Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Ni kweli ila kwa survey niliyo ifanya wanawake wa siku hizi wana fake hata mavazi, hakuna staha kabisa kitabia.

Unakuta ni mtu unayedhani anaeleweka kutokana na mavazi yake kumbe ni kicheche tu, tena washenzi wanaojifanyaga wanastaha ndo wanaliwa kinoma
 
Hakuna Mwanaume asietoa hela tunachozungumzia mazingira ya uombwaji hela haiwezekani umechukua namba Leo hata haijapita masaa mengi Manzi anakutangazia shida zake
Uko sahihi mwanamke mwenye akili anajua mwanaume wake ni provider atatoa tu, ila sio kuwa na tamaa ya hela kama chokoraa ambaye kanashinda njaa
 
Yaani mkuu, sikuhizi ukiona mwanamke kapiga picha isiyo ya kumbukumbu mfano katoka na marafiki, kamaliza mtihani au mkutano fulani, kumbukumbu za kibiashara n.k basi huyo kapiga picha ili mwili uonekane, haijalishi kavaa nini.

Picha kwa malengo ya kumbukumbu zinajulikana na picha za kumarket mwili utazijua tu hata akiwa kavaa baibui.
 
You can't play fair in a rough game
 
Huyo demu ni wale wanokwenda kwenda kudhalilishwa na kuna mmoja alisha wahi kuja kulia humu kuwa mzungu kamwacha hana kitu. Anapitia depression mbaya sana
 
Na mwanamke akiona ni mtoaji mzuri ndio vizinga vinazidi ni wanaume wajingawajinga ndio huwa wanatoa hela ovyo ovyo
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu yaani wewe hela ukimpa kirahisi rahisi.Akili yake inamwambia hili dubwana ulikosea kuliomba 5k mpandie dau mbamize 20k ukimpa hiyo.baada ya wiki mbili anakupimia kwenye 100k.

Wahongaji konki wanajua hili na siku akikuchoka.Maneno ya shombo yako palepale😅😅😅.Hapo ndo mabwege madomo zege huwa yanatamani kujinyonga maana alichokuwa anaamini kuwa pesa yake ndo itamtuliza mwanamke anaishia kutumiwa na kuachwa kwenye mataa.
 
Alafu kuna jitu kama li min -me linaona fahari kupigwa vizinga, yaani anachekesha sana
 
Kwahiyo wewe unatufanya sisi wajinga?

Haya mlitaka kuonana mpige story?

Toa pesa bhana acha kutia tia huruma..!! 😹
Kwa akili zako ndogo unawaza kuwa kupigwa mashine mpaka ulipwe?

Unafikiri mtu mwenye akili anawazia upuuzi wa namna hii? Ni wanawake wa goba na mbagala, na wale vidampa wa mjini tu wenye mindset za kimaskini kama zako.

Na ndo maana hampati wa kuwaoa mnaishia kuchapwa na kuachwa vijisenti mnaishia kuweka kwenye vikoba na kununua vijora.

Pesa nitatoa kwa mwanamke mwenye akili sio mlafi wa hela ndogo ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…