Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Jamii Forum bana inaonekana ni mtandao wa wambea wambea yani kila mtu akileta thread basi ujue kaambiwa na mtu uo kama sio umbea ni nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ifike hatua watu muwe wawazi sema tu ni wewe ndio umeliwa na Baba mkwe yaishe
 
Kwa mtazamo wa ustaarabu haipendezi. Binti atafute bwana mwingine.
Tatizo wanachagua sana wanataka wenye mapesa mbona sisi tunawaoa nyie bila kipengele cha pesa. Waoaji tupo.
 
Kiuhalisia hii habari siyo halisi kwa vigezo vifuatavyo:

Kutembea na huyo mzee na kisha kuchumbiwa na kijana bila kujua siyo kosa.

Binti kwenda kutambulishwa kwa wazazi na kukuta hawara yake ndiye mkwe, jambo hilo na uchumba huo ungeliishia hapo hapo na thread hii ingeliletwa kwa kichwa cha habari kingine na si hiki.

Lakini binti kukomaa kuendeleza uchumba huo na kutafuta ushauri toka kwa hadhira, ndiyo inathibitisha kuwa jambo hilo ni la kufikirika, halipo ni chai ya strungi yenye tangawizi nyingi kabisa.
 
Baba mkwe(father-in-law) na hujaolewa bado!!! Haya maneno mkwe, shemeji, wifi, mchumba yanatumika kiholela holela tu, hata barua hujatolewa keshakua baba mkwe!!
Hiyo nadhani inatumika kudistinguish maneno ili msomaji aielewe taarifa kwa usahihi.

Kama ni hivyo, habari hii yote haiwezi kusimuliwa kutokana na wahusika wote kukosa sifa za viwakilishi.

Mfano: mchumba-siyo mchumba kwa sababu bado hawajafika nyumbani na kutambulishana na kisha kutolewa kishika uchumba.

Mkwe-kama ulivyoeleza, hawezi kuwa mkwe kabla ya maharusi kufunga ndoa na kuoana.

Hapo neno 'hawara' ndiyo sahihi kwa kutumiwa, je linaweza kutumikaje bila kupandisha sifa za wahusika ili kuleta maana!?
 
ajari kazini!
 
Bado hujamshauri binti
Ili kuepusha laana kwa familia yote kiujumla, atafute mwanaume mwengine wa kumuoa. Makosa siku zote yana gharama na hiyo ndo gharama ya makosa yake.

Ingelikuwa baba mtu ameshafariki na siri ya kutembea nae imebakia kwake yeye tu then ningemshauri atubu kwa mola wake toba ya kweli na aendelee na mipango ya harusi akiwa ameazimia kutoshare na mtu yoyote hiyo siri.
 
Jamii Forum bana inaonekana ni mtandao wa wambea wambea yani kila mtu akileta thread basi ujue kaambiwa na mtu uo kama sio umbea ni nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ifike hatua watu muwe wawazi sema tu ni wewe ndio umeliwa na Baba mkwe yaishe
We endelea kufosi, si ndio mwaka wako wa kufosi? Me sijibugi watu wajinga
Usisahau ku susbcribe kwa youtube channel yangu
 
Kwa mtazamo wa ustaarabu haipendezi. Binti atafute bwana mwingine.
Tatizo wanachagua sana wanataka wenye mapesa mbona sisi tunawaoa nyie bila kipengele cha pesa. Waoaji tupo.
We si uwe na pesa aje kwako basi?
 
Mbona wako kibao mtaani wewe
Unaishi kwenyw chungu au?
 
Sauwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…