Huo Yuanjia
Senior Member
- Feb 18, 2023
- 116
- 943
Pole ila zingatia huu ushauriHili kabila bhana๐๐๐๐juzi niko kwenye bus kwenda sehemu fulani,nimekaa na msukuma seat moja ghafla wakaanza kuongea kilugha na msukuma mwenzie aliyeseat ya 50 ๐ณ๐ณ๐ณwakati huo tuko seat 20 huko aise Nilitamani nimzabue makonzi phaller yule maana alishanikwaza na mziki wake tangu tunaanza safari๐.
Hili kabila inabidi liwe kundi maalum shenzi kabisa
Lete maneno binti yangu
๐๐๐Pole ila zingatia huu ushauri View attachment 3082520
Shusha vitu! Nasubiri kimasikharaโบ๏ธWiki inayofuata nikaenda shule kama kawaida tulikuwa na ratiba baada ya vipindi vya asubhi na Ilikuwa ni wiki ya kufunga ni Michezo jioni tunashindana baina ya madarasa hivo ni eneo la wazi watu wa maeneo ya karibu wanakuja kuangalia mpira
Nilikuwa mshangiliaji mzuri Sana Sina hili Wala lile naona wenzangu wamenikazia macho sana nikaona sio kesi nikaendelea zangu kushangalia rafikiyangu akanifata akanambia angalia kule juu
Aisee nilishtuka H huyu hapa kapendeza hata ukae Kona ipi unaona kijana wa watu alivosmart kiroho kikaanza kudunda
Wakati nashangaa shangaa nikaletewa ujumbe kwenye kikaratasi
"Nataka kuongea na wewe kipenzi"
Nikasoma.nikatabasamu hakuondka Hadi mpira ulivoisha kengele ikagongwa tukaruhusiwa Nikapewa ujumbe nasubiriwa njia fulani na H nipite huko sababu kwetu hakukuwa mbali na shule hizo hiyo njia ni mzunguko kama.dakika 25 had kufika kwetu
Nikapita ile njia kama nikivoelekezwa nikamkuta H kasimama ananisubiri akanipa mkono kunisalimia nami nikapokea ndo Ilikuwa siku ya kwanza tunapeana mkono kma hivo tukaanza story huku tunaelekea nyumbani ilikuja story za kawaida za shule nilipokaribia home akaniacha akaondoka akasema atakuja siku inayofuata
Siku ya pili akaja Tena ikawa hivo nakumbuka Ilikuwa ijumaa siku ambayo siis tulifunga shule nae alikuja akawa amekaa kule njiani ananisubiri aisee nikagundua Kwa yule Kaka sichomoi Yani akiniangilia ni kama naishiwa pozi
Siku alijipanga naona nilikuwa nimechelewa kutoka
Alivoniona akanihug mm Kwa aibu aibu nikakubali lakini ni kama network zilikata
Nilikiwa akanishika mkono akaanza maneno yake Yale ya kwenye barua nikawa nimesimama nimejinamia muda wote namuangalia Kwa kuibia๐๐๐
Akanambia vipi mbona uko hivo nikamjibu amna kitu nilikuwa kimya mda wote akasema nataka kuongea na wewe Leo Hadi jion nikamwambia sawa hakuna tabu hatukuwa na sehemu ya kwenda wakat ule tukatafuta sehemu tukakaa muda huo mm mgeni wa kilakitu kwenye mahusiano naona aibu tu siwez hata nilichokuwa nashangaa spidi ya damu kutembea mwilini imeongezeka confidence Iko low akiningalia ni kama natamani kukimbia lakn siwez ๐๐๐
Aiseee hebu watake radhi Wasukuma ๐๐๐๐Hili kabila bhana๐๐๐๐juzi niko kwenye bus kwenda sehemu fulani,nimekaa na msukuma seat moja ghafla wakaanza kuongea kilugha na msukuma mwenzie aliyeseat ya 50 ๐ณ๐ณ๐ณwakati huo tuko seat 20 huko aise Nilitamani nimzabue makonzi phaller yule maana alishanikwaza na mziki wake tangu tunaanza safari๐.
Hili kabila inabidi liwe kundi maalum shenzi kabisa
Ikiendelea nitag Ms AaliyyahWiki inayofuata nikaenda shule kama kawaida tulikuwa na ratiba baada ya vipindi vya asubhi na Ilikuwa ni wiki ya kufunga ni Michezo jioni tunashindana baina ya madarasa hivo ni eneo la wazi watu wa maeneo ya karibu wanakuja kuangalia mpira
Nilikuwa mshangiliaji mzuri Sana Sina hili Wala lile naona wenzangu wamenikazia macho sana nikaona sio kesi nikaendelea zangu kushangalia rafikiyangu akanifata akanambia angalia kule juu
Aisee nilishtuka H huyu hapa kapendeza hata ukae Kona ipi unaona kijana wa watu alivosmart kiroho kikaanza kudunda
Wakati nashangaa shangaa nikaletewa ujumbe kwenye kikaratasi
"Nataka kuongea na wewe kipenzi"
Nikasoma.nikatabasamu hakuondka Hadi mpira ulivoisha kengele ikagongwa tukaruhusiwa Nikapewa ujumbe nasubiriwa njia fulani na H nipite huko sababu kwetu hakukuwa mbali na shule hizo hiyo njia ni mzunguko kama.dakika 25 had kufika kwetu
Nikapita ile njia kama nikivoelekezwa nikamkuta H kasimama ananisubiri akanipa mkono kunisalimia nami nikapokea ndo Ilikuwa siku ya kwanza tunapeana mkono kma hivo tukaanza story huku tunaelekea nyumbani ilikuja story za kawaida za shule nilipokaribia home akaniacha akaondoka akasema atakuja siku inayofuata
Siku ya pili akaja Tena ikawa hivo nakumbuka Ilikuwa ijumaa siku ambayo siis tulifunga shule nae alikuja akawa amekaa kule njiani ananisubiri aisee nikagundua Kwa yule Kaka sichomoi Yani akiniangilia ni kama naishiwa pozi
Siku alijipanga naona nilikuwa nimechelewa kutoka
Alivoniona akanihug mm Kwa aibu aibu nikakubali lakini ni kama network zilikata
Nilikiwa akanishika mkono akaanza maneno yake Yale ya kwenye barua nikawa nimesimama nimejinamia muda wote namuangalia Kwa kuibia๐๐๐
Akanambia vipi mbona uko hivo nikamjibu amna kitu nilikuwa kimya mda wote akasema nataka kuongea na wewe Leo Hadi jion nikamwambia sawa hakuna tabu hatukuwa na sehemu ya kwenda wakat ule tukatafuta sehemu tukakaa muda huo mm mgeni wa kilakitu kwenye mahusiano naona aibu tu siwez hata nilichokuwa nashangaa spidi ya damu kutembea mwilini imeongezeka confidence Iko low akiningalia ni kama natamani kukimbia lakn siwez ๐๐๐
Guarantee?? Tubeti hapa Mimi nakataa, naweka shamba la ukoo . Wewe muweke min ake ๐Shusha vitu! Nasubiri kimasikharaโบ๏ธ
Mmmh nimuweke ili umchukue๐Guarantee?? Tubeti hapa Mimi nakataa, naweka shamba la ukoo . Wewe muweke min ake ๐
Inategemea.. kuna adventures zake bhana try it..Sijawahi had umri huu na sitowahi kamwe
Nilisafiri toka Dodoma kuelekea Kanda ya ziwa nikapanda bus moja limejaa hao jamaa, aiseeee ni wanakula ndani ya bus sijawahi onaHili kabila bhana๐๐๐๐juzi niko kwenye bus kwenda sehemu fulani,nimekaa na msukuma seat moja ghafla wakaanza kuongea kilugha na msukuma mwenzie aliyeseat ya 50 ๐ณ๐ณ๐ณwakati huo tuko seat 20 huko aise Nilitamani nimzabue makonzi phaller yule maana alishanikwaza na mziki wake tangu tunaanza safari๐.