Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Sawa dogo lake!weka vitu๐๐๐ hii hutokea maramoja Kwa miaka miaka mitano sis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dogo lake!weka vitu๐๐๐ hii hutokea maramoja Kwa miaka miaka mitano sis
๐คฃ๐คฃ๐คฃ Tena!?Ole wako kusiwe na mizagamuano
๐คฃ๐คฃ๐คฃhivi kumbe ni bangi na pombe ndio zinafanya tunasahau watu?aisee yaani mimi naambiwaga naringa watu niliosoma nao nawakumbuka wachache sana ambao nilikuwa nao close flan ila kama ulikuwa tu classmates halafu mpole ndio sikukumbuki kabisaaaaaSababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yote
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃila African mama wamepinda jamani yaani hajataka kujichosha kukuuliza kajua tu foolish age inamsumbua huyuAkampigia
Irene akamsalimia akanipa simu
H;mambo
Mimi;poa Ile kinyonge
H;unasemaje
Mimi;nataka kukuelezea ilivokuwa
H; sitaki kusikia umeniumiza sana umevunja uamninifu kama unamtu si ungenambia kwanini unidanganye mim na wewe ndio basi na kesho naondoka siwez kukaa hapa na maumivu kiasi hiki na hutaniona Tena
Niliangua kilio kama nimefiwa nikawachukia watu sana hakusinisikiliza akakata na simu
Nilijiuliza hiyo story zilimfikiaje sikukaa pale hata dakika 10 nikajita kwenda pale nikajuta kuongea na yule kaka nilimchukia kupita kiasi
H akaondoka kweli hakutaka kuniona nikatuma barua hazikujibiwa nilihangaika sana Sasa kilichonitesa ni hisia zile moment zilinichanganya kuachwa ghafla kukanitesa kila nikipata memory kuhus H nahis naishiwa nguvu napata hali flan isiyo ya kawaida kwenye mwili Ni kama napigwa shot ๐ญ๐ญ๐ญKila ikifika usiku naamka nakaa kitandani naanza kulia๐๐๐
Siku moja mamaang akanikuta nimeangua kilio balaa akasonya akaondoka
Kutoka wakat huo nikajua hisia zinatesa kuliko hata hayo mapenzi yenyew Ile hali ya kushindwa kujitetea na kutosikilizwa ilinitesa sana nilikuwa natamni aje nimwambie ila namuonea wapi nae hakutaka kabisa kurudi alivofanya mtihani akaenda Kwa nduguzake wengine Irene akasema nimuache tu Aishi maishayake
yani penzi halina hata week mshaanza kutoana machoziUsiku ule sikulala vizuri Yani niliwaza sana mabadiliko Yale sio ya kawaida nilipoamka kilamda naangalia Kwa kina Irene labda nitamuona H sikumuona nikaenda kuulizia wakasema hajaja jioni yake kulikuwa na sherehw nyumba ya jirani kama saa mbili hivi nikamuomba mama nikaangalie akasema sawa
Akiliyangu nawaza huenda H atakuja sikuile nikaangalia sikumuona akaja kaka mmoja wa pale mtaani alikuwa ananiaproach wakat huo
Akanisemesha nikamjibu alisimama na mm pale kama dakika 10 hivi nikaondoka kurudi nyumbani
Huku roho inaniuma sijamuona H
Asubuhi siku ilofuata nikaenda.kwa rafiki yangu nikamsimulia H alivokuja akasema alimpigia pia H ananipenda Sana,nikafurahi kusikia hivo ๐ nikajipa moyo Atakuja sikuile nikaazima.simu nikambeep akapiga akasema atakuja nikafurahi akanambia anikute wapi
Nikawahi sana maana sikuwa na simu mara akafika tukakaa ila ni kama hakuwa sawa
Ilikuwa ni sehemu ya wazi hivo hakiweza kunikumbatia hakuwa na story kabisa kama nilivozoea
Mimi;mbona kama unaumwa
H;nikopoa
Mimi;sawa
H;unajua kama nakupenda sana wewe
Mimi;najua
H;umefanya Nini Jana
Nikasema uwiii wambea wa Kijiji washafanya Yao ๐ญ
Mimi;hakuna kitu Kuna Nini
H;kunamtu ulikuwa nae Jana ni mwanaume wako?chozi likamtoka
Mimi;nikasema hapana
. Nikakumbuka yule kaka alikuja simama na mm pale kwenye sherehe na sikukaa nikarudia kulala
H;akasema kaambiwa yote Jana nilitoka na yule mtu nikaenda kulala nae nikarud nyumbani saa 4 usiku ๐ญ๐ญ๐ญ
Aiseeilikuwa kama kisu kinapita kwenye moyo na sikuwaga na ujasiri wa kujitetea Kila nikitaka kusema Kama nimekabwa maneno hayotoki machozi ndo yanakuja
H akasimama akaondoka akaniacha pale nikaondoka nikaenda kwa Irene nikaanza kulia Tena ๐ญ๐ญ๐ญnililia sana Irene akasema atampigia niongee nae
Nikasema nasubir sikuweza kula Wala kunywa maji sikuile jioni Irene akasema kaweka vocha tumpigie
๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃila African mama wamepinda jamani yaani hajataka kujichosha kukuuliza kajua tu foolish age inamsumbua huyu
๐๐Nikukute jukwaa la kilimo na mifugo
๐คฃ๐คฃ๐คฃingekuwa ulaya mama angepanda hata tren ya umeme aje kukusikiliza,tena shukuru ulikuwa mbali ungeweza Chezeaa hata banzi la mgongo au ndala๐๐๐
Nikiwa mkubwa mkubwa, kuna siku nikawa mood off, yaani ile totally shut down, of course nilikuwa nimekosana na babe wangu nilikuwa nampenda kuliko hela, huwa sitakagi kuongea na mtu,
My Mom akanipigia simu sikupokea, baadaye tena akanirudia nikamuambia siko sawa, hata hakutaka kujua chanzo ni nini, aiseeeh' alinisimanga balaa, eti 'najua tu huo ni upumbavu wa wanaume', akanigombeza kisha akanikatia simu, ndiyo nikalia vizuri kwa mayowe kabisa, sasa unaanza kunigombeza badala unisikilize kwanza..!!?
Africans Mom hapana..!!๐๐๐
African mom ni walezi tu, majujumu mengine wana dodge sana๐๐๐
Nikiwa mkubwa mkubwa, kuna siku nikawa mood off, yaani ile totally shut down, of course nilikuwa nimekosana na babe wangu nilikuwa nampenda kuliko hela, huwa sitakagi kuongea na mtu,
My Mom akanipigia simu sikupokea, baadaye tena akanirudia nikamuambia siko sawa, hata hakutaka kujua chanzo ni nini, aiseeeh' alinisimanga balaa, eti 'najua tu huo ni upumbavu wa wanaume', akanigombeza kisha akanikatia simu, ndiyo nikalia vizuri kwa mayowe kabisa, sasa unaanza kunigombeza badala unisikilize kwanza..!!?
Africans Mom hapana..!!๐๐๐
๐๐๐Hawana time na ujinga mm alinikuta mara mbili ya kwanza ndio hiyo Ilikuwa usiku mara ya pili alfajiri akanambia kuacha kuamka kufanya ibada unaamka kulilia ujinga au Kuna msiba wa shangazi Yako ๐๐๐๐๐๐๐
Nikiwa mkubwa mkubwa, kuna siku nikawa mood off, yaani ile totally shut down, of course nilikuwa nimekosana na babe wangu nilikuwa nampenda kuliko hela, huwa sitakagi kuongea na mtu,
My Mom akanipigia simu sikupokea, baadaye tena akanirudia nikamuambia siko sawa, hata hakutaka kujua chanzo ni nini, aiseeeh' alinisimanga balaa, eti 'najua tu huo ni upumbavu wa wanaume', akanigombeza kisha akanikatia simu, ndiyo nikalia vizuri kwa mayowe kabisa, sasa unaanza kunigombeza badala unisikilize kwanza..!!?
Africans Mom hapana..!!๐๐๐
Alikuwa anasoma shule ya seminary mm sikuwa na simu yeye alikuwa nayo ambayo anatumia akiwa likizo akiondoka anaiacha hivo akiwa yupo naongea nae kupitia simu ya Irene"Ilikuwa siku chache aondoke shule na Huwa akiwa shule hatumii simu mm pia sikuwa na simu kabisa akaja kuniaga akaondoka"
Naomba mtunzi hapa ueleze kwa maneno yasiyopungua 500 ili nikueleww vizuri๐.
Sawa ila maelezo hapa "akaja kuniaga akaondoka"Alikuwa anasoma shule ya seminary mm sikuwa na simu yeye alikuwa nayo ambayo anatumia akiwa likizo akiondoka anaiacha hivo akiwa yupo naongea nae kupitia simu ya Irene