πππ
Nikiwa mkubwa mkubwa, kuna siku nikawa mood off, yaani ile totally shut down, of course nilikuwa nimekosana na babe wangu nilikuwa nampenda kuliko hela, huwa sitakagi kuongea na mtu,
My Mom akanipigia simu sikupokea, baadaye tena akanirudia nikamuambia siko sawa, hata hakutaka kujua chanzo ni nini, aiseeeh' alinisimanga balaa, eti 'najua tu huo ni upumbavu wa wanaume', akanigombeza kisha akanikatia simu, ndiyo nikalia vizuri kwa mayowe kabisa, sasa unaanza kunigombeza badala unisikilize kwanza..!!?
Africans Mom hapana..!!πππ