Nilitaka kumuoa binti wa Dini tofauti na yangu vita kubwa ikaibuka. Kuna kitu gani kati ya hizi dini mbili?

Uliona jamaa anasema Muhammad hajui kitu kilicho andikwa
...Muhammad knows nothing but what I have written for him.
Sahih bukhari 3617
Hii kauli haimaanishi ya kuwa alikuwa anandika kinyume na yale aliyo kuwa anaambiwa na Mtume mpaka uonyeshe wapi au kipi alikiandika amnacho ni kinyume na yale aliyoyasema mtume.

Kijana una upeo mdogo sana wa kung'amua mambo.
 
Nimefanya hivy sababu mwanzo wake haubadilishi hitimisho lake, na hapo si katika hitimisho kadhalika.

Kwaiyo hilo andiko ndiyo limehitimisha hapo

Hivi kweli maandiko ya kiswahili kabisaa yamekushinda kusoma kwa ufasaha


Wewe si ni bingwa wa kiswahili unawasahihisha watu wakichapia humu

Sasa kweli hilo andiko umeshindwa kulitendea haki

Kwani umebobea kwenye nini haswa ???
Au umebobea hapo kumkazania issa kuwa ni YESU ebooh wewe jamaa usiumize akili Sanaa tulizana baki na huyo Issa wako mnaesema ni copy ya yesu wenu ila sisi Tuna YESU wetu ambae ni MUNGU wetu baki na issa wako
 

Kwani mwana wa Adam maana akee nini kwa uelewa wako??
 

YESU ALIKUWEPO KABLA YA MSINGI WA ULIMWENGU NA NDO MAANA UKISOMA MWANZO 1:26
Hebu soma ya English huenda Kiswahili huelewi

“Then God said, “Let us make mankind in our image, in our likeness, so that they may rule over the fish in the sea and the birds in the sky, over the livestock and all the wild animals, and over all the creatures that move along the ground.””
‭‭Genesis‬ ‭1:26‬ ‭

Sasa MUNGU alikuwa anaongea na nani hapo

YESU NI MUNGU NA AIKUWEPO TANGU MWANZO NA YEYE NI NENO NA KUPITIA YEYE VITU VILIFANYIKA NA NDIO MAANA TUKILITAJA JINA LA YESU MIUJIZA INATOKE

YESU ALIKUWEPO TOKA MWANZONI TATIZO LAKO UNATAKA ET JINA YESU LIWE LIMEANDIKWA KILA UKURASA WA BIBLIA BASI NIKWAMBIE JINA LILOTUMIWA KABLA YA KUZALIWA KWAKE ALIKUWA AKIJULIKANA KAMA (NENO) SEHEMU YOYOTE UNAPOONA LIMETAJWA JINA NENO KWA HERUFU KUBWA NDANI YA BIBLIA UJUE NI YESU

ANDIKO LINGINE HILI SINA BIBLIA YA KISWAHILI KWA SIMU KWAIYO UTAWEZA KUICHEKI MWENYEWE
YOHANA 1:1-5

“In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God. He was with God in the beginning. Through him all things were made; without him nothing was made that has been made. In him was life, and that life was the light of all mankind. The light shines in the darkness, and the darkness has not overcome it.”
‭‭John‬ ‭1:1-5‬ ‭NIV‬‬


AISEE NIMECHOKA KUKUELEZEA MAANA HUELEWI
SASA SIKULAZIMISHI UELEWE MAANA HAIBADILI KITU UELEWE USIELEWE YESU ANABAKI KUWA MUNGU
 
kisai hebu twambie mtume muhammad alikufaje vipi? Natural death? Alipewa sumu?
 

Yani wewe na yule mwenzio hamna utofautii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu haya mambo nyie waislamu hamuwezi elewa hata tufanye nini ko endeleeni kukaza ubongo tyuu tujue hamuelewi


Tunaposema nafsi 3 haimaanishi kuna miungu wa 3[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani ni MUNGU mmoja ila amejigawa mara 3, kwa mfano mtii ukizaa kimti kingine pale pale kwenye mti kunakua na miti mingap? Ni miti miwili ndani ya mti mmoja ndo maana ya hizo nafsi 3

MUNGU ni mmoja ambaye ameumba vitu vyote duniani ambaye ndio MUNGU baba lakin akagawa majukumu yake kwa utatu maana akee kuna Yeye MUNGU baba ambae ametuumba alafu MUNGU MWANA ndio YESU, Yeye Ametukomboa kwa kufa na kufufuka kwakwe alafu nafsi ya mwisho ni MUNGU ROHO MTAKATIFU huyu nae ana kazi yake sasa sijui hao Mungu zaidi ya mmoja wanatoka wapi[emoji2356][emoji2356] acheni kutaka kubishanaa em jaribuni kujifunza kama kweli mnataka kuelewa
 
Alitabiri wapi bibie ? Niwekee andiko tusome tupate faida wote.

Unasoma BIBLIA KAMA GAZETI SASA HATA NIKIKULETEA ANDIKO UTALIELEWA KWELI SI UTASEMA NATAKA NIONE MUSSA KAMTAJA JINA YESU [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndugu pumzika tu haya mambo tuachie wenye dini yetu we pambana na Issa bin mariam sisi tuachie YESU wetu
 

Hivi unajua hata maana ya neno UKRISTO au pia huelewii umeng’ang’ana sijui dini imekuja sijui lini

Hebu nipe basi maana ya UKRISTO
 

Lala upumzike kubishana [emoji23][emoji23]
 

Mbona kama unachokiandika wewe mwenyewe hukielewi

Rudi kwa kungwii wa dini bado huna maswali ya maana
 

Najivunia kuwa MkRisto maana sijui kwa hayo majini yalivyowatawala tena mnayasujudiaa ningekuwa nimekimbiaa zamani
 
Kujadiliana na jinsia ya kike jambo zito sana kwangu.

Kama nimeishia hapo wewe unatakiwa uendelee hapo nilipoishis kisha utoe hitimisho sasa, mara ya kwanza nilikoea kwenye 15 mwenzako akasema niende mpaka 21 wewe unasa niendelee zaidi sasa ili kuepusha hili, wewe nisaidie mimi kisha ukosoe hitimisho. Jambo rahisi sana hili.
 
Nataka twende kwa mtindo huu, usulubu wa kutumia wingi katika kujielezea Mola ni wa kawaida sana kwake namna hii inaitwa "Kujifadhilisha/kujitukuza/kujitanabahisha" hapo haonyeshi ya kuwa yupo na mwenzako hasa ukitilia mkazo maandiko mengine katika vitabu vingine yanao onyesha kupwekeka kwa Mola muumba.

Lakini vile vile mwanadamu ndiyo kiumbe cha mwisho kuumbwa.
Sasa MUNGU alikuwa anaongea na nani hapo
Mola alikuwa peke yake hapo, wala hakuwa na mwenzake.
Usitumie maneno makavu makavu tu weka ushahidi, usilete maandiko tata na yasiyo lenga maana mnayoikusudia nyinyi huku mkiyaacha maandiko yaliyo wazi yenye kuonyesha uongo wenu. Sasa sijui mnatumia nini kufikiri ?
Andiko liko wazi neno si kiumbe neno ni tamko ambao liko kwa mtu na mtu ana tamka. Allah anaumba viumbe kwa kisema kuwa na vina kuwa, huyu ni Mola pekee. Sasa nataka unionyeshe hapo Yesu anaingia wapi ?

Ujinga wenu huwa mnawasema Waislamu wanakaririshwa maandiko, hivi unachokiandika hapa mwenye akili timamu za kufikiri na kuhoji hawezi kukubali huu ujinga, yaani maneno yako wazi mnayapindisha kwa kuleta maana zenu za kufuru.
AISEE NIMECHOKA KUKUELEZEA MAANA HUELEWI
SASA SIKULAZIMISHI UELEWE MAANA HAIBADILI KITU UELEWE USIELEWE YESU ANABAKI KUWA MUNGU
Hapa natamani atokee mtu miongoni mwenu afafanue maandiko yenu na ajibu maswali yangu, nyinyi nyote mnaruka ruka tu, yaani hamyahakiki maandiko kisomi.
 
Huu ndiyo ujinga ambao mnajazwa, sasa Biblia ina umaalumu gani mpaka ulitofautishe na Gazeti ? Kuna habari nyingine kwenye gazeti ukizisoma lazima utafakari.

Nipo...
 
Hivi unajua hata maana ya neno UKRISTO au pia huelewii umeng’ang’ana sijui dini imekuja sijui lini

Hebu nipe basi maana ya UKRISTO
Tofauti yangu na nyinyi ni kuwa mimi naanzia kwenye asili nyinyi mnashika matawi. Ili ujue namaanisha nini tamko "KRISTO" ni la asili ya lugha gani ?
 
Lala upumzike kubishana [emoji23][emoji23]
Wengi ambao huwa wanashindwa hoja humu ndani, huwa wananituhumu kuwa mimi ni MBISHI lakini uko upo dhidi yenu. Shida mnayakimbia maandiko yenu. Someni, huwa nasema hivi laiti Wakristo mngekuwa mna hoji na kuyahakiki maandiko yenu asinge salia hata Mkristo mmoja.
 
Mbona kama unachokiandika wewe mwenyewe hukielewi

Rudi kwa kungwii wa dini bado huna maswali ya maana
Sasa si ndiyo ukosoe nilicho kiandika ambacho mimi mwenyewe sikielewi ? Msitumie nguvu nyingi.
 
Najivunia kuwa MkRisto maana sijui kwa hayo majini yalivyowatawala tena mnayasujudiaa ningekuwa nimekimbiaa zamani
Hapa hakuna hona tena, yaani unajivunia upotevu na ujinga ? Ila siyo mbaya. Turudi kwenye hoja ya msingi.
 
Kwani mwana wa Adam maana akee nini kwa uelewa wako??
Siyo kwa uelewa wa fulani, yaani kwa uhalisia wa mambo kwa mtu yeyote mwenye akilo timamu anajua mwanadamu ni mtu mwanada yaani mwana wa Adamu, kwa maana mwenye chimbuko la Adamu.
 
kisai hebu twambie mtume muhammad alikufaje vipi? Natural death? Alipewa sumu?
Mtume alikufa, aliumwa akafa.

Natural Death ndiyo nini ?

Hakupewa sumu, bali alikuwa nyama ambayo ilikuwa na sumu. Hoja yako iko wapi ?

Navyojua mimi kifo ni muda tu, na hizi nyingine huwa sababu.

Sasa hoja yako ni ipi ? Kwamba mitume hawadhuriwi au ? Manabii wangapi wame uliwa na Wayahudi ? Sababu za Mayahudi kulaaniwa miongoni mwa sababu nyingi walikuwa wakiwaua manabii wa Allah.

Yesu ambaye nyinyi mnamuita Mungu, huwa napata ukakasi sana nikitumia hili tamko, sababu mnamdhalilisha nabii na mja wa Allah na kumdhihaki Allah, alipitia shuruba kiasi gani ?

Sasa nasubiri kuona hoja yako ilipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…