Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Hao wafu waache wazikane, usiongee nao wala kuwashauri hata harufu hao ni laana.
Ila Yesu alikufa kwa ajili ya laana za watu
Kama Yesu ana upendo.hivyo we kwanini usimpe ushauri binaadam mwenzio?
 
Kanuni ni ile ile, kama ulivyomkubalia baba, mkubalie na mtoto.
 
Wametest mitambo? Atakuwa na sura mbili
  1. Huyo ni mwanaye
  2. Huyo ni mume mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…