Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Hapo akiwa mtoaji ila kama mkono birika🤣🤣🤣hatuwezi ata kulianzisha hilo topic
Sifikiri eti Kuna mwanaume hatoi kabisa hela kwa mwanamke anachozungumzia mtoa mada mazingira ya uombwaji hela ndio maana akatolea mfano umechukua namba kwa manzi hata masaa hayajapita anaanza kukuomba hela na Kuna mwingine unamkuta yupo online halafu anakuambia Sina bando nitumie tuchat kumbuka hujaweka agenda yoyote kwake ya kuomba mzigo mfano wewe ndio ungekuwa ni mwanaume ungetoa hela yako kumpa huyo manzi?
 
Hapo.hamna tatizo maana binti anakuwa real na straight forward nyie ndo mnapenda kona kona nyingiii
 
Inaitwa Kaa kijanja😁
 
yeye analipa Kodi Kuna mwana anaichapa bure kwenye chumba hicho hicho anachomgharamikia yeye, mwana ndio anakijua chumba vizuri kuliko mlipaji Kodi 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…