Usiku ule sikulala vizuri Yani niliwaza sana mabadiliko Yale sio ya kawaida nilipoamka kilamda naangalia Kwa kina Irene labda nitamuona H sikumuona nikaenda kuulizia wakasema hajaja jioni yake kulikuwa na sherehw nyumba ya jirani kama saa mbili hivi nikamuomba mama nikaangalie akasema sawa
Akiliyangu nawaza huenda H atakuja sikuile nikaangalia sikumuona akaja kaka mmoja wa pale mtaani alikuwa ananiaproach wakat huo
Akanisemesha nikamjibu alisimama na mm pale kama dakika 10 hivi nikaondoka kurudi nyumbani
Huku roho inaniuma sijamuona H
Asubuhi siku ilofuata nikaenda.kwa rafiki yangu nikamsimulia H alivokuja akasema alimpigia pia H ananipenda Sana,nikafurahi kusikia hivo 😂 nikajipa moyo Atakuja sikuile nikaazima.simu nikambeep akapiga akasema atakuja nikafurahi akanambia anikute wapi
Nikawahi sana maana sikuwa na simu mara akafika tukakaa ila ni kama hakuwa sawa
Ilikuwa ni sehemu ya wazi hivo hakiweza kunikumbatia hakuwa na story kabisa kama nilivozoea
Mimi;mbona kama unaumwa
H;nikopoa
Mimi;sawa
H;unajua kama nakupenda sana wewe
Mimi;najua
H;umefanya Nini Jana
Nikasema uwiii wambea wa Kijiji washafanya Yao 😭
Mimi;hakuna kitu Kuna Nini
H;kunamtu ulikuwa nae Jana ni mwanaume wako?chozi likamtoka
Mimi;nikasema hapana
. Nikakumbuka yule kaka alikuja simama na mm pale kwenye sherehe na sikukaa nikarudia kulala
H;akasema kaambiwa yote Jana nilitoka na yule mtu nikaenda kulala nae nikarud nyumbani saa 4 usiku 😭😭😭
Aiseeilikuwa kama kisu kinapita kwenye moyo na sikuwaga na ujasiri wa kujitetea Kila nikitaka kusema Kama nimekabwa maneno hayotoki machozi ndo yanakuja
H akasimama akaondoka akaniacha pale nikaondoka nikaenda kwa Irene nikaanza kulia Tena 😭😭😭nililia sana Irene akasema atampigia niongee nae
Nikasema nasubir sikuweza kula Wala kunywa maji sikuile jioni Irene akasema kaweka vocha tumpigie