Akampigia
Irene akamsalimia akanipa simu
H;mambo
Mimi;poa Ile kinyonge
H;unasemaje
Mimi;nataka kukuelezea ilivokuwa
H; sitaki kusikia umeniumiza sana umevunja uamninifu kama unamtu si ungenambia kwanini unidanganye mim na wewe ndio basi na kesho naondoka siwez kukaa hapa na maumivu kiasi hiki na hutaniona Tena
Niliangua kilio kama nimefiwa nikawachukia watu sana hakusinisikiliza akakata na simu
Nilijiuliza hiyo story zilimfikiaje sikukaa pale hata dakika 10 nikajita kwenda pale nikajuta kuongea na yule kaka nilimchukia kupita kiasi
H akaondoka kweli hakutaka kuniona nikatuma barua hazikujibiwa nilihangaika sana Sasa kilichonitesa ni hisia zile moment zilinichanganya kuachwa ghafla kukanitesa kila nikipata memory kuhus H nahis naishiwa nguvu napata hali flan isiyo ya kawaida kwenye mwili Ni kama napigwa shot 😭😭😭Kila ikifika usiku naamka nakaa kitandani naanza kulia😂😂😂
Siku moja mamaang akanikuta nimeangua kilio balaa akasonya akaondoka
Kutoka wakat huo nikajua hisia zinatesa kuliko hata hayo mapenzi yenyew Ile hali ya kushindwa kujitetea na kutosikilizwa ilinitesa sana nilikuwa natamni aje nimwambie ila namuonea wapi nae hakutaka kabisa kurudi alivofanya mtihani akaenda Kwa nduguzake wengine Irene akasema nimuache tu Aishi maishayake