Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Noma sana!
 
kumbe ni tamthilia/soap opera
 
story yako inanipa huzuni sana, hasa pale ulipokuwa ukimlilia kwa simu na yeye akawa mkatili zaidi ya pilato
 
Unafeli wapi ndugu? 🀣🀣🀣
Unakuwa kama sio Nzaghamba ya Migato?
Nataka nikuopandishe vyeo ujue
Hahahaha!!Unaijua hiyo Guest ya NZAGAMBA YA MIGATO?πŸ˜…

Nipandishe hivyo vyeo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…