Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

πŸ€£πŸ˜‚Na Kuna wanaume wanajuaga kuangalia aiseeee .,..Yani atakuangalia flani hivi Kwa mahaba Sana mpaka utaloose confidence
 
Awaache wake zake wote wawili na michepuko then ndio anioe
Ni mtu mbili tu mimi na yeye
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ninaweza kufanya hivyo ila je unaweza kutimiza watimizayo hao wake zangu wawili!??
Maana kila mmoja ameolewa kwa sababuyee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ninaweza kufanya hivyo ila je unaweza kutimiza watimizayo hao wake zangu wawili!??
Maana kila mmoja ameolewa kwa sababuyee.
Hujui kuridhika
 
Me mama yangu Yuko tofautiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚alikuaga ananihurumia Sana Yani tunaumia wote
 
Najua kuridhika japo asilimia kubwa ya wanaume hawaridhiki na futa moja la kushenyenta.
Ila zingatia kauli nilosema "kila mmoja kaolewa kwa sababu yake".
Kama unaweza kuzibeba sababu zote wewe peke yako tawiree.
Baki na wake zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…