Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Mlipo kutana na Dr H mlirudiana?. Baada ya kujua kama ilikuwa umbeya wa mwanaume wa mtaani?.
Hapana hatukurudiana Tena had now Kila mtu anamaisha yake sijui hata anaishi wapi ila ameshaoa nilipewa taarifa na dadayake
 
Ok pole sana maisha yana mapito mengi sana. Nilicho jifunza maishani mpenzi wa utotoni,shuleni hatokuwa mwenza wa maishani.
 
Ni kweli kabisa Huwa ni kupunguzia maji mwilini Kwa vilio hamna chochote
Kuna wakat najionaga mjinga kweli πŸ˜€πŸ˜€
 
Pole sister maswali yangu ya logarithms hadi leo bado tu
 
Sasa log tu zinakushinda, tukikupa calculus utaweza kweli? Au complex numbers and imaginary numbers, hiyo ni pure mathematics ya advance.
Sasa zitanisaidiiaje wakat wa kusonga ugali hizo imaginatory sijui nn numbers jamn πŸ˜„
 
Sababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yote
Mie vidudu namkumbuka mtu mmoja tu, nilimpenda yule mtoto kwa siku ya kwanza naanza pale Mabatini chekechea Ilala Shauri Moyo. Nakumbuka kabisa alivaa gauni jeupe kama la harusi kudadeki zake.
 
Hahaha ikaishiaje!
 
Chekechea mkuu πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…