina jipya la Yesu ambalo halipo kwenye Biblia ww umelitoa wap hilo jina??
Hili nimeshaliweka sawa huko sawa. Hakuna anae weza kuthinitisha ya kuwa Yesu si nabii Issa mpaka mnakufa.
 
Haya tunataka ayaseme Yesu si nyinyi, wapi Yesu alisema yeye ni Mungu na akasema mungu ni nafsi tatu ?

Kingine uwana wa Yesu kwa Mungu ni wa kinasaba au wa kinini ? Kama ni wakanisaba hii ni KUFURU kwa Mola, ndiyo maana huwa sipendi kutumia maandiko yenu yanakufuru kubwa sana.

Mimi bila maandiko hakuna cha kunithibitishia. Nasubir maandiko yenu yajibu hoja zangu.
 
Unapoteza nguvu buree jamaa anakaza ubongo ko hawezi kuelewa hataa iwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bibie nimesoma mambo magumu kuliko haya, shida yenu hamyafafanui maandiko yenu mnatoa maelezo ambayo Yesu mwenyewe hakuyatoa. Kingine tutakuka kujadili baadae hili jina la Yesu ni kwamba ndiyo alilipewa na pale alipozaliwa au kinyume chake ?
 
Huyo Mussa mwenyewe alitabiri kufa kwa YESU na kufufuka kwake yaani wewe mbona unaelewa ila unajikazaa

Yaani unataka kuonekana ushindwii na kumbe umeumbuka pole sana
Alitabiri wapi bibie ? Niwekee andiko tusome tupate faida wote.
 
Kabla ya kusema ibrahim alikua dini gani naomba niambie
Ukristo umeanza mwaka gani
Uislamu umeanza mwaka gani

Ila tambua kwamba Ibrahim aliishi kabla ya Ukristo wala Uislamu haujaingia duniani
Hakuna nabii wala mtume ambaye hakuwa Muislamu. Hili weka akilini, wametofautiana sheria tu ila imani zao wote walikuwa Waislamu.

Ukristo amekuja nao Paulo, kabla ya hapo hapakuwa na Ukristo. Sasa mtasema nyinyi ambao mnamuita Paulo kuwa mtume, alianzisha lini Ukristo.

Uislamu unegawanyika sehemu mbili, uislamu wa ujumla huu mitume na manabii wote walikuwa nao na Uislamu ambao amekuja nao mtume huu unaitwa Uislamu maalumu kwa maana ya sheria ya Muhammad si sheria ya Musa wala si sheria ya Issa.

Si kweli Ibrahiim alikuwa muislamu na wala hakuwa Myahudi, sababu Uyahudi umekuja baada ya Musa.
 
Hapa kazi yangu nimemaliza, naona unalakamika sasa na hoja huna.
 
Weka andiko lote acha kuweka nusu nusu

Huna hata aibu hebu soma vizuri unafikiri hapa upo kwenye muhadhara mnapodanganyaga watu
Mwenzako alisema nimuwekee mpaka 21 wewe unataka niweke lote. Ili kuepuka usumbufu nisaidie wewe kumalizia hapo nilipoishia halafu utoe sababu au uonyeshe ulazima wa kutaka wewe liwekwe andiko lote, kwamba je limebadilisha nilichokiweka hapo awali.

Acheni kuruka kuruka, mnatakiwa haya maandiko myachambue kielimu siyo mnaruka ruka huku na kule kisha hamtoi ufafanuzi wa kielimu. Nawaonea huruma sana.
 
Sio ushirikina hizo ni nguvu za ROHO MTAKATIFU HUWEZI KUISOMA BIBLIA KIRAHISI HIVYO LAZIMA UPIGWE UPOFU
Humu ndimo wajanja wanapiga hela na nyinyi mnakubali. Kusema tu Yesu ni mungu na mnamuabudu huu ni USHIRIKINA sababu mnamuabudu mja na si Mungu.
UNAFIKIRI BIBLIA NI KAMA KITABU CHENU KINACHOTUMIKA KUUA WATU NA KUWAPA MAJINI WATU
Sasa kama ni kitabu special kwanini kina uchafu mwingi na uongo mwingi ? Kwanini kuna vitabu 66 nyingine zina vitabu 73 ?

Mimi nakupa kazi uthibitishe ya kuwa Qur'aan inatumika kuua watu na kuwapa majini watu ? Shida yenu Wakristo hamsomi mkisikia mambo mitaani mnayachukua pasi na kufanya utafiti, sasa sisi wenzenu hatuko hivyo,sisi tunasoma tunafanya utafiti.
Kwani hii Biblia imeandikwa na nani kwa mara ya kwanza ? Wanafunzi wa Yesu au ?

Utukufu wa Biblia uko wapi ? Hali ya kuwa hakuna Taurati halisi bali kuna kumbukumbu la Taurati ? Hakuna Injili ya Yesu bali kuna Injili ya Marko hakumuona Yesu, Injili ya Yohana kadhalika hakumuona Yesu, Injili ya Marko kadhalika hakumuona Yesu na Injili ya Matayo naye vivyo vivyo utukufu wa Biblia unatoka wapi ?
 
Nasubiri utoe maelezo juu ya Biblia yenu, nimeweka tu maandiko machache mnayakimbia hamyatolei ufafanuzi.

Nimekuja kuona nyinyi nyote hiyo Biblia yenu hamuisomi, ndiyo maana mnakimbia kutolea ufafanuzi maandiko yenu.

Ni mjinga pekee anaye ilinganisha Qur'aan na vitabu vingine hakuna kitabu kitabu kuzidi Qur'aan, kitabu ambacho hata asiyejua Kiarabu anakihifadhi moyoni chota kuanzia watoto mpaka wazee, vipofu wamekihifadhi, leo hii hata vitabu vyote vya Qur'aan vichomwe bado inabaki, ila ajabu unayesema Biblia ni tamu hakuna hata mtu mmoja duniani amekihifadhi chote kichwani na moyon.

Hayo mengine si maneno ya kielimu ni upotoshaji na unafurahisha nafsi yako.

Sasa hivi nakuwa nawawekea maandiko yenu tu mpambane nayo, naona ni weupe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…